Kenyan Security Minister George Saitoti Reported Killed

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
14,631
4,225
Minister Saitoti and Ass Minister Orwa Ojode Feared Dead in Helicopter Crash

viewimage.aspx




ojods1.jpg


Internal Security assistant minister Orwa Ojode



NAIROBI, Kenya:
Four people have been killed after a police helicopter crashed at Kibiku forest within Ngong.Witnesses at the scene said the chopper caught fire on impact.

Unconfirmed reports said top government officials may have been on board the police chopper.

The police helicopters are usually used by government officials.

More to follow…


Capital News » 4 dead in Kenya police helicopter crash



By NATION REPORTER
Posted Sunday, June 10 2012 at 10:03

Kenya's Internal Security ministerProf George Saitoti, his deputy Orwa Ojode and five others are feared dead when a Police chopper crashed in Kibiku area in Ngong forest at 9am on Sunday, according to police sources.

The two were heading to Orwa Ojode's Ndhiwa Constituency for a fundraising.

Other passengers on board were the ministers' bodyguards and two pilots

It's exactly four years when a chopper carrying MPs Kipkalya Kones and Lorna Laboso crashed in Narok.

According to an eye witness, the helicopter was seen diving from the sky and full of smoke before crushing and exploding into flames.

"The Chopper was filled with smoke before it crashed. I heard two explosions as it went up in flames," said Rose Kwamboka.


http://www.nation.co.ke/News/Minist...+crash/-/1056/1424382/-/11romksz/-/index.html

1. Captain Nancy Gituanja

2. Captain Luke Oyugi

3. Inspector Joshua Tonkei

4. Sergeant Thomas Murimi

5. Orwa Ojode

6. George Saitoti



 
Last edited by a moderator:
RIP Waziri wa Mambo ya ndani Kenya, Prof George Saitoti; RIP Naibu Waziri wa mambo ya ndani, Kenya, Mr Orwa Ojode. Mwenyezi Mungu awape nguvu wanafamilia, na Wakenya wote katika wakati huu mgumu.
 
Inasemekana aliyekua makamu wa Rais kipindi cha Moi, Prof. George Saitoti na Internal Security Ass. Minister Orwa Ojode wamerudisha jezi katika hii ajali.

R.I.P.
 
Kurudisha jezi ndo nini?????


Sent from my NOKIA 3310 using Tapatalk HD
 
Waziri wa mambo ya ndani nchini kenya pamoja na naibu wake wamefariki dunia katika ajali ya ndege
 
Sasa hao ni top government officials au retired government officials? Curious!

Lukolo, unaishi dunia hii kweli? Prof Saitoti ni waziri wa Internal Security wa serikali ya sasa ya Kenya! Huyo mwingine ni Assistant Minister in the same ministry.
 
RIP Waziri wa Mambo ya ndani Kenya, Prof George Saitoti; RIP Naibu Waziri wa mambo ya ndani, Kenya, Mr Orwa Ojode. Mwenyezi Mungu awape nguvu wanafamilia, na Wakenya wote katika wakati huu mgumu.
 
Lukolo, unaishi dunia hii kweli? Prof Saitoti ni waziri wa Internal Security wa serikali ya sasa ya Kenya! Huyo mwingine ni Assistant Minister in the same ministry.

Inaelekea humuelewi Saitoti ni nani Kenya, he is yes, a top government official and a very strong and influencial politician
Nashukuru kwa ufafanuzi, but niliyemquote aliandika George Saitoti aliyekuwa makawa wa Rais wakati wa serikali ya Moi, nikadhani hivi sasa hana cheo tena. Got you men!
 
Inasemekana aliyekua makamu wa Rais kipindi cha Moi, Prof. George Saitoti na Internal Security Ass. Minister Orwa Ojode wamerudisha jezi katika hii ajali.

R.I.P.

Hata mimi nimesikia BBC wanasema waliokuwemo kwenye helicopter ni Waziri wa Usalama wa ndani Prof. George Saitoti na Naibu wake Orwa Ojode na maafisa wengine wa Wizara yao,na wote wamekufa...

Kifo cha Prof. Saitoti ni pigo kubwa sana kwa Siasa za Kenya na nchi ya Kenya kwa ujumla..
 
Habari za hivi punde zinaelezea ajali ya helikopta ya polisi katika msitu wa Ngong nchini Kenya.Helikopta hiyo imeteketea kwa moto na kupoteza maisha ya abiria wote saba waliomo akiwemo waziri wa Mambo ya Ndani Prof.George Saitoti pamoja na naibu wake Orwa Ojode.Miili ya marehemu imeungua vibaya na moto hivyo utambuzi wa miili hiyo utakuwa mgumu.Mkuu wa polisi aelekea eneo la tukio.Chanzo cha ajali hiyo mbaya bado hakijajulikana.Tetesi zimeshaanza kuhusisha ajali hii na kikundi cha ugaidi cha Al Shabab cha nchini Somalia pamoja na mbio za urais nchini Kenya.RI.P marehemu wote.Vyanzo vya habari KBC, K24, BBC.
 
Back
Top Bottom