Sijali
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 2,586
- 1,678
Udhaifu pekee wa ripoti hii ni pale alipochanganya 'technical causes' na mambo ya criminal conspiracy. Imeifanya ripoti kidogo ikose focus. Namsamehe kwa hilo kwa sababu najua ugumu wa ku produce ripoti kama hizi: kuanzia usalama wako, ukosefu wa ushirikiano na ufundi mkubwa wa criminals wa kuficha mambo yao. Kumbuka hawa watakuwa watu wenye pesa nyingi za kuweza kumlipa yeyote anayesitasita!
Natumaini sasa at least Mohammed amepata 'uzi' maalum wa kuufuatilia na ripoti yake ijayo huenda ikawa more focused na kugundua vingi.
Natumaini sasa at least Mohammed amepata 'uzi' maalum wa kuufuatilia na ripoti yake ijayo huenda ikawa more focused na kugundua vingi.