mfianchi
Platinum Member
- Jul 1, 2009
- 11,867
- 8,282
Waswahili ni kama jiji la Dar Es Salaam,ikinyesha mvua mafuriko,jua likiwaka mjoto hadi vyupi vinalowana,hakuna jema kwa jiji la Dar.na miswahili (pamoja na Wakikuyu)ndivyo ilivyoWaswahili ndivyo tulivyo hatuna jema hata moja. Raila alipokataa kweda mahakamani mwaka 2007 na kusababisha maafa kwa wakeya mkamlaani kwa nguvu zote.
Mwaka huu kabla ya uchaguzi mkakesha hapa na kumsihi asiyeridhika na matokeo aende mahakamani badala ya kwenda mitaani kama ilivyotokea 2007.
Sasa Raila ameamua kuchagua njia sahihi kabisa ya kikatiba lakini bado tena waswahili mnamlalamikia. Yani sijui watu mkoje aisee hata mfanyiwe nini hamridhiki.