madhara ya taahira kuwa karibu na keyboard ndo haya. sasa umeandika nini? there was no way odinga angeshinda kwa mazingira yalivuokuwa. wakikuyu=17% wakalenjini=13%. cha kushangaza zaidi ni hata kule ambako odinga alimshinda kibaki uchaguzi uliopita kama maeneo ya pwani mwaka huu amepoteza. maeneo aliyoshinda uhuru kulikuwa na gap kubwa sana lakini maeneo aliyoshinda odinga gap lilikuwa dogo sana.Thanks mdau Ab-Titchaz kwa hii piece of information. Tunasubiri kwa hamu na gamu kusikia ushahidi utakachofikishwa mahakamani na mawakili wa Cord na muhimu zaidi ni namna supreme court itakavyoihandle kesi hii.
Binafsi siamini kama mahakama inaweza kutengua ushindi wa Uhuru. Sitarajii kuona uamuzi kama huo katika nchi zetu za kiafrika hata kama kutakuwa na ushahidi mzito kiasi gani bado naamini court itatoa ruling kwa favour ya president elect tu.
Labada hii kesi inaweza kusaidia kuwaonyesha wakenya mapungufu ya IEBC ili wayafanyie kazi kwa ajili ya chaguzi zijazo huko mbeleni.
ama kweli machadema wengi ni mataahira na wewe ukiwemo.