kapuli Amtoni
Member
- Oct 13, 2007
- 8
- 0
Hakuna Ushahidi Wa Kitaalamu Kudhibitisha Hilo, Ila Kuna Dalili Za Wazi Kuwa Kuongezeka Kwa Wasomi Katika Secta Za Umma Huvujisha Sana Raslimali Chache Tulizonazo Kwa Njia Ya Semina, Safari Za Ndani Na Nje,ununuzi Wa Magari Ya Kifahari,matibabu Ya Viongozi Kufanyika Nje Ya Nchi Hata Kama Kuna Madawa Na Madaktari Hapa Nchini, N.k