Kenya Election 2007: Outcomes

Hakuna Ushahidi Wa Kitaalamu Kudhibitisha Hilo, Ila Kuna Dalili Za Wazi Kuwa Kuongezeka Kwa Wasomi Katika Secta Za Umma Huvujisha Sana Raslimali Chache Tulizonazo Kwa Njia Ya Semina, Safari Za Ndani Na Nje,ununuzi Wa Magari Ya Kifahari,matibabu Ya Viongozi Kufanyika Nje Ya Nchi Hata Kama Kuna Madawa Na Madaktari Hapa Nchini, N.k
 
Mh. Kapuli kulikoni tena? Ama ni mimi nimechanganya madawa? Hapa ni matokeo ya uchaguzi Kenya ama kuna mada gani?????????????????
 
KT,
Asante kwa hizo news, maana nimefarijika sana. Unajua hao watu wa Western naona ni kama walikuwa wamekalia kuti kavu na sasa moto umewawakia. MPs wa kutoka Central PNU itazoa seats karibu zote, lakini Nyanza, Western na Eastern ni roho mkononi.
 
Hivi Kalonzo bado anaangalia results ama amelala nyumbani kiasi kwamba hawezi hata kuangalia TV.
 
Wengine ndio eti tunaamka, nilidhani mambo tayari kumbe bado! ila sasa ni kama mzee ameenda na maji. Kilichobaki ni kichwa kupotea kabisa.

Kenyan-Tanzanian, asante umetufaa sana leo.
 

KTN Latest - Raila 835,466 - Kibaki 666,965- Kalonzo 38,294 - Today, 9.00AM

Waheshimiwa Ndio Hizi Updates toka kwa KTN TV:


Musalia Mudavadi (ODM RUNNING MATE) - 33, 543 - Sabatia Constituency - Ndani!

Najib Balala ( KIGOGO WA ODM, COAST PROVINCE – Mvita Constituency - Ndani!

Franklin Bett (KIGOGO WA ODM RIFT VALLEY PROVINCE) - Bureti Constituency - Ndani!

NB: Kwa sasa Kibaki apo mbele kwa mkoa wa Eastern, Nairobi na Central. Raila anaongoza mikoa ya Western, North Eastern, Coast, Nyanza, na Rift Valley

Keiyo south- Jackson kiptanui (ODM) amemng'oa KIGOGOWA KANU ambaye sasa alikuwa anasaidia Moi kusapot KIbaki yaani Nicholas al maaruf Biwott(KANU).


Eldoret South Constituency -Mama Peris Chepchumba(ODM) amemng'oa waziri Paul Sang wa PNU


Samuel MWaita (ODM) - Baringo Central - Amemng'oa Mtoto wa Moi yaan Gideon MOi!

Muigizaji maarufu wa kundi la Reddykyulass, kijana wa miaka 28 JOhn Kiarie almaaruf KJ amemng'oa Waziri msaidizi wa elimu na kigogo wa serikali ya Kibaki, Beth Mugo. KJ ndio MP mpya wa Dagoretti. Ni mojawapo wa wakikuyu wa pekee aliyeamua kujiunga na ODM.


Msibanduke! Leo ni leo!
 
Election Updates
VP, ministers lose parliamentary seats

Published on December 27, 2007, 12:00 am


By Standard Reporter

Vice President Hon Moody Awori and ministers Mutahi Kagwe and Paul Sang emerged as the early casualties as vote counting for the hotly contested elections continued countrywide.

Results broadcast on KTN showed that Awori lost the Funyula parliamentary seat to the ODM candidate, Dr Paul Otuoma, becoming the second time in Kenya's history for a VP to lose a parliamentary seat. In 2002, Vice President Mr Musalia Mudavadi lost to Mr Moses Akaranga of Narc, a few months after he was appointed by President Moi. Uncle Moody as he is popularly known, has been Member of Parliament for Funyula constituency for the last 25 years, although his grip on Funyula politics spans over 45 years

Information and Communications minister Mutahi Kagwe has lost to former chairman of Nairobi Water and Sewerage Company, Mr Kabando wa Kabando, of Safina party. Kagwe initiated many development projects in his Mukurweini constituency, both through the CDF concept and from his own initiative and it will puzzle many people how his opponent, Kabando wa Kabando pulled the carpet from under his feet.

Health Minister Paul Sang has lost former State House Comptroller Mr Frankline Bett of ODM. Sang was appointed to the position just two months to the election after Kibaki's ally and Health Minister, Charity Ngilu, declared her support for ODM presidential candidate Mr Raila Odinga.

Other results show ODM Pentagon member Najib Balala has won the Mvita seat , beating former Mombasa mayor Taib Ali Taib. In Ugenya constituency, lawyer James Orengo will make a political come back after clinching the seat he lost in 2002.

However the Electoral Commission of Kenya is yet to release the results. We will bring you more results soon.

Source: The Standard
 
KT,
Sema results za Lang'ata zikoje? Maana naogopa wasije wakaangusha msee kwa eneo bunge lake halafu ikawa shida kubwa!
 
KT,
Sema results za Lang'ata zikoje? Maana naogopa wasije wakaangusha msee kwa eneo bunge lake halafu ikawa shida kubwa!

Usiwe na wasiwasi. Mzee Raila Odinga anafanya vizuri. Bado wanahesabu lakini ajenti wangu huko ananiambia Raila amemwacha mpinzani wake Stanley Livondo wa PNU kwa kura 5432 kufikia sasa na kura karibu zinamalizika kuhesabiwa huko Langata

By the way: Hata kutokee miujiza na Kibaki ashinde....du! atajenga serikali na nani? Wapambe wake karibu wote yaan baraza lake la mawaziri limeangushwa asilimia 83 kufikia sasa mpaka hata makamu wa rais....

What are Kenyans trying to say through the elections?
 
I am sure Kibaki will win this elction and is what I pray for.

Mungu Mbariki Kibaki
 
Ninamuonea huruma Msikali Kombo. but ningefurahi zaidi kama Dr. Kituyi nae angeanguka ingekuwa safi sana. Sasa hata hizo position za nominated MPs sijui Kibaki atapeana na nani?
 
Ningependa Odinga ashinde, lakini lazima niseme wazi kwenye uchaguzi kama huu anayeshinda hawezi kufanya madudu maana anajua ana upinzani wa Kutosha!!!

Napenda sasa chama chochote, mgombea yeyote akishinda ashinde kwa 55%-65% against 45%-35% ikiwa hivi lazima uwe na adabu madarakani...

Waiting!!! Asante Kenyan-Tanzanian...
 
Raila leading in Langata both as president and MP.
Mzee Simeon Nyachae wa PNU –Waziri wa Roads –NJE!

Nakompail data niitume mwendo wa saa sita.

MKuu wa Majeshi ya Polisi Nchini Jemedari Ali yupo hewani. Ngoja nimskize



http://www.youtube.com/watch?v=1jvuuxzLISg

Mkisubili nawaomba mutazame hii vdeo ya ajabu. Hebu angalia vile hio foleni ipo ndefu! Ni polling station moja hapa Nairobi
 
hii foleni kiboko.

nnakumbuk kule zenji kila kituo kimoja kiliweka wapigaji kura mia tatu hadi mia tau hamsini. pale niliusifu utaratibu wa tume.

hali iliopelekea kufikia saa tano karibu watu wengi walipiga kura zao.

tatizo la kwetu si misururu ya kupigia kura bali mengineo.


kwa hili tume walione na wajitahidi kuboresha chaguzi zijazo
 
Mbona hawa jamaa wa CNN wanasema Kibaki anatarajiwa kubaki madarakani?? Aliyesema hivyo ni Richard Quest(CNN INTERNATIONAL)......naombea isiwe kweli!!.
 
KTN MATOKEO 10.44AM

Kura 14.2 Million zimepigwa

Raila anaongoza na kura 1.46 Million, Kibaki anafutwa na 1.1 Million na Kalonzo akimalizia na 48, 000.

Viti vya bunge ambazo zimeshapata wabunge wapya ni 83 kufikia sasa

1. ODM ya Raila ina 52
2. PNU ya Kibaki ina 15
3. Hivyo vyama vingine vidogo vinagawana zilizobakia 16.



KAMISHENA POLISI ANASISTIZA KWAMBA JESHI LAKE LIPO TAYARI KUPAMBANA NA WATAKAOTOA GHASIA BAADA YA HESABU KUMALIZWA. KIFUPI ANADAI Security issues are not a matter of public debate
 
hii foleni kiboko.

nnakumbuk kule zenji kila kituo kimoja kiliweka wapigaji kura mia tatu hadi mia tau hamsini. pale niliusifu utaratibu wa tume.

hali iliopelekea kufikia saa tano karibu watu wengi walipiga kura zao.

tatizo la kwetu si misururu ya kupigia kura bali mengineo.

kwa hili tume walione na wajitahidi kuboresha chaguzi zijazo

Mtu wa Pwani si useme tu hayo mengineo ni yepi? Mazingaombwe ya CCM ama?
 
Back
Top Bottom