Kenya Election 2007: Outcomes

kuna habari nilizipata kutoka hukokuwa kuna sehemu wananchiwamechapana na haswa wafuasi wa kibakina Raila, ila polisi wamefanikiwakutuliza munkari.
 
mie nasubiri "your world today" @ noon kwa CNN kupata nyuzi......ukweli ni kwamba Raila lazima ashinde.....wakikuyu wamezidi ukabila,wana-act kama kenya ya kwao pekee. Nahamu sana ya kujua ndugu zangu wa pwani wata-vote vipi!.
 
_44322154_gmaasai_afp416.jpg
 
_44322154_gmaasai_afp416.jpg



Huyu binti wa Kimaasai huko ndani kijijini ni ishara ya kwamba waKenya hata wale wamashinani kabisa mara hii wamejitokeza kwa wingi ajabu kushiriki kwenyed the democratic process ya kumng'oa Rais Mwai Emilio Kibaki mamlakani nchini Kenya.

Hii Hapa kura yangu: Jameni mbona Kibaki awekwe mwanzo zaidi na Raila afichwe sijui namba ngapi hapo penye kartasi? Washindwe!


PC260182.JPG



Ripoti zaidi ni hapo saa kumi na moja kamili EAT.


NB: Mh. Mzalendo nimefurahia post yako hapo juu naipenda sana Tanzania na naipenda sana Kenya...ahsante kwa hio complement kuu babu


Jiburudisheni na picha hizi toka kijijini nilikokuwa asubuhi nikitumbikzalangu dhidi ya KIBAKI.....

Specime.JPG


PC260186.JPG


BOXES_READY.JPG
 
kazi nzuri ila tunataka kura kadri zitakaposomwa utuwekee hapa na jumla kama zinavyoendelea maana hadi sasa raila anaongoza kituo kimoja bado vituo 24,999

raila akishinda tiketi ya kumpiga chini kikwete 2010!!!
 
yeyote ataeshinda, basi ilioshinda ni kenya

na amaniu ya kenya ni bora kuliko yeyote ktk hao.

kenya inachagua mtumwa wa amani. ili atumike kuifanya kazi hio.

mola wape mtumwa alie tayari kujituma kwa ajili ya wakenya
 
Vituo vyote vya kupiga kura zimemaliza biashara hii muhimu ya leo.


Hesabu za kura zimeanza pwani. Mvita constituency atokako ODM leader wa Coast province Najib Balala

Narejea na zingine
 
December 25, 2007
Election Rules Complicate Kenya Race
By JEFFREY GETTLEMAN, New York Times

NAIROBI, Kenya - The fate of Kenya's hotly contested presidential election could come down to a single slum.

Kibera, known as the biggest slum in Africa, is a sprawling settlement on the outskirts of Nairobi, Kenya's capital, with one million people squeezed into a warren of rusted roof shacks, linked by muddy footpaths and streams of greenish-grayish sewage trickling alongside.

Made famous by the movie "The Constant Gardener," which featured several scenes here, Kibera is concentrated poverty on a stunning scale. Half-naked children play in 10-foot-high piles of garbage. Drunken men stumble down the dirt boulevards, begging for work.

But Kibera is not only a treasure trove of votes in this election, which will be held on Thursday and is predicted to be the closest contest in Kenya's history and possibly the greatest test yet of this young, multiparty democracy.

Kibera is also the heart of Raila Odinga's parliamentary district, and Mr. Odinga, a rich businessman who has campaigned as a champion of the poor, is the leading contender for president. Most polls show him several percentage points ahead of Kenya's president, Mwai Kibaki, who has improved the country's economy but has alienated many voters.

Many Kenyans say Mr. Kibaki has shared the fruits of Kenya's growing prosperity primarily with members of his own tribe, the Kikuyu.

And here is where things get interesting.

The fine print of Kenyan election law says that to become president, a candidate must win not only the most votes nationwide, but also a seat in Parliament and at least 25 percent of the votes in five of the country's eight provinces. This may pose problems for both candidates, which could result in an inconclusive and turbulent post-election period.

In Kibera, Mr. Odinga faces Stanley Livondo, a spirited challenger, who according to many residents, has been sprinkling around 500-shilling notes (the equivalent of about $8) and winning over converts. Mr. Livondo, also a businessman, was a political nobody until the president's party got behind him a couple of months ago.

Mr. Livondo said in a campaign advertisement that Kibera's residents had been "reduced to tourist attractions" and that if he wins a Parliament seat, he will bring the area 50 new toilets and at least one new fire engine.

Many residents like the sound of that.

"Just look at this place," said Simon Mugambe, a shopkeeper, jerking his head toward a river of sewage running by his feet. "Somebody needs to do something."

Mr. Odinga has represented Kibera and the surrounding neighborhoods for the last 15 years. He won about 80 percent of the vote in the last parliamentary race in 2002, his campaign said. But this time he must reckon with a united front to defeat him.

Several other parliamentary candidates recently pulled out of the race, throwing their support behind Mr. Livondo. Mr. Odinga's campaign is now worried that any election irregularities, like buying votes, could cost Mr. Odinga his seat - and therefore the presidency.

Mr. Kibaki, though, has to contend with the other electoral wrinkle - the five out of eight rule. Recent polls show the president's support heavily concentrated in the few provinces home to many Kikuyus. In the other provinces, his support is very thin.

The result, after a campaign season in which more than 20 people have been killed in election-related violence, could be an unclear outcome with neither major candidate declared the winner. That would be bad, just about everyone agrees.

"The law is completely vague," said Maina Kiai, chairman of the Kenya National Commission on Human Rights. "These things were not envisioned in the Constitution and there will be a lot of confusion. If this happens, the leadership will really have to step up. If not, we could have trouble."

One Western diplomat said, "We just hope it's not close."

Kenya's election commission said it was not sure what would happen if neither major candidate met the criteria.

"It's a tricky one," said Mani Lemayian, a spokesman for the election commission.

There is a possibility, Mr. Lemayian said, that there could a runoff between the second and third place finishers, if the first-place finisher did not win a Parliament seat. That would open the door for Kalonzo Musyoka, a former foreign minister, who is also running for president and has been ranked a distant third.
 
Jamani,

Huko hakuna exit polls? Maana karibu masaa matatu yamepita toka upigaji kura uishe.

Pamoja na matatizo yao Kenya, naona wametumizi TZ hata kwenye demokrasia. Tume yao ya Uchaguzi ni bora kuliko hiyo ya kwetu.
 
Hey you guy. Raila yuko juu so far, results coming in fast!

Si weka hizo numba hapa na kutoa uchambuzi kidogo juu ya hayo matokeo ni kutoka sehemu zipi? Naona hata nationmedia wamechemsha website yao haifunguki kabisa.
 
TIME: 8.00pm

STATIONS: CITIZEN TV (Pro Kibaki) - KIbaki 15808 Raila 3404
KTN TV - (Pro Raila) - Raila 14019 Kibaki 6630


Results zinatofautiana jili kila stesheni inapokea results zaidi kutoka kwa aliko maarufu mgombeaji stesheni hio inampigia debe.

Kufikia saa tisa za usiku picha itaanza kuonekana kijumla nani yupo mbele. But so far Raila is leading in Lamu, Mombasa, na Rift Valley atokako Moi.

Leo msilale subilini tu hesabu zinaingia kwa fujo toka kona zote za taifa iliyo na upana wa 540,000Km skuea.

NB: Risala za lambilambi kwa mama marehemu Bhutto
 
jamani hayo majibu badoo tuuu ama nayo ni kama ripoti zetu za bongo?mpaka zikawe edited chumbanii??alafu mbona mabox yenye kura hayako transparent??
 
TIME: 8.46PM


Vote Count As Info Comes In
--------------------------------------------------------------------------------

unofficial Results Thus Far:

Dujis Raila 16 Kibaki 13 Kalonzo 0

Ugenya Raila 608 Kibaki 2 Kalonzo 0

Kimilili Raila 447 Kibaki 511 Kalonzo 7

Lamu East Raila 142 Kibaki 48 Kalonzo 10

Eldama Ravine Raila 30 Kibaki 5 Kalonzo 0

Nyakach Raila 247 Kibaki 1 Kalonzo 0

BUDALANGI Raila 756 Kibaki 256 Kalonzo 1

SIRISIA RAILA 246 KIBAKI 945 KALONZO 1

LAMU WEST RAILA 74 KIBAKI 22 KALONZO 4

LANGATA RAILA 264 KIBAKI 110 KALONZO 124

DAGORETTI RAILA 38 KIBAKI 519 KALONZO 1

ALEGO RAILA 443 KIBAKI 2 KALONZO 0

GEM RAILA 437 KIBAKI 0 KALONZO 0

MACHAKOS RAILA 58 KIBAKI 23 KALONZO 12

KITUI CENTRAL RAILA 37 KIBAKI 36 KALONZO 33

MANYATTA RAILA 99 KIBAKI 1968 KALONZO 38

FUNYULA RAILA 96 KIBAKI 52 KALONZO 2

WESTLANDS RAILA 338 KIBAKI 265 KALONZO N/A

BARINGO CENTRAL RAILA 204 KIBAKI 6 KALONZO 0



current Totals:

Raila 6878

Kibaki 2409

Kalonzo 309

--------------------------------------------------------------------------------
 
jamani hayo majibu badoo tuuu ama nayo ni kama ripoti zetu za bongo?mpaka zikawe edited chumbanii??alafu mbona mabox yenye kura hayako transparent??

Usife moyo shemeji....watu milioni 14.3 wamepiga kura leo sio mchezo kuhesabu ila wanajikaza wataalamu, wananchi na makalkuleta na hata maajenti wa wanasiasa...leo hakuna kulala

Ila pata dondoo tamu hapa chini usiboreke..

http://www.youtube.com/watch?v=RAF1Cxxb08c


graph.asp



Kwa hisani ya Institute for Education in Democracy (IED) wanatueleza kwamba hii ndio grafu inayoonyesha exit results kufikia saa moja leo jioni. Mambo yanabadilika huku na kule lakini ifikapo usiku wa manane basi picha itaanza jitokeza ni nani apo mbele.

Kufikia sasa postings zote hapo juu ni za vituo fulan tu ndani ya maeneo bunge fulan....
 
Back
Top Bottom