Bunge la Kenya lapokea Muswada unapendekeza Maafisa wa Tume watakaochelewesha Matokeo kufungwa Miaka 5 jela

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,120
1710411009728.png

KENYA: Bunge limepokea Muswada wa Marekebisho ya Sheria za Makosa ya Uchaguzi wa mwaka 2024 ambao unapendekeza kuwekwa Kifungo cha Miaka 5 jela kwa Maafisa wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) watakaochelewesha kutangaza Matokeo .

Muswada huo unasomeka "Itakuwa ni makosa kwa Wajumbe na Wafanyakazi wa Tume ambao wanachelewesha kutangaza matokeo ya Uchaguzi bila sababu au kwa makusudi au kubadilisha matokeo yaliyotangazwa,”.

Aidha, imeelezwa kuwa Muswada huo ulioungwa Mkono na pande zote, umependekeza makosa mapya ikiwa ni hatua ya kuongeza uadilifu ikiwemo kuruhusu upigaji kura wowote kufanywa katika vituo ambavyo havijatangazwa kwenye Gazeti la Serikali kuwa kinyume cha Sheria

===========

Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC) officials will now face a five-year jail term for delaying election results in a new proposal tabled at the Senate.

The Election Offences (Amendment) Bill, 2024, which proposes the changes has been tabled by Senate Majority Leader Aaron Cheruiyot and Minority Leader Stewart Madzayo.
Should the Bill be approved by the Senate, it will successfully amend Section 6 of the Election Offences Act, 2016.

“The Bill creates offences for members and staff of the Commission who unreasonably delay in declaring elections results or knowingly alter declared election results,” the Bill reads in part.

Section 6 of the Act states that it is an offence for election officials to fail to declare the results of an election.

The law though is silent on what happens when an IEBC official intentionally delays announcing election results.
The now amended section will read, “A member of the Commission, staff or other person having any duty to perform pursuant to any written law relating to any election who where required under the Elections Act (No. 24 of 2011) or any other law to declare the result of an election, fails to declare the results of an election commits an offence and is liable on conviction, to a fine not exceeding two million shillings or to imprisonment for a term not exceeding five years or to both.”

Considering the Bill has the support of both Kenya Kwanza and Azimio-affiliated politicians, it is expected to be adopted unanimously by the House.

The Bill further seeks to introduce new offences for election officials as a measure to promote integrity in the exercise.

One of the proposals is that it will be illegal for any voting to be done in ungazetted polling stations.
“It shall be an offence to knowingly or intentionally interfere, alter or knowingly or intentionally cause another person to interfere or alter declared results,” the other proposal reads.

Through the National Dialogue Committee (NADCO), the government and opposition have agreed to mutually seek ways to restructure the IEBC.

KENYANS
 
Wenzetu wapo serious sana, ktk kusimamia haki,

Nchi yetu Tz wabunge tunao wachagua, kazi yao ni kupiga makofi kwenye meza za bunge, kitakachosemw wao ni ndio, kusinzia bungeni, baada ya miaka minne kupit, sas ndio wanakuja Majimboni Kujigalagaza chini,Wanashind kwenye vijiwe vya kahawa na wazee wanakuja na bahasha za vijana,vitenge vya akina mama, Akisha pita kweny uchaguz Haonekani tena. Watanzania tunasafari ndefu, tunahitaji ukombozi wa kifikra 😊
 
View attachment 2934287
KENYA: Bunge limepokea Muswada wa Marekebisho ya Sheria za Makosa ya Uchaguzi wa mwaka 2024 ambao unapendekeza kuwekwa Kifungo cha Miaka 5 jela kwa Maafisa wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) watakaochelewesha kutangaza Matokeo .

Muswada huo unasomeka "Itakuwa ni makosa kwa Wajumbe na Wafanyakazi wa Tume ambao wanachelewesha kutangaza matokeo ya Uchaguzi bila sababu au kwa makusudi au kubadilisha matokeo yaliyotangazwa,”.

Aidha, imeelezwa kuwa Muswada huo ulioungwa Mkono na pande zote, umependekeza makosa mapya ikiwa ni hatua ya kuongeza uadilifu ikiwemo kuruhusu upigaji kura wowote kufanywa katika vituo ambavyo havijatangazwa kwenye Gazeti la Serikali kuwa kinyume cha Sheria

===========

Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC) officials will now face a five-year jail term for delaying election results in a new proposal tabled at the Senate.

The Election Offences (Amendment) Bill, 2024, which proposes the changes has been tabled by Senate Majority Leader Aaron Cheruiyot and Minority Leader Stewart Madzayo.
Should the Bill be approved by the Senate, it will successfully amend Section 6 of the Election Offences Act, 2016.

“The Bill creates offences for members and staff of the Commission who unreasonably delay in declaring elections results or knowingly alter declared election results,” the Bill reads in part.

Section 6 of the Act states that it is an offence for election officials to fail to declare the results of an election.

The law though is silent on what happens when an IEBC official intentionally delays announcing election results.
The now amended section will read, “A member of the Commission, staff or other person having any duty to perform pursuant to any written law relating to any election who where required under the Elections Act (No. 24 of 2011) or any other law to declare the result of an election, fails to declare the results of an election commits an offence and is liable on conviction, to a fine not exceeding two million shillings or to imprisonment for a term not exceeding five years or to both.”

Considering the Bill has the support of both Kenya Kwanza and Azimio-affiliated politicians, it is expected to be adopted unanimously by the House.

The Bill further seeks to introduce new offences for election officials as a measure to promote integrity in the exercise.

One of the proposals is that it will be illegal for any voting to be done in ungazetted polling stations.
“It shall be an offence to knowingly or intentionally interfere, alter or knowingly or intentionally cause another person to interfere or alter declared results,” the other proposal reads.

Through the National Dialogue Committee (NADCO), the government and opposition have agreed to mutually seek ways to restructure the IEBC.

KENYANS
Hii ni habari njema sana kwa Wapenda Demokrasia wote wa kweli hapa duniani.
Kwa kweli Kenya ni nchi ambayo inanikosha roho sana Mimi ktk Ukanda huu wa Afrika Mashariki hususani kuhusiana na masuala ya Demokrasia na Utawala Bora wa Sheria, wamezipita nchi zingine zote ktk ukanda huu.
Hpngereni Wakenya, pokeeni pongezi zangu kutoka Tanzania.
 
Nichagueni niwe Raisi wa inchi hii. Haya yote mnyo yaona kutoka Kenya nitayaleta hapa Tanzania.
 
Hii ni habari njema sana kwa Wapenda Demokrasia wote wa kweli hapa duniani.
Kwa kweli Kenya ni nchi ambayo inanikosha roho sana Mimi ktk Ukanda huu wa Afrika Mashariki hususani kuhusiana na masuala ya Demokrasia na Utawala Bora wa Sheria, wamezipita nchi zingine zote ktk ukanda huu.
Hpngereni Wakenya, pokeeni pongezi zangu kutoka Tanzania.
Hehe walililia katiba mpya wakapewa ,wanalilia tena,, tofauti ya Kenya na hizi nchi za ukanda mwingine ni kwamba wao wanajua pia raia wao wameamka kwahio hata namna ya kuwapiga chenga lazima iwe tofauti na huku kwingine,,jamaa hawana mambo ya uchama ila wana cartels, na hizo ndo zinazoshikilia madaraka tokea enzi, watabadili tu jina la chama na upuuzi mwingine ila chini ni watu walewale
 
Back
Top Bottom