Kazi yangu na wife material vinapishana,dah

Kijana mwenzangu nadhani tupo same age,
lakini mwenzako sina hata wasiwasi,
kinchohitajika hapa ni kutulia wanawake wakishakujua ama sikia upo kwenye presure ya kuoa watafanya usanii hadi uwaone wife material tena ndo wakishajua future ipo wapo tayari hata kutembelea magoti waonekane wema hao,
mwenzako nafikiria kumrudia yule niliyembikiri coz yy alinipenda nikiwa sina kazi na nilikuwa nimechoka mbaya, nakumbuka niliwahi kumtumia credit 1000 akaniambia yy hakunipendea hilo japo nilipopata kazi nikamsaliti tukaachana
 
Ningekushauri ufikirie zaidi ku-invest katika kuzalisha mali, kwani hiyo kazi na kipato unachopata kuna siku kinaweza kuota mbawa.
 
dah yani tunao ishi camp(ndani ya mgodi) watu 500 wanawake wako 70,cheki hiyo ratio unajipenda hapo na mbaya wanawake wenyewe washakua wapenda hela wanaongwa sana huku wala hawana mapenzi hayo ya ndoa na wao wenyewe 2 wanazeekea huku.

Hao wa mgodini wawe last option ukikwama kabisa ndio uwafikirie hao. Hao sikushauri hata kidogo, ninazifahamu tabia za wengi wao.
 
Uko mgodi gani kwanza? Kama buly ni pm nikuunganishe na kifaa kimoja matata sana sababu scale za buly zinasoma poa hivo utaweza kummudu. Ni wife material but from rich n luxurious back ground hivo na wewe inabidi uwe wajimudu.
 
Shosti lara 1 mzima weye, jamaa hataki atakayempendea pesa kwani anasema ex wake ameanza kurudi coz kaona kapata kazi.
 
Last edited by a moderator:
ndugu yangu 27 bado una nafasi na muda mzuri sana wa kutulia, kumuomba Mungu wako akujaalie mke unayemuhitaji. Acha papara ndugu yangu, kumbuka usemi huu NI BORA KUKOSEA KUJENGA NYUMBA KULIKO KUKOSEA KUOA....huyo wa zamani ushauri wangu ni kuwa FUNGA VIOO...ACHANA NAYE FOR GOOD, ATAKUHARIBIA HATA UHUSIANO WAKO MPYA UTAKAOUANZISHA....kwa imani yako ndugu, SALI SANA na uwe na SUBIRA...watu wana 35 na hawana hata girlfriend na hawajakata tamaa kutafuta, ijekuwa wewe 27! Inshaallah Mungu akufanyie wepesi katika suala lako, na wewe pia akujaalie uje kuwa mume mwema!
Huwezi anza mahusianno tu nakuoa mzee lazima uvutu muda kidogo ili mchekiane fresh au..
 
Shosti lara 1 mzima weye, jamaa hataki atakayempendea pesa kwani anasema ex wake ameanza kurudi coz kaona kapata kazi.

Huyo dada kama nilivosema nae ana MILLIONS OF DOLLARS(SIO MADAFU) in her name, na MIBIMA ISIYO NA IDADI, Ila nae anataka mwenye mipesa yake ili asichunwe.
 
Hajaolewa mkuu ila yupo kitaa ambapo na mi naishi na tabia yake haikua nzuri baada ya kuachana kiasi kila mtu anajua,sina mapenzi nae mara nyingi anapiga cm,nia ya kuo ninayo ila mda ndo tatizo

Sasa uko mgodini au kitaa? Mbona mwongomwongo wewe?
 
Wakuu naomba msaada ktk hili,nikiwa chuo miaka miwili iliopita nlikua na gf wangu ambaye nliamini ndo atakua wife kwn tulikua pamoja toka nikiwa o levo na tulipendana sana kwa miaka yote hiyo,shida ilianza baada ya kumaliza chuo coz ilikua ngumu sana kupata kazi kiasi gf akaanza kuchoka na hadith za kutafuta kazi,mbaya zaidi kwao walianza kulazimisha tuoane,sikua na jinsi pale mpenzi aliponiambia anahitaji kuolewa na ndo ikawa mwisho wetu.mwaka jana mwishoni nlibahatika kupata kazi nzuri tu ktk moja ya migodi ya barrick,ni muda sasa nimekua nikitafuta msichana ambaye ni wife material ili nimuweke ktk njia ya kua mke tatizo ni kwamba siwaoni hata wako wapi maana nakaa mgodi wik 6 natoka nje 3 nabakia kukutana tu wajanja wa mjini ambao nahisi kabisa wanacheki ujazo wa pochi na kibaya zaidi yule du wa zamani nae anasumbua sana hadi nahisi kupata hisia juu yake ingawa sihitaji kufanya hivyo,naomba ushauri wenu ntampata vp mke wa kweli maana siku nazo zinazidi sogea am27 now?

Mdogo wangu, kwa maisha ya sasa ni vema sana umpate mke, lkn mm naona muda bado sana ukiweza oa ukiwa 30yrs unakuwa umekoma kiakili na kifkra lkn kwa magonjwa ya kisasa basi oa mdogo wangu.
Nivigumu sana kumpata aliye wa kweli kwa sababu, haonekani kwa macho, ni katika ibada ya kweli tu, kama unahitaji kupata mke wa kweli maishani mtafute kwa maombi sana na uende kanisani kwako, au makanisa ya jirani au hata mjini hasa nyumbani kwa Mungu, Methali 30. Apate mke apata kitu chema, lkn inbidi kitoke kwa Mungu mwenyewe.
Omba sana ndugu ubavu ukiwa si wako haufiti kwenye mwili utakuumiza sana, lkn kama ndiye maisha mtelemko, ni paradise ndogo duniani.
 
Back
Top Bottom