Kausha Damu ni janga la kitaifa

20231215_075429.jpg
 
Kausha damu ni shida kwa kweli hata kama mwanaume una hela kuombwa ombwa kila siku ni kero na mbinu yao sasa hivi wanasema nikopeshe kiasi fulani ukitoa tu iyo hela kamwe hautalipwa. Kuna mmoja aliomba nimkopeshe atanirudishia asubuhi akitoka akitoka kudanga, yaani sasa hivi ukahaba ni mchongo ambao wakina dada wanaombea kabisa mkopo kama waajiriwa. Astaghafilurah.!

Kama demu haujawasiliana nae kwa siku kadhaa siku ukipata sms yake ya salamu "mambo" ukijibu tu iyo ujue kinachofuata ni kuombwa hela. Kausha damu ni tatizo ambalo limeashaanza kuota mizizi kwenye jamii. Ningekua na mamlaka ningeamuru wakusanywe kausha damu wote watumbukizwe kwenye tanuri la moto kama Hitler alivyowafanyia wayahudi.

Unakuta mwanamke hajawekeza chochote kwako. Hajakufanyia kazi yoyote, hajawahi kukupa ushauri wa maana, hajawahi kukupa connection ya kupiga hela yaani mmechat tu text mbili tatu out of nothing anaanza kuomba hela, this is disgusting.

Tumeamua kuwa wapenzi basi tupeane mapenzi sio hela. Ikiwa unataka hela kafanye kazi kama hauna kazi basi muombe hela baba yako, uyo ndie anapaswa kuwajibika kukuhudumia kama bado haujaolewa.
Kaka Hawa mpaka wanyooke hakuna kuwaacha.

Mpaka wajue kutofautisha Kati ya Pesa na mapenzi.

Piga kwenye mshono kaka.

Piga.... Najua watakuja kukuattacks ila usichoke mwamba.

Tunataka tujifunze.
 
Kwasasa ni kuwala na kusepa,ukisema uweke kambi inakula kwako

Kuna mmoja mwaka uliopita kala zaidi ya laki Tano yangu ndani ya mwaka mzima,ila kalikuwa kapisi kwel,ila nimekafanyia njama za kukamwaga mwaka huu ili nianze mwaka nikiwa huru

Nilianza kukatongoza mwez wa 10 2022,ndani ya wiki ya kwanza nikaombwa laki moja kaweke kwenye biashara zake,na siku nakatongoza kaliniomba nisikaombe tunda mapema kama kwel nina nia Nako,na mim nikajifanya gentleman nikatulizia,mwezi wa 12 tarehe 25 nikakatoa out,nikakadanganya kajaribu pombe nikakala siku hyo tukawa wapenz,penzi moto moto,baada ya wiki 3 kakaniambia kalipata ujauzito maana tulikulana peku peku tulikuwa tumeshachek afya kitambo,kufata kalenda kumbe tulichelewa

Nikakashawish kaitoe mimba maana ilikuwa mapema sana,kakakubali zikanitoka 100,000 yakiwemo na matumiz mengine

Mwez wa 6 2023 kakaomba nikapangishie,nikakubali zikanitoka 300,000

Mwez wa 10 2023 kakahamia chumba kizur zaidi zikanitoka tena 80,000

Nilikuwa na utaratibu kama wa DeepPond kila nikienda kwake lazima niache kodi ya meza 10,000 au 20,000 kila mwez nilikuwa naenda kama mara nne na Bado pesa zingine nilikuwa naombwa mara moja moja

Kumbe nimepoteza karibia mil 1, wakati kazi Yang ni dereva guta
 
Ukweli ni kuwa hakuna K ya bure, isake popote hutaipata, ila lazima kuwe na uwiano kidogo. Vikizidi vinachosha.
 
Uzuri wake sio lazima kuwapa, wewe utakuwa bado mgeni mjini, akitaka hela mwambie aifate, ni mwiko kutuma hela hata iwe buku.
Hao ni matapeli kama matapeli wengine tu!
Ni kweli mkuu kuwapa hela ni hiyari yako lakini ni kitendo cha kuwadumaza. Fikiria watoto wakike wanajifunza nini wakiona dada na mama zao wanaishi kwa kudanga? Fikiria kuna mabinti hawafanyi kazi wana namba za wanaume karibu hamsini kwenye simu wao kila jioni ni kutype sms ya kuomba hela na kuifoward kwa wanaume takribani 20, hatuwezi kuruhusu taifa la wadangaji na omba kisa wanapewa hela kwa hiyari. Tukifumbia macho sasa hivi uko mbeleni tunaenda kuwa taifa la gold diggers. Hata kama hela unayo inabidi kuwakizia wajifunze kufanya kazi ndio njia ya kuwawezesha kula.
 
Kwasasa ni kuwala na kusepa,ukisema uweke kambi inakula kwako

Kuna mmoja mwaka uliopita kala zaidi ya laki Tano yangu ndani ya mwaka mzima,ila kalikuwa kapisi kwel,ila nimekafanyia njama za kukamwaga mwaka huu ili nianze mwaka nikiwa huru

Nilianza kukatongoza mwez wa 10 2022,ndani ya wiki ya kwanza nikaombwa laki moja kaweke kwenye biashara zake,na siku nakatongoza kaliniomba nisikaombe tunda mapema kama kwel nina nia Nako,na mim nikajifanya gentleman nikatulizia,mwezi wa 12 tarehe 25 nikakatoa out,nikakadanganya kajaribu pombe nikakala siku hyo tukawa wapenz,penzi moto moto,baada ya wiki 3 kakaniambia kalipata ujauzito maana tulikulana peku peku tulikuwa tumeshachek afya kitambo,kufata kalenda kumbe tulichelewa

Nikakashawish kaitoe mimba maana ilikuwa mapema sana,kakakubali zikanitoka 100,000 yakiwemo na matumiz mengine

Mwez wa 6 2023 kakaomba nikapangishie,nikakubali zikanitoka 300,000

Mwez wa 10 2023 kakahamia chumba kizur zaidi zikanitoka tena 80,000

Nilikuwa na utaratibu kama wa DeepPond kila nikienda kwake lazima niache kodi ya meza 10,000 au 20,000 kila mwez nilikuwa naenda kama mara nne na Bado pesa zingine nilikuwa naombwa mara moja moja

Kumbe nimepoteza karibia mil 1, wakati kazi Yang ni dereva guta
Duh mzee usifanye makosa 2024.
 
Uko mbele kizazi cha wadangaji kitakuwa kimetamalaki.
Ni kweli mkuu kuwapa hela ni hiyari yako lakini ni kitendo cha kuwadumaza. Fikiria watoto wakike wanajifunza nini wakiona dada na zao wanaishi kwa kudanga? Tukifumbia macho sasa hivi uko mbeleni tunaenda kuwa taifa la gold diggers. Hata kama hela unayo inabidi kuwakizia wajifunze kufanya kazi ndio njia ya kuwawezesha kula.
l
 
Kwasasa ni kuwala na kusepa,ukisema uweke kambi inakula kwako

Kuna mmoja mwaka uliopita kala zaidi ya laki Tano yangu ndani ya mwaka mzima,ila kalikuwa kapisi kwel,ila nimekafanyia njama za kukamwaga mwaka huu ili nianze mwaka nikiwa huru

Nilianza kukatongoza mwez wa 10 2022,ndani ya wiki ya kwanza nikaombwa laki moja kaweke kwenye biashara zake,na siku nakatongoza kaliniomba nisikaombe tunda mapema kama kwel nina nia Nako,na mim nikajifanya gentleman nikatulizia,mwezi wa 12 tarehe 25 nikakatoa out,nikakadanganya kajaribu pombe nikakala siku hyo tukawa wapenz,penzi moto moto,baada ya wiki 3 kakaniambia kalipata ujauzito maana tulikulana peku peku tulikuwa tumeshachek afya kitambo,kufata kalenda kumbe tulichelewa

Nikakashawish kaitoe mimba maana ilikuwa mapema sana,kakakubali zikanitoka 100,000 yakiwemo na matumiz mengine

Mwez wa 6 2023 kakaomba nikapangishie,nikakubali zikanitoka 300,000

Mwez wa 10 2023 kakahamia chumba kizur zaidi zikanitoka tena 80,000

Nilikuwa na utaratibu kama wa DeepPond kila nikienda kwake lazima niache kodi ya meza 10,000 au 20,000 kila mwez nilikuwa naenda kama mara nne na Bado pesa zingine nilikuwa naombwa mara moja moja

Kumbe nimepoteza karibia mil 1, wakati kazi Yang ni dereva guta
Ni kununua tu
 
Kutokana na mizinga na ukaushaji wa damu wa hali ya juu, Toka 2022, bila ya kulazimishwa na mtu yoyote, nikiwa na akili timamu, Niliona nirudi pulini. Nilipiga chini namba ya simu, nikasajili namba mpya ambayo ina namba ya watu wa muhimu na washikaji wa muhimu tu. Nikaachana na K mazima, na nilianza kudunduliza tuhela twangu taratibutaratibu mpaka mwaka jana kama masihara nikanunua kakiwanja kadogo mpaka nikamaliza michakato ya hati. Mwaka huu na 2025 nataka niendelee kudunduliza nione ama niongeze kiwanja cha pili au nijenge.

Najuta kuchelewa kuijua puli kwa jicho la kiuchumi, hasa kipindi nilipopitiwa na upepo wa hela.

Naomba sana msamaha, wadau wa puli nilikuwa nawapondaga sana. Naomba mnisamehe sana, ni upwiru na ushamba vilikuwa vinanisumbua.
Uliafanya maamuzi sahihi kukaa mbali na kausha damu lakini bila kupiga puli wanawake decent wapo ni suala la kumuweka wazi tu principles zako. Tangu mwanzo mwambie na muoneshe kwa vitendo kwamba hautaki mambo ya kukaushana damu.
 
Kwasasa ni kuwala na kusepa,ukisema uweke kambi inakula kwako

Kuna mmoja mwaka uliopita kala zaidi ya laki Tano yangu ndani ya mwaka mzima,ila kalikuwa kapisi kwel,ila nimekafanyia njama za kukamwaga mwaka huu ili nianze mwaka nikiwa huru

Nilianza kukatongoza mwez wa 10 2022,ndani ya wiki ya kwanza nikaombwa laki moja kaweke kwenye biashara zake,na siku nakatongoza kaliniomba nisikaombe tunda mapema kama kwel nina nia Nako,na mim nikajifanya gentleman nikatulizia,mwezi wa 12 tarehe 25 nikakatoa out,nikakadanganya kajaribu pombe nikakala siku hyo tukawa wapenz,penzi moto moto,baada ya wiki 3 kakaniambia kalipata ujauzito maana tulikulana peku peku tulikuwa tumeshachek afya kitambo,kufata kalenda kumbe tulichelewa

Nikakashawish kaitoe mimba maana ilikuwa mapema sana,kakakubali zikanitoka 100,000 yakiwemo na matumiz mengine

Mwez wa 6 2023 kakaomba nikapangishie,nikakubali zikanitoka 300,000

Mwez wa 10 2023 kakahamia chumba kizur zaidi zikanitoka tena 80,000

Nilikuwa na utaratibu kama wa DeepPond kila nikienda kwake lazima niache kodi ya meza 10,000 au 20,000 kila mwez nilikuwa naenda kama mara nne na Bado pesa zingine nilikuwa naombwa mara moja moja

Kumbe nimepoteza karibia mil 1, wakati kazi Yang ni dereva guta
Pole sana mkuu.
 
Uliafanya maamuzi sahihi kukaa mbali na kausha damu lakini bila kupiga puli wanawake decent wapo ni suala la kumuweka wazi tu principles zako. Tangu mwanzo mwambie na muoneshe kwa vitendo kwamba hautaki mambo ya kukaushana damu.

Kabla sijaamua kurudi pulini, hizo mbinu nilijaribu nikashindwa. Hizo mbinu kwa kuongea kwa mdomo au kuandika comment ni rahisi, ila ikija kwenye uhalisia, unaonana na K ya Moto uso kwa uso, tena unakuta binti ana TAKO KUBWA ni vigumu kukaza. Akikutext naomba hela, hapo hapo akili inawaza tako lake au K yake mashine inasimama hapohapo. Unajikuta unatuma hela huku ukiwaza K ya moto na Tako KUBWA 🤣🤣🤣. Ni vigumu mno kwa sisi wanaume kuwa imara mbele ya K ya moto.

Kuhusu kuwa na decent au mahusiano serious kwa sasa bado sana. Mimi ni jobless mwenzako nipo kwenye upambanaji huku Natafuta Ajira 🤣. Mfumo wangu wa maisha ukiseto kabisa ama ajira au nikidunduliza mtaji niwe na biashara yangu ndio nitarudi kwa ajili ya mahusiano serious na mwanamke "decent"

Niliamua mwenyewe kurudi pulini, baada ya kuona namaliza hela za hapa na pale kwa sababu ya K. Nilivyoanza kukaza nikaona ghafla pisi zinanitafuta kunishobokea mno. Tena wengine wananivideo call wakionesha Tako KUBWA na K kabisa ili wanitoe kwenye reli, wengine walianza kuniwinda wajue nakaa wapi ili waniletee K, nikaamua kupiga chini namba yangu ya simu mwaka 2022, nikaamua hata kuhama geto nikaona niwe nahamahama mara kwa wazazi, mara mjomba, mara washkaji mara ndugu, nikajichimbia chobingo ndanindani nikipulika tu 😂😂. Huku nikifocus kwenye harakati za hapa na pale huku nikiendelea na zoezi la udundulizaji hela ndogondogo nazopata. Nikipata 5k naweka,10k naweka,20k naweka,50k naweka,70k naweka,100k naweka, mpaka nikakanunua hako kakiwanja kadogo 🤣🤣.
Niliamua pia kuwakataa mazima washkaji ambao muda wote wanawaza pombe na wanawake, wadau wananitania wanasema nataka kuwa mtumishi wa Mungu. Wengine wananitania kuwa nimeibiwa Mashine 🤣🤣

Ndio nikafanikiwa kwa staili hiyo.

Sio rahisi kukaza Bureki in real life, unaonana na Tako KUBWA au K ya moto uso kwa uso 🤣🤣
 
Baada ya kufanya hayo maamuzi magumu, nilipondwa sana na wadau, nilitukanwa sana na wadau, nishasingiziwa vitu vya ovyo na wadau. Nimeona nikae kimya tu na kuwa private. Mafanikio yangu wanajua wazazi na humu jf kwakuwa tuko anonymous . Kwa hiyo wadau wanajua mimi ni bwege mwenzao, sina hili wala lile

K zinaturudisha nyuma mno wanaume kwa Bahati mbaya nilichelewa kulijua hilo. Endelea kupambana kufikisha ujumbe ili watu wakae mbali na kausha damu
A luta continua
 
Baada ya kufanya hayo maamuzi magumu, nilipondwa sana na wadau, nilitukanwa sana na wadau, nishasingiziwa vitu vya ovyo na wadau. Nimeona nikae kimya tu na kuwa private. Mafanikio yangu wanajua wazazi na humu jf kwakuwa tuko anonymous 🤣🤣🤣. Kwa hiyo wadau wanajua mimi ni bwege mwenzao, sina hili wala lile 🤣🤣🤣

K zinaturudisha nyuma mno wanaume kwa Bahati mbaya nilichelewa kulijua hilo. Endelea kupambana kufikisha ujumbe ili watu wakae mbali na kausha damu 🙌🏿🤣🤣
True
 
Wanaume tunatoboka Sana
1 .Unatuma Hela ya vocha, au unamuunga bando Ili muwasiliane. Anakujibu sawa ila Sina nauli ya kuja Unatuma
2. Anakuja mlipo kubaliana anakuambia ana njaa unamnunulia msosi na kinywaji anavyotaka yeye. Unalipia chumba, mashrti na taka chumba self unakubali
3. Chumbani KABLA ya shoo anataja shida kibao ambazo anaomba umsaidie,
4 Baada ya shoo unampa nauli na pesa kiasi Fulani.. baada ya siku chache anaomba pesa ya simu, kusuka nguo sijui niongezee Kodi n.k,
Kwa bahati mbaya pamoja nakuingia gharama zote hizo, bado hauko pekeako.
 
Ni huzuni kwa kweli.
 
Back
Top Bottom