Kausha Damu ni janga la kitaifa

Natafuta Ajira

JF-Expert Member
Mar 25, 2020
4,418
9,806
Kausha damu ni shida kwa kweli hata kama mwanaume una hela kuombwa ombwa kila siku ni kero na mbinu yao sasa hivi wanasema nikopeshe kiasi fulani ukitoa tu iyo hela kamwe hautalipwa. Kuna mmoja aliomba nimkopeshe atanirudishia asubuhi akitoka akitoka kudanga, yaani sasa hivi ukahaba ni mchongo ambao wakina dada wanaombea kabisa mkopo kama waajiriwa. Astaghafilurah.!

Kama demu haujawasiliana nae kwa siku kadhaa siku ukipata sms yake ya salamu "mambo" ukijibu tu iyo ujue kinachofuata ni kuombwa hela. Kausha damu ni tatizo ambalo limeashaanza kuota mizizi kwenye jamii. Ningekua na mamlaka ningeamuru wakusanywe kausha damu wote watumbukizwe kwenye tanuri la moto kama Hitler alivyowafanyia wayahudi.

Unakuta mwanamke hajawekeza chochote kwako. Hajakufanyia kazi yoyote, hajawahi kukupa ushauri wa maana, hajawahi kukupa connection ya kupiga hela yaani mmechat tu text mbili tatu out of nothing anaanza kuomba hela, this is disgusting.

Tumeamua kuwa wapenzi basi tupeane mapenzi sio hela. Ikiwa unataka hela kafanye kazi kama hauna kazi basi muombe hela baba yako, uyo ndie anapaswa kuwajibika kukuhudumia kama bado haujaolewa.
 
Kwahiyo huu mwaka ndiyo unaanza hivi 🤔🤔🤔
Screenshot_20240103-160620.png
 
nikifikiria familia niliyonayo jinsi inavyonielemea nibora nidondokee kwa wale wa kule telegram kuliko kwa hao kausha damu
Sure mkuu. Kama anauza ni bora mkubaliane bei mmalizane kila mtu apite njia yake kuliko kubeba gharama ya kumuhudumia mtu mzima mwenye wazazi, nguvu na akili timamu kuweza kufanya kazi
 
Kutokana na mizinga na ukaushaji wa damu wa hali ya juu, Toka 2022, bila ya kulazimishwa na mtu yoyote, nikiwa na akili timamu, Niliona nirudi pulini. Nilipiga chini namba ya simu, nikasajili namba mpya ambayo ina namba ya watu wa muhimu na washikaji wa muhimu tu. Nikaachana na K mazima, na nilianza kudunduliza tuhela twangu taratibutaratibu mpaka mwaka jana kama masihara nikanunua kakiwanja kadogo 🤣🤣 mpaka nikamaliza michakato ya hati. Mwaka huu na 2025 nataka niendelee kudunduliza nione ama niongeze kiwanja cha pili au nijenge.


Najuta kuchelewa kuijua puli kwa jicho la kiuchumi, hasa kipindi nilipopitiwa na upepo wa hela.

Naomba sana msamaha, wadau wa puli nilikuwa nawapondaga sana. Naomba mnisamehe sana, ni upwiru na ushamba vilikuwa vinanisumbua.
 
Back
Top Bottom