Wakina dada jitegemeeni, kipato cha mwanaume hakiwahusu

Natafuta Ajira

JF-Expert Member
Mar 25, 2020
4,417
9,806
Suala la mwanamke kuhudumiwa na mwanaume lilikua na mantiki kwenye jamii ya zamani ambapo mwanamke hakupewa nafasi katika nyanja yoyote ya maendeleo. Kwa sasa mwanamke kapewa access zote za kuwa na ajira kwaiyo anatakiwa kuondolewa kwenye kundi la watu tegemezi.

Pamoja na mwanamke kupewa nafasi ya kujumuika katika kinyang'anyiro cha kujitafutia riziki bado kuna wanawake kausha damu wanaamini kupewa hela ni haki yao ambayo ni lazima waipate kutoka kwa mwanaume, hata kama ana ajira kausha damu anaamini kipato cha mwanaume ni second source of her income, this is ridiculous.

Kausha damu hawa ni wepesi wa kuwasema vibaya makahaba wanaojiuza barabarani, mitandaoni na kwenye kumbi za starehe wakati kiuhalisia hata wao wanajiuza kwa namna nyingine kupitia mahusiano yao.

Unakuta hajawekeza chochote kwako. Hajawai kukufanyia kazi yoyote, hajawai kukupa ushauri chanya, hajawahi kukupa connection ya kupiga hela yaani out of nothing anataka umpe hela just because she provide mbususu, this is another type of prostitution.

Kausha damu kila siku wanabuni misemo kuhalalisha ukahaba wao utasikia "mwanamke anahitaji matunzo", "mwanaume majukumu" n.k, sikilizeni kausha damu anaetunzwa ni mke hakuna mwanaume mwenye jukumu la kumtunza girlfriend, mchumba au mdangaji.

Na kausha damu wana tabia ya kupandisha jazba wakiambiwa ukweli unaochoma, soma comments zao utawajua tu.
 
Umeongea ukweli..

Mwanamke Kutegemea mwanaume 100% kunachosha kwanza kunaleta masarau jeuriii mtu anakuvimbia anakunyasanyasa utamwambia nini na unamtegemea kila kitu!!!!
Lazima uwe mtumwa wake

Na nilivo sipendi dharau kunyaswanyaswa in any way Alooooooohh 🙌🙌🙌

Pia kuna raha ya kuwa na kipato chako mwenyewe
cc Smart911
 
Kama bado unasubiria kuombwa hela na Mwanamke wako ndiyo uumpe bado una safari ndefu kwenye Mapenzi...

Wanaume(siyo wavulana) kuna namna wanatoaga tu bila kuombwa...
Muombe au msiombe kwanini mpewe hela? Nyie ni walemavu au watoto yatima?. Umepewa access ya kupata elimu, kumiliki mali, kufanya kazi kwanini bado unajiona una uhalali wa kupewa hela na mwanaume?
 
Back
Top Bottom