Kauli za Slaa na mauaji ya raia wasio na hatia

kwani kwa akili yako mtu hata akifanya fujo anastahili kufa??? Polisi hawakutakiwa kuua hata kama Slaa ndiye kawatuma hao watu. Kwanini haikuwakamata na kuwafungulia mashtaka ya kufanya fujo kituoni? Kwani hao watu walienda na silaha ili tuseme polisi walikuwa wanajihami?? Hakuna sababu ya polisi kuua watu!! Hao polisi wanatoa wapi mamlaka ya kutoa uhai wa mtu?? Polisi wa Tanzania siwaelewi kabisa!! Hivi wanamwogopa Mungu kweli???
Ndugu wanajamvi, Leo katika kupitia kumbukumbu zangu, nimekutana na kitu ambacho kimenifanya nitafakari na kuunganisha dots na ku cross ts na kupata jibu juu ya vifo vya watz katika mikutano ya CDM.

Katika pekua yangu nikakutana na Slaa akiwahutubia na kuwataka wananchi waende Polisi kuwatoa viongozi wa CDM waliokuwa wamekamatwa na Polisi wa Arusha kwa kufanya maandamano haramu. Ni kutokana na kauli hiyo, watu wakaelekea kituoni na matokeo yake, watu 2 wakafa.

Lau kama isingekuwa kauli hiyo, nchi isingeshuhudia mauaji hayo.

Kauli nyingine chonganishi, zilizotolewa na huyo Slaa, ni ile ya Moro pamoja na Iringa na matokeo yake yanajulikana. Ni kutokana na ukweli huo, ninadiriki kutamka kwamba Mikono ya Slaa ina damu za watz waliouwawa katka shughuli za CDM na ninaamini kuwa katika umri wake pamoja na historia yake ya kupitia kwenye utumishi wa mungu, anapaswa kutubu na kuomba msamaha kwa mungu wake pamoja na watz kwa ujumla.
 
Kuna siku nasikia walijitokeza FFU walipo simika bendera ya nyekundu na kutoa amri kuna kiongozi mmoja wa Chadema alitoka baruti huku kavaa magwanda na mwingine akajificha nyuma ya spika.
 
Kuna siku nasikia walijitokeza FFU walipo simika bendera ya nyekundu na kutoa amri kuna kiongozi mmoja wa Chadema alitoka baruti huku kavaa magwanda na mwingine akajificha nyuma ya spika.
Slaa anaonekana mgonjwa mgonjwa lakini mambo yaki chafuka ana mbio za ajabu. Mbowe inafaa ajiunge na timu yetu ya olympics, jama yuko fiti kuruka ukuta.
 
Ndugu wanajamvi, Leo katika kupitia kumbukumbu zangu, nimekutana na kitu ambacho kimenifanya nitafakari na kuunganisha dots na ku cross ts na kupata jibu juu ya vifo vya watz katika mikutano ya CDM.

Katika pekua yangu nikakutana na Slaa akiwahutubia na kuwataka wananchi waende Polisi kuwatoa viongozi wa CDM waliokuwa wamekamatwa na Polisi wa Arusha kwa kufanya maandamano haramu. Ni kutokana na kauli hiyo, watu wakaelekea kituoni na matokeo yake, watu 2 wakafa.

Lau kama isingekuwa kauli hiyo, nchi isingeshuhudia mauaji hayo.

Kauli nyingine chonganishi, zilizotolewa na huyo Slaa, ni ile ya Moro pamoja na Iringa na matokeo yake yanajulikana. Ni kutokana na ukweli huo, ninadiriki kutamka kwamba Mikono ya Slaa ina damu za watz waliouwawa katka shughuli za CDM na ninaamini kuwa katika umri wake pamoja na historia yake ya kupitia kwenye utumishi wa mungu, anapaswa kutubu na kuomba msamaha kwa mungu wake pamoja na watz kwa ujumla.
mkuu umewagusa pabaya. cheki wanavyokupotezea this very useful thread. ungesema kikwete hapa ungeona jinsi wangechangamkia. watu waajabu sana hawa. kiukweli huwezi kutenga slaa na mauaji yanayotokea kwenye mikutano ya chadema. je alipowaammbia wakamtoe waliweza? au waliishia muchwari, icu na maodini? fikiri, chukua hatua.
 
Ndugu,

Kumbukumbu? Eti kumbukumbu!
Watu waelewa uwa kwa kawaida wanajitenga na kusema/kufanya/kutenda mambo yasiyo na msingi. Watanzania wa leo ni waelewa na wajuzi wa mambo, hawaambiwi fanya nao wakafanya. Dk. Slaa ni mdemokrasia anayependa watu wasionewe na watafute usawa kwa haki.
Kumbukumbu? Eti kumbukumbu!
 
Ndugu wanajamvi, Leo katika kupitia kumbukumbu zangu, nimekutana na kitu ambacho kimenifanya nitafakari na kuunganisha dots na ku cross ts na kupata jibu juu ya vifo vya watz katika mikutano ya CDM.

Katika pekua yangu nikakutana na Slaa akiwahutubia na kuwataka wananchi waende Polisi kuwatoa viongozi wa CDM waliokuwa wamekamatwa na Polisi wa Arusha kwa kufanya maandamano haramu. Ni kutokana na kauli hiyo, watu wakaelekea kituoni na matokeo yake, watu 2 wakafa.

Lau kama isingekuwa kauli hiyo, nchi isingeshuhudia mauaji hayo.

Kauli nyingine chonganishi, zilizotolewa na huyo Slaa, ni ile ya Moro pamoja na Iringa na matokeo yake yanajulikana. Ni kutokana na ukweli huo, ninadiriki kutamka kwamba Mikono ya Slaa ina damu za watz waliouwawa katka shughuli za CDM na ninaamini kuwa katika umri wake pamoja na historia yake ya kupitia kwenye utumishi wa mungu, anapaswa kutubu na kuomba msamaha kwa mungu wake pamoja na watz kwa ujumla.

Mkuu habari,
Sakata hili ndilo lililomuumbua waziri mkuu Bungeni nakuitwa Mwongo na Lema. Unataka tulianzishe tena baada ya Spika kushindwa kutoa maelezo ya Lema mpaka alipoondolewa Bungeni?

Mosi, si kweli kwamba watu waliouawa walikuwa ktk umbali unaoruhusiwa kisheria wa polisi kufyatua Risasi. Na hii ndio moja ya sababu ya Lema kumwita Pinda Mwongo kati ya Uwongo kumi. Kwa hiyo sakata la Arusha tulitoe kabisa.

Morogo.
Morogoro walipomwua Ali Nzona, Dr Slaa alikuwa hajatuma Meseji hiyo kama ni kweli alituma, mimi sina uhakika. Na kama mauaji yalitokana na kauli zake, kwanini basi waliua wakati ujumbe wa kuwaagiza ilikuwa bado?

Tatu, Kama mauaji yalitokana na ujumbe wa Dr Slaa.
Mosi, thibitisha kwamba ujumbe ulitumwa saa ngapi na mauaji yalitokea saa ngapi na kama hautokani na mtambo wetu ule.

Na je, kwa nini walimwua mwandishi wa habari wakati alikuwa kazini? Je, kwa nini kamanda senso alidanganya kuwa aliuawa na kitu kizito kilichourushwa na wananchi. Sasa imejulikana ni Polisi waliua. Je, Polisi ndio walitumwa Dr Slaa kwenda kuua?

Ni maswali ya ufahamu tu mkuu nasubiri majibu yako kwa heshima na taadhima.
 
Ndugu wanajamvi, Leo katika kupitia kumbukumbu zangu, nimekutana na kitu ambacho kimenifanya nitafakari na kuunganisha dots na ku cross ts na kupata jibu juu ya vifo vya watz katika mikutano ya CDM.

Katika pekua yangu nikakutana na Slaa akiwahutubia na kuwataka wananchi waende Polisi kuwatoa viongozi wa CDM waliokuwa wamekamatwa na Polisi wa Arusha kwa kufanya maandamano haramu. Ni kutokana na kauli hiyo, watu wakaelekea kituoni na matokeo yake, watu 2 wakafa.

Lau kama isingekuwa kauli hiyo, nchi isingeshuhudia mauaji hayo.

Kauli nyingine chonganishi, zilizotolewa na huyo Slaa, ni ile ya Moro pamoja na Iringa na matokeo yake yanajulikana. Ni kutokana na ukweli huo, ninadiriki kutamka kwamba Mikono ya Slaa ina damu za watz waliouwawa katka shughuli za CDM na ninaamini kuwa katika umri wake pamoja na historia yake ya kupitia kwenye utumishi wa mungu, anapaswa kutubu na kuomba msamaha kwa mungu wake pamoja na watz kwa ujumla.

usitubabaishe hapa, kwanza hujui unalosema, na kama unabisha, naomba ututhibitishie morogoro aliongea kauli gani ya uchochezi, na iringa pia!
 
Wao wanajifunza kuuwa, sisi tunajifunza kufa! Kauli ya Mawazo Alphonce wakati wa vurugu Morogoro. Sijawahi ona hata kiongozi mmoja au mwanachama mmoja wa chadema amekufa katika vurugu kama hizi... kwanini ni wananchi wa kawaida na mashabiki tu? Kunani hapa? Je, ni mpango wa serikali? Au ni tactics za chadema?
Tena viongozi wanakaa mstari wa mbele kabisaaa... Hii inakuwaje hawapatwi wao wanauawa waandishi, wananchi, wauza magazeti... Kunani hapo Chadema?!
 
Kwanza wewe ndio wa kumwomba msamaha Mwenyezi Mungu maana kama unamaanisha Mungu ambaye wengi wanamfuata huapaswa kutubu kwanza kwa kuliandika jina lake kwa herufi ndogo.

Na hii ni ushahidi wa mtu aliyejaa majungu, fitina, uongo, uchonganishi na kila tabia mbaya duniani anavyojaribu kupandikiza uovu huo. Wenye akili tushafahamu na ndio maana pamoja na matusi yenu kwa Watanzania mkifikiri wao ni madodoki wanachukua uchafu na usafi kwa pamoja mmenoa.

Civil education that has been conveyed by CDM has sunk deep into the hearts of many Tanzanians and now they are moderately translating issues on practical footing. Nyie poteza muda katika kusafisha watu na taasisi zisizosafishika because their conscience is already dead
.
 
Hicho kibabu kinachoitwa dr.silaha sijui gobole kitakuwa cha kwanza kwa wanasiasa wa Tanzania kutiwa motoni, huwezi kutumia ujinga wa watu ili kujikuza kisiasa and to get away with it, lazima awajibikie moto kwa mauaji ya vijana wasio na hatia unless afanye confession na toba.

Bila watu wajinga chadema isinge pata umaarufu, maana sera zao mbovu zisizotekelezeka na umahili wa viongozi wa chadema katika kujenga hoja hauna nafasi ndani ya jamii ya watu wanao-argue, jamii ya watu wenye uweredi na jamii ya watu wazalendo wenye msimamo wa wanayoyaamini.

Chadema imejizolea vijana wajinga kwa kufuata na kutekeleza ile kauli isemayo "wajinga ndio waliwao" na kuwatumia katika operesheni zao za fujo na shari, matokeo yake vijana hao wanaishia kuuwawa ili watumie mauaji hayo kujengea chuki kati ya wananchi na serikali yetu.

Jamii ya watu kama mimi ambao hatutawaliwi kimawazo wala kifikra ndio tunaweza kuona "udikteta wa magwanda" ila ukikurupuka unaweza kuitupia lawama serikali au jeshi la polisi juu ya vifo vya watanzania wenzetu ambavyo vinasababishwa na magwanda.

Badilika ubadilishe taifa.

Now an English adage that "not all that glitters is gold" is in full swing. Nilipoona maneno mengi then was tempted to read hoping to get something tangible out of it lakini nilichoambulia ni lugha ya ajabu. Nikukumbushe ndugu kuwa penye sera ya uhuaji ni CCM. Kwa kinywa cha Rais na Mwenyekiti akiongea live kwenye maojiano ya mojamoja kwa moja wanachama wa CCM wanaogopana hata kuachiana glass mtu akitoka. Wapo mawaziri hii leo akienda mgahawani/hotelini anakimbia kama aliyefukuzwa anachukua chombo randomly ndipo anawekewa chakula kwa mtindo huo wa zimamoto. Unafikiri hatuyajui haya? Juzi viongozi wenu wametishiana kwa bastola. Mwingine alimpiga mtama RPC. This an aggregation which shows CCM and its allies are archtects of strifes, chaos and blood shed for that matter.
 
Hayo ni mawazo yako Mkuu.Kama ni kweli unafikiria hivyo toka moyoni mwako ni vizuri.

Ila kama unaamini tofauti na haya ulioyaandika hapa na maandishi yako ya hapa yamechagizwa kwa kupata msaada fulani, baci Mkuu litakuwa tatizo hata kwako mwenyewe.
 
iko siku bunduki zitashindwa kuwazuia watz walio choka kuhujumiwa. MADIKITATA wote tawala zao ziliisha kwa aibu kubwa.
 
Hebu tumia tu akili ndogo, anayeua ni dr. slaa au ni polisi walio chini ya wizara ya mambo ya ndani ikiongozwa na jk? daudi mwangosi, aliyechinjwa usa river na kupigwa na kuumizwa kwa dr. ulimboka bado unashabikia ccm? dah! ama kweli hata kama mimi ni mtoto wa balozi wa nyumba kumi kumi siwezi nikaanzisha hiyo thread.
 
kila anaye ua kwasababu yoyote ile na yeye zamu yake inakuja. ZAMU YA KUFA SIYO YA WALIOKUFA BALI NI ZAMU YA WALIOHAI.2015 tutashuhudia mambo makubwa na shangwe kuu.
 
Tatizo wao wenyewe huwa hawatokei maeneo ya tukio wanakimbia wanaacha wananchi wasio na hatia.

Kujenga hoja = 0 = Shigela

Kuongea kwenyewe = 0 = Wassira.

Kama hawapo kwenye eneo la tukio, sasa wanakimbia wakitokea wapi?

Kama mnajua wananchi hawana hatia mnawaulia nini?

Na kama mnajua kosa ni la Dr.Slaa, nini kinaizuia serikali isimkamate?

Very shallow, wewe na huyu mwenzako aliyeanzisha uzi. Eti mko makini, umakini wenu unathibitishwa na lipi? Kuunga mkono CCM ambayo inaiba fedha mchana kweupe na watu hawachukuliwi hatua yeyote zaidi ya kuhamishiwa idara nyingine?
 
Sijui ni kipi hujaelewa hapo bwana mdogo.

Hao viongozi wako ni kawaida yao kukimbia kuwaacha wanachama wao wakapate misukosuko!

Kama mmeshakubaliana kuandamana halafu mtu hatokei huyo anakuwa amekimbia period! Sina neno zuri pengine ulitaka niseme hakutokea ila hawa huwa wanaingia mitini!
 
Back
Top Bottom