Kauli za Slaa na mauaji ya raia wasio na hatia

Sasa mtu ambaye kaiba mke wa mtu alfu akazini nae mpaka akamzalisha unategemea atakuwa na kheri!!!

alah kumbe alitembea na mke wa baba ako?au ni ushakunaku uliusikia kwa watu? mambo ya ndoa hayana relation na mada ya hapa mezani,,,,mpe pole babako
 
Daah huwanachoka sana napokutana na thread kama hizi, mpelekeni mahakamani basi mnaogopa nn?? Mbona mwawajibishana wenyewe?,polisi na serikali yake hamna mamlaka ya kuuaraia kwa kisingizio cha mgongo wa CHADEMA.hakika mtaendelea kutapatapa.tusha mlima barua mkuu wakaya wenu kumuelekeza nn atakiwa kufanya ka rais..nahapo unasemaje??
 
Hicho kibabu kinachoitwa dr.silaha sijui gobole kitakuwa cha kwanza kwa wanasiasa wa Tanzania kutiwa motoni, huwezi kutumia ujinga wa watu ili kujikuza kisiasa and to get away with it, lazima awajibikie moto kwa mauaji ya vijana wasio na hatia unless afanye confession na toba.

Bila watu wajinga chadema isinge pata umaarufu, maana sera zao mbovu zisizotekelezeka na umahili wa viongozi wa chadema katika kujenga hoja hauna nafasi ndani ya jamii ya watu wanao-argue, jamii ya watu wenye uweredi na jamii ya watu wazalendo wenye msimamo wa wanayoyaamini.

Chadema imejizolea vijana wajinga kwa kufuata na kutekeleza ile kauli isemayo "wajinga ndio waliwao" na kuwatumia katika operesheni zao za fujo na shari, matokeo yake vijana hao wanaishia kuuwawa ili watumie mauaji hayo kujengea chuki kati ya wananchi na serikali yetu.


Jamii ya watu kama mimi ambao hatutawaliwi kimawazo wala kifikra ndio tunaweza kuona "udikteta wa magwanda" ila ukikurupuka unaweza kuitupia lawama serikali au jeshi la polisi juu ya vifo vya watanzania wenzetu ambavyo vinasababishwa na magwanda.

Badilika ubadilishe taifa.


Wewe kweli hujitambui, mbona unaongelea kinyume! huo ujinga unaosema ndio umefanya ccm iendelee kutawala mpaka sasa; dawa, vifaa hakuna hospital watu wanona sawa tu ndio maisha, no madawati kwenye mashule watu wanaona sawa tu, taja kila huduma ya jamii nchi hii ni mbovu watu wanona sawa tu, na watu hao ni wewe.
 
he! Ndio maana Tundu Lisu aliwaambia uteuzi unaofanya na Kikwete ni wa kipuuzi, ona sasa we mwenyewe unakubali, IGP naye yupo kikanda zaidi! Hii govt kweli dhaifu!
UGONJWA MBAYA SANA WA UKANDA. Unaogopa kutaja ukabila crazy!! you need a psychiatrist. Mauaji ya Arusha aliamrisha nani. Jamani kilaza mkubwa huyu karik enye!!anadai kichwa kina Historia>!!!
 
Kalikenye, una ugonjwa mbaya, tena umeanzia kichwani, kaombewe ili utokwe na pepo chafu la uchonganishi na uuaji. Watz wanaelewa, huwezi kuwadanganya kitu wewe. Wanaelewa IN AND OUT ya Dr Wetu.

We unayeamini katika mapepo, katoe kwanza la kwako.
 
Aliyetuma huu ujumbe lazima ni gamba.Nafikiri hawa watu wanatakiwa kujua kwamba,mabadiliko ni kama mvua,huwezi kuzuia.Watanzania wa leo sio kama wa miaka ya nyuma,they want change,and the changes that they want,is to do away with CCM and its corrupt officials.
 
Ni pen sliperly. It means KAULI

Acha woga kalikenye hakuna hata sehemu moja katika bandiko lako kuna neno 'KAULO' sijui bhululu kaliburula wapi hilo neno.
kuhusiana na hoja yako nadhani unajaribu kulawiti chanzo cha mauaji au vurugu nguvu zinazofanywa na majeshi yetu, yaani unajifanya kama hujui utendaji wa majeshi yetu hususani la polisi? sinto kupa darsa la nini wanafanya kwani naamimi kiungo chako cha tafakuri si kibovu you can figure out the truth no t the bullshit you just concocted!
 
Back
Top Bottom