- Thread starter
- #41
mkuu umewagusa pabaya. cheki wanavyokupotezea this very useful thread. ungesema kikwete hapa ungeona jinsi wangechangamkia. watu waajabu sana hawa. kiukweli huwezi kutenga slaa na mauaji yanayotokea kwenye mikutano ya chadema. je alipowaammbia wakamtoe waliweza? au waliishia muchwari, icu na maodini? fikiri, chukua hatua.
Umeonaa eee!! Unajua imefikia hatua hawa wenzetu wametugeuza watz wote kuwa ni mazuzu na hatuna kumbukumbu za matukio yaliyowahi kujiri.