Kauli ya Rais kwa waandishi 'Wapara' kuwa wakimpara "Atawaparua", Je Rais Samia ni katili?, Soma Jinsi ya kuwabaini makatili!. Ni kutumia macho tu!.

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,504
113,618
Wanabodi,
Moja ya matumizi mazuri ya mitandao ya kijamii ni kuhabarishana, kuelimishana, kuburudishana, nakusaidiana.

Ikitokea kuna jambo unalijua, mwenzako halijui, msaidie kumuelimisha kwa kutumia experience yako kuelimisha wengine nao wajue.

Ila kauli ya Rais Samia aliyoitoa siku ya Uhuru wa Habari kuwa waandishi wa habari watakao mpara, atawaparua, imeleta sintofahamu kwa baadhi ya watu kuanza kumdhania na Rais Samia pia ni rais katili?.

Naomba kukiri, nimekuwa inspired kupandisha bandiko hili Uhuru wa Habari Tanzania: Kati ya Waparaji na Wakunaji Wazuri, Nani Watamsaidia Zaidi Rais Samia?. Tunakuomba Mama, Usiwaparure Waparaji!.
kutokana na post ya Mwanajf huyu
Huyu bibi watu hawamjui vizuri ni katili hatari sn
Mkuu Bejamini Netanyahu , sii kweli!. Wewe ndio utakuwa humjui vizuri, hivyo najitolea kukusaidia wewe na wengine wa aina yako Kwa kukuendeshea somo la jinsi ya kumtambua mtu katili. Tena hata kwa JPM, kabla hata ya kuchaguliwa kuwa Rais wa JMT, ile mwaka 2014, kuna kitu nilikisema humu kumhusu JPM Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli humo nilisema kila kitu kumhusu JPM, ila pia baadhi ya mabandiko yangu, sio mabandiko ya watu wote kama bandiko hili, ni Bandiko kwa watu wenye jicho la tatu only ndio walibaini nasema nini. Sio kila kitu ni kwa watu wote!, vitu vingine ni kwa ajili ya wale tuu wa kiwango fulani na kwa wengine ni hakuna jinsi.

Ukatili wa mtu, haukai mdomoni kwenye kauli, wala haikai usoni kwenye kukunja uso, ukatili wa mtu hukaa moyoni, hivyo kwa jicho la kawaida, sii rahisi kumjua mtu mkatili, lakini watu waliojaaliwa jicho la tatu, huona ndani ya moyo wa mtu kupitia macho yake!.

Humu ndani nimeisha endesha masomo kibao ya utambuzi, moja ya masomo hayo ni somo kuhusu watu makatili na jinsi ya kuwatambua Character Assassination ni Modus Oparandi ya Madikiteta Katili Wote Duniani!

Watu makatili, huitwa ma sadist, namna rahisi ya kuwatambua watu hawa ni ukiona mtu anashangilia vitendo vya ukatili, na sisi Tanzania tuliwahi kuwa na viongozi wa type hii, sisi wengine tukasaidia kuwazungumzia, kama huyu This man is either a sadist or alimuua kibaka, akanywa bia kusherehekea?

Kwa vile ukatili hukaa moyoni, na sio usoni, au mdomoni, ni vigumu kuubaini. Mimi ni miongoni mwa watu waliopitia changamoto kubwa za maisha, hivyo kupitia hizo changamoto zikanifunza by experience. hivyo hapa natumia uzoefu wangu kusaidia wengine.

Kwanza nilioa nikiwa na umri mdogo wa miaka 25tuu, binti miaka 21, tukisoma wote darasa moja Chuo cha TSJ. Baada tuu ya ndoa tuhama nchi kwenda UK, then US kisha tukarudi Bongo, enzi hizo mimi ni mtangazaji maarufu wa Kipindi cha Kiti Moto.

Hivyo by 30 years tayari familia tuna watoto 2, wife akapata scholarship ya 4 years US na mimi kubaki na watoto wawili ( a 4 years girl & a 1.5 years boy). Hivyo scholarship hiyo ndio ikawa mwanzo wa changamoto za maisha. jumla!.

Kwa miaka yote 4 ya scholarship ya wife, kibarua cha kwanza ni kulea familia as a single parent father!. Pale ndipo nilipojua umuhimu wa wadada wa kazi!. Kiukweli hawa wadada wa kazi, waheshimiwe Sana na walipwe vizuri!.

Kibarua cha pili siku msichana wa kazi amepata msiba hivyo kwenda kwao na wewe kuachiwa uyaya wa watoto wawili wadogo for just two days!. There was no way out, lazima tuu uta import!. Kumbe jirani kaachiwa assignment ya kulinda na kuropoti!. Taarifa ya importation ikafika kusiko. Mtu kumaliza shule akagoma kurudi jumla!.

Ndipo nikakubali matokeo na Kuanza changamoto ya search kumpata mama wa Kambo ambaye hata nitesea wanangu!. Hapa ndipo nikaingia darasani kufungua a third eye kubaini wanawake katili .

Utambuzi wa Mama wa Kambo katili unafanyika kwa kumtazama machoni huyo mwanamke wakati akiwa na wewe mkiwa pekeyenu na kimlinganisha na akiwa na wewe na watoto wako!. Hivyo kuna vitu utaviona!, na utajua huyo mwanamke ni mke mwenye roho mzuri au ni mwanamke katili. That search took me 10 good years to find the right one, na miaka hiyo 10 ya search, produced 3 issues!. By the time you find her the family has 5 issues!.

Hivyo mtu mwenye macho kama haya Ikitokea kuna Kiongozi ana Macho mazuri, na umeyapenda, je, kuna ubaya kumsifia macho yake? Ni ukosefu wa heshima na adabu? hawezi kuwa mtu katili!.

Hebu angalia hayo macho kwenye picha hii View attachment 2216119View attachment 2216122

View attachment 2216124
Mtu kama huyu, kweli anaweza kuwa katili?. Angalia macho!.

Sasa Kwa faida ya wasiomjua vizuri huyu Mama, jielimishe hapa

Hitimisho
Ile kauli ya "wakinipara nitawaparura" sio kuparura kwa ukatili kutumia makucha kama paka akiparua, au kuparua kama yakupara samaki, hii ni kauli tuu ya tamathali ya semi, kwa media zitakazo mpara, zitaparuliwa kwa kutumia sheria zetu kandamizi zilizopo!

Paskali
 
Wanabodi,
Moja ya matumizi mazuri ya mitandao ya kijamii ni kuhabarishana, kuelimishana, kuburudishana, nakusaidiana.

Ikitokea kuna jambo unalijua, mwenzako halijui, msaidie kumuelimisha kwa kutumia experience yako kuelimisha wengine.

Ila kauli ya Rais Samia aliyoitoa siku ya Uhuru wa Habari kuwa waandishi wa habari watakao mpara, atawaparua, imeleta sintofahamu kwa baadhi ya watu kuanza kudhania na Rais Samia pia katili.

Naomba kukiri, nimekuwa inspired kupandisha bandiko hili kutokana na post ya Mwanajf huyu

Mkuu Bejamini Netanyahu , sii kweli!. Wewe ndio utakuwa humjui vizuri, hivyo najitolea kukusaidia wewe na wengine wa aina yako kukuendeshea somo la kumtambua mtu katili.

Ukatili wa mtu hukaa moyoni, hivyo kwa jicho la kawaida, sii rahisi kumjua mtu mkatili, lakini watu waliojaaliwa jicho la tatu, huona ndani ya moyo wa mtu kupitia macho yake.

Kwa vile ukatili hukaa moyoni, na sio usoni, ni vigumu kuubaini. Mimi ni miongoni mwa watu waliopitia changamoto kubwa za maisha. kwanza nilioa nikiwa na umri wa miaka 25, binti miaka 21, tukisoma darasa moja Chuo, TSJ. Hivyo by 30 years tuna watoto 2, wife akapata scholarship ya 4 years US na mimi kubaki na watoto wawili 4 years girl na 1.5 years boy. Hiyo scholarship ndio ikawa jumla!, hivyo kibarua cha kwanza ni kulea familia as a single parent father;. Kibarua cha pili ni search kumpata mama wa Kambi ambaye hata nitesea wanangu. Hapa ndipo nikaingia darasani kubaini Wanawake katili . Utambuzi wa Mama wa Kambi katili unafanyika kwa kumtazama machoni huyo mwanamke wakati akiwa na wewe pekeyenu na akiwa na wewe na watoto wako!.

Sasa Kwa faida ya wasiomjua vizuri huyu Mama, jielinishe hapa

Sio katili ila hapendi kukosolewa pale anapokosea. Anapenda nyimbo za sifa tu
 
Alikuwa anafurahisha hadhira....

Kama hakuna kupara kusikoacha majeraha na maumivu, vivyo hivyo hakuna kuparura kusikoacha maker aha na maumivu...

Lakini ni vyema tutambue kuwa, maumivu na majeraha ya mdogo kumpara mkubwa si sawa na yale ya mkubwa kumparura mdogo...

Rais ana mizungu mingi ambayo anaweza kuitumia kumparura mtu, na huyo mtu asiweze kupona kabisa au hata akipona akawa na makovu yasiyofutika...

Hivyo acha hiyo kauli ikae hivyo hivyo, kwa sasa imeeleweka...
 
Duh huyu mama ni Magufuli wa kike asiyetokea Chato ila Unguja. Huyu mama alisema CCM itaingia ikulu hata tusipoichagua
Huyu mama ndiye aliyemfunga Mbowe kwa ugaidi baada ya kuzindua kampeni za kudai katiba mpya pale Mwanza.

Huyu mama ndiye aliyemsulubu Ndugai baada ya kutoa maoni yake (haki yake kikatiba) kuwa tusiendelee kukopa, vinginevyo nchi itapigwa mnada.

Pascal Mayalla unataka uone nn zaidi ya haya ili kuthibitisha kuwa huyu mama ni katili?
 
Mkuu unazeeka vibaya sana.
Nilivyomuelewa pasco ni kwamba mama anajua kwamba zile sheria ambazo ni mbaya zinazohusu kudhibiti habari bado zipo hivyo waandishi na media zenu muelewe kwamba zitaweza kuapply wakati wowote ikionekana ni lazima kufanya hivyo !! A.k.a kuparurana !! Alikuwa anawatahadharisha msije mkajisahau waandishi wa Habari !!
 
Wanabodi,
Moja ya matumizi mazuri ya mitandao ya kijamii ni kuhabarishana, kuelimishana, kuburudishana, nakusaidiana.

Ikitokea kuna jambo unalijua, mwenzako halijui, msaidie kumuelimisha kwa kutumia experience yako kuelimisha wengine nao wajue.

Ila kauli ya Rais Samia aliyoitoa siku ya Uhuru wa Habari kuwa waandishi wa habari watakao mpara, atawaparua, imeleta sintofahamu kwa baadhi ya watu kuanza kumdhania na Rais Samia pia ni rais katili?.

Naomba kukiri, nimekuwa inspired kupandisha bandiko hili Uhuru wa Habari Tanzania: Kati ya Waparaji na Wakunaji Wazuri, Nani Watamsaidia Zaidi Rais Samia?. Tunakuomba Mama, Usiwaparure Waparaji!.
kutokana na post ya Mwanajf huyu

Mkuu Bejamini Netanyahu , sii kweli!. Wewe ndio utakuwa humjui vizuri, hivyo najitolea kukusaidia wewe na wengine wa aina yako Kwa kukuendeshea somo la jinsi ya kumtambua mtu katili. Tena hata kwa JPM, kabla hata ya kuchaguliwa kuwa Rais wa JMT, ile mwaka 2014, kuna kitu nilikisema humu kumhusu JPM Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli humo nilisema kila kitu kumhusu JPM, ila pia baadhi ya mabandiko yangu, sio mabandiko ya watu wote kama bandiko hili, ni Bandiko kwa watu wenye jicho la tatu only ndio walibaini nasema nini. Sio kila kitu ni kwa watu wote!, vitu vingine ni kwa ajili ya wale tuu wa kiwango fulani na kwa wengine ni hakuna jinsi.

Ukatili wa mtu, haukai mdomoni kwenye kauli, wala haikai usoni kwenye kukunja uso, ukatili wa mtu hukaa moyoni, hivyo kwa jicho la kawaida, sii rahisi kumjua mtu mkatili, lakini watu waliojaaliwa jicho la tatu, huona ndani ya moyo wa mtu kupitia macho yake!.

Humu ndani nimeisha endesha masomo kibao ya utambuzi, moja ya masomo hayo ni somo kuhusu watu makatili na jinsi ya kuwatambua Character Assassination ni Modus Oparandi ya Madikiteta Katili Wote Duniani!

Watu makatili, huitwa ma sadist, namna rahisi ya kuwatambua watu hawa ni ukiona mtu anashangilia vitendo vya ukatili, na sisi Tanzania tuliwahi kuwa na viongozi wa type hii, sisi wengine tukasaidia kuwazungumzia, kama huyu This man is either a sadist or alimuua kibaka, akanywa bia kusherehekea?

Kwa vile ukatili hukaa moyoni, na sio usoni, au mdomoni, ni vigumu kuubaini. Mimi ni miongoni mwa watu waliopitia changamoto kubwa za maisha, hivyo kupitia hizo changamoto zikanifunza by experience. hivyo hapa natumia uzoefu wangu kusaidia wengine.

Kwanza nilioa nikiwa na umri mdogo wa miaka 25tuu, binti miaka 21, tukisoma wote darasa moja Chuo cha TSJ. Baada tuu ya ndoa tuhama nchi kwenda UK, then US kisha tukarudi Bongo, enzi hizo mimi ni mtangazaji maarufu wa Kipindi cha Kiti Moto.

Hivyo by 30 years tayari familia tuna watoto 2, wife akapata scholarship ya 4 years US na mimi kubaki na watoto wawili ( a 4 years girl & a 1.5 years boy). Hivyo scholarship hiyo ndio ikawa mwanzo wa changamoto za maisha. jumla!.

Kwa miaka yote 4 ya scholarship ya wife, kibarua cha kwanza ni kulea familia as a single parent father!. Pale ndipo nilipojua umuhimu wa wadada wa kazi!. Kiukweli hawa wadada wa kazi, waheshimiwe Sana na walipwe vizuri!.

Kibarua cha pili siku msichana wa kazi amepata msiba hivyo kwenda kwao na wewe kuachiwa uyaya wa watoto wawili wadogo for just two days!. There was no way out, lazima tuu uta import!. Kumbe jirani kaachiwa assignment ya kulinda na kuropoti!. Taarifa ya importation ikafika kusiko. Mtu kumaliza shule akagoma kurudi jumla!.

Ndipo nikakubali matokeo na Kuanza changamoto ya search kumpata mama wa Kambo ambaye hata nitesea wanangu!. Hapa ndipo nikaingia darasani kufungua a third eye kubaini wanawake katili .

Utambuzi wa Mama wa Kambo katili unafanyika kwa kumtazama machoni huyo mwanamke wakati akiwa na wewe mkiwa pekeyenu na kimlinganisha na akiwa na wewe na watoto wako!. Hivyo kuna vitu utaviona!, na utajua huyo mwanamke ni mke mwenye roho mzuri au ni mwanamke katili. That search took me 10 good years to find the right one, na miaka hiyo 10 ya search, produced 3 issues!. By the time you find her the family has 5 issues!.

Hivyo mtu mwenye macho kama haya Ikitokea kuna Kiongozi ana Macho mazuri, na umeyapenda, je, kuna ubaya kumsifia macho yake? Ni ukosefu wa heshima na adabu? hawezi kuwa mtu katili!.

Hebu angalia hayo macho kwenye picha hii View attachment 2216119View attachment 2216122

View attachment 2216124
Mtu kama huyu, kweli anaweza kuwa katili?. Angalia macho!.

Sasa Kwa faida ya wasiomjua vizuri huyu Mama, jielimishe hapa

Hitimisho
Ile kauli ya "wakinipara nitawaparura" sio kuparura kwa ukatili kutumia makucha kama paka akiparua, au kuparua kama yakupara samaki, hii ni kauli tuu ya tamathali ya semi, kwa media zitakazo mpara, zitaparuliwa kwa kutumia sheria zetu kandamizi zilizopo!

Paskali
Bro hakuna sheria duniani inayolinda haki za

Mkuu hakuna sheria duniani inayolinda haki za waandishi wa habari kwa linapokuja maslahi ya serikali mfano mkubwa angalia kilichompata Assange
 
Kiongozi ambaye anakiri wazi kuwa taifa linapitia wakati mgumu na gharama za maisha ziko juu lakini bado anafanya tour from one country to another, anaendelea kutoza wananchi wake tozo za miamala, bando za simu ziko juu, analinganisha uchumi wa mtz na mmarekani, kama sio ukatili ni nini?

Ni afadhali mara 100 mtu akukatili kimwili kuliko kihisia au kisaikolojia.
Binafsi naamini ukatili wa kihisia au kisaikolojia una athari nyingi kuliko hata wa kimwili. (Physical violence vs psychological violence)
 
Anatupiga psychosocial economic shida ni washauri waliomzunguka most of them ni wafanyabiashara walioumizwa awamu ya 5 Sasa wamerudi kwa spidi ya super Sonic kwenye mfumo wanajali matumbo yao tu Hali ya uchumi imekuwa mbaya Sana kwa sisi wa familia duni extended family mpaka tunaogopa kupokea simu mida nyingine but no way struggling for nothing still is not an issue sofar

Kiongozi ambaye anakiri wazi kuwa taifa linapitia wakati mgumu na gharama za maisha ziko juu lakini bado anafanya tour from ime country to another, anaendelea kutoza wananchi wake tozo za miamala, bando za simu ziko juu, analinganisha uchumi wa mtz na mmarekani, kama sio ukatili ni nini?

Ni afdahali mara 100 mtu akukatili kimwili kuliko kihisia au kisaikolojia.
Binafsi naamini ukatili wa kihisia au kisaikolojia una athari nyingi kuliko hata wa kimwili. (Physical violence vs psychological violence)
 
Wanabodi,
Moja ya matumizi mazuri ya mitandao ya kijamii ni kuhabarishana, kuelimishana, kuburudishana, nakusaidiana.

Ikitokea kuna jambo unalijua, mwenzako halijui, msaidie kumuelimisha kwa kutumia experience yako kuelimisha wengine nao wajue.

Ila kauli ya Rais Samia aliyoitoa siku ya Uhuru wa Habari kuwa waandishi wa habari watakao mpara, atawaparua, imeleta sintofahamu kwa baadhi ya watu kuanza kumdhania na Rais Samia pia ni rais katili?.

Naomba kukiri, nimekuwa inspired kupandisha bandiko hili Uhuru wa Habari Tanzania: Kati ya Waparaji na Wakunaji Wazuri, Nani Watamsaidia Zaidi Rais Samia?. Tunakuomba Mama, Usiwaparure Waparaji!.
kutokana na post ya Mwanajf huyu

Mkuu Bejamini Netanyahu , sii kweli!. Wewe ndio utakuwa humjui vizuri, hivyo najitolea kukusaidia wewe na wengine wa aina yako Kwa kukuendeshea somo la jinsi ya kumtambua mtu katili. Tena hata kwa JPM, kabla hata ya kuchaguliwa kuwa Rais wa JMT, ile mwaka 2014, kuna kitu nilikisema humu kumhusu JPM Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli humo nilisema kila kitu kumhusu JPM, ila pia baadhi ya mabandiko yangu, sio mabandiko ya watu wote kama bandiko hili, ni Bandiko kwa watu wenye jicho la tatu only ndio walibaini nasema nini. Sio kila kitu ni kwa watu wote!, vitu vingine ni kwa ajili ya wale tuu wa kiwango fulani na kwa wengine ni hakuna jinsi.

Ukatili wa mtu, haukai mdomoni kwenye kauli, wala haikai usoni kwenye kukunja uso, ukatili wa mtu hukaa moyoni, hivyo kwa jicho la kawaida, sii rahisi kumjua mtu mkatili, lakini watu waliojaaliwa jicho la tatu, huona ndani ya moyo wa mtu kupitia macho yake!.

Humu ndani nimeisha endesha masomo kibao ya utambuzi, moja ya masomo hayo ni somo kuhusu watu makatili na jinsi ya kuwatambua Character Assassination ni Modus Oparandi ya Madikiteta Katili Wote Duniani!

Watu makatili, huitwa ma sadist, namna rahisi ya kuwatambua watu hawa ni ukiona mtu anashangilia vitendo vya ukatili, na sisi Tanzania tuliwahi kuwa na viongozi wa type hii, sisi wengine tukasaidia kuwazungumzia, kama huyu This man is either a sadist or alimuua kibaka, akanywa bia kusherehekea?

Kwa vile ukatili hukaa moyoni, na sio usoni, au mdomoni, ni vigumu kuubaini. Mimi ni miongoni mwa watu waliopitia changamoto kubwa za maisha, hivyo kupitia hizo changamoto zikanifunza by experience. hivyo hapa natumia uzoefu wangu kusaidia wengine.

Kwanza nilioa nikiwa na umri mdogo wa miaka 25tuu, binti miaka 21, tukisoma wote darasa moja Chuo cha TSJ. Baada tuu ya ndoa tuhama nchi kwenda UK, then US kisha tukarudi Bongo, enzi hizo mimi ni mtangazaji maarufu wa Kipindi cha Kiti Moto.

Hivyo by 30 years tayari familia tuna watoto 2, wife akapata scholarship ya 4 years US na mimi kubaki na watoto wawili ( a 4 years girl & a 1.5 years boy). Hivyo scholarship hiyo ndio ikawa mwanzo wa changamoto za maisha. jumla!.

Kwa miaka yote 4 ya scholarship ya wife, kibarua cha kwanza ni kulea familia as a single parent father!. Pale ndipo nilipojua umuhimu wa wadada wa kazi!. Kiukweli hawa wadada wa kazi, waheshimiwe Sana na walipwe vizuri!.

Kibarua cha pili siku msichana wa kazi amepata msiba hivyo kwenda kwao na wewe kuachiwa uyaya wa watoto wawili wadogo for just two days!. There was no way out, lazima tuu uta import!. Kumbe jirani kaachiwa assignment ya kulinda na kuropoti!. Taarifa ya importation ikafika kusiko. Mtu kumaliza shule akagoma kurudi jumla!.

Ndipo nikakubali matokeo na Kuanza changamoto ya search kumpata mama wa Kambo ambaye hata nitesea wanangu!. Hapa ndipo nikaingia darasani kufungua a third eye kubaini wanawake katili .

Utambuzi wa Mama wa Kambo katili unafanyika kwa kumtazama machoni huyo mwanamke wakati akiwa na wewe mkiwa pekeyenu na kimlinganisha na akiwa na wewe na watoto wako!. Hivyo kuna vitu utaviona!, na utajua huyo mwanamke ni mke mwenye roho mzuri au ni mwanamke katili. That search took me 10 good years to find the right one, na miaka hiyo 10 ya search, produced 3 issues!. By the time you find her the family has 5 issues!.

Hivyo mtu mwenye macho kama haya Ikitokea kuna Kiongozi ana Macho mazuri, na umeyapenda, je, kuna ubaya kumsifia macho yake? Ni ukosefu wa heshima na adabu? hawezi kuwa mtu katili!.

Hebu angalia hayo macho kwenye picha hii View attachment 2216119View attachment 2216122

View attachment 2216124
Mtu kama huyu, kweli anaweza kuwa katili?. Angalia macho!.

Sasa Kwa faida ya wasiomjua vizuri huyu Mama, jielimishe hapa

Hitimisho
Ile kauli ya "wakinipara nitawaparura" sio kuparura kwa ukatili kutumia makucha kama paka akiparua, au kuparua kama yakupara samaki, hii ni kauli tuu ya tamathali ya semi, kwa media zitakazo mpara, zitaparuliwa kwa kutumia sheria zetu kandamizi zilizopo!

Paskali
Kumbe unakili sheria kandamuzi afu ndo uparuliwe kwa upole

Acha unafiki wewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom