Kuna kitu Tundu Lissu amesahau. Mwaka 2005 CCM walimwandama Prof. Lipumba kwa kumchukua Mama Mmoja anaitwa Georgina Mtenga, mke wa Bwana Kweka! Ni diversionary tactic na wanatumia magazeti nyuma ya Pazia. Ila naona watu wengi wamepuuzia. Kwetu Afrika sio kama Ulaya ambako mambo kama haya ni issue kubwa sana! Ila nadhani Chadema wanasubiri kurusha makombora dakika za majeruhi maana wakianza sasa hivi watachoka mno maana bado kuna muda mwingi wa kampeni.