Kauli ya First Lady wa Dk. Slaa, Josephine

CCM wakiishiwa hoja juu yako wanaweza hata kukuzushia kuwa uliua mbwa wa jirani yako hivyo hufai kuwa rais. Sisi hatutafuti rais asiye na dhambi, tunataka rais anayeweza kusimamia rasilimali zetu kwa uchungu zisiporwe na mafisadi bali zitumike kwa manufaa yetu wote. JK has proved a failure on this and it is only Dr Slaa who qualifies for the job.
 
Siasa ni mchezo wa ajabu sana eti kwa sababu tu Dk. Slaa alilipua mabomu ya ufisadi na anaendelea kulipua lakini yeye akilipuliwa ni kosa/ ni njama.

Hawajalipua bomu lolote dhidi ya Dk. Slaa. Wameleta kashfa - madai ya uongo - dhidi yake. Ni vigumu kupata jambo baya dhidi ya Dk. Slaa. Ni vigumu. Yuko makini SANA!

Kama ni kweli kapora mke wa mtu, aliyeporwa ALIKUWA WAPI?

Acha ujuha!
 
Teh teh....
 
Back
Top Bottom