Kauli ya CHADEMA mgogoro wa Malawi

Hapa tatizo si ZIWA NYASA bali ni njia tu ya kuchukua gesi yetu.
Hao wamalawi walikuwa wapi siku hizo zote ? Mbona toka nchi yao imepata uhuru sijawahi sikia(sikuwepo kwani mimi wa 1990) ila baada ya kusikia TZ kuna gesi ndo wameanza chokochoko.
Mi nadhani kuna kanchi ka wabepari kamewatuma
 
ww dogo una akili sana,ukikua zaidi itabidi ukasomee B.A.in Political Science kama bado hujaanza. Kwenye red hapo dogo yaelekea historia ya nchi hii haijakukaa vizuri! unaweza baadaye ukawa kama akina lusinde, mwigulu nchemba kwani Malawi chini ya mzee kamuzu banda miaka ya 1970 alishaleta chokochoko tena na hii ni baada ya mbunge mmoja wa kusini kudai mjengoni eti Tanzania haina haja ya kuwa na JESHI kwani hatuna maadui(siasa zetu hazifungamani na upande wowote) si majirani uchwara wakaanza kutuchokoza wakianzia na akina Kenyata -kutaka sehemu ya mlima kilimanjaro, Amini kutaka Kagera na Kamuzu kulitaka ziwa Nyasa. Baada ya kutoa DISPLINE kumshikisha adabu Generali Amini wengine wote wakanywea sasa wameanza tena! Sijui umeshajiandikisha? mie mwenzako tayari Tanzania ni zaidi ya chochote.Kiumri nakupita japo siyo sana.
 
Kumekuwa na ukimya wa kushangaza kwani watani wa CCM wamekaa kimya kama wananyolewa ili hali mabillion ya serikali yako mbioni kuunguzwa au yameshaanza kuunguzwa na maandalizi ya Vita tarajiwa vya malawi. Tunahitaji kauli ya kutoka chadema ikiwa ni serikali kivuli
Hivi kwani hii vita imeshatangazwa? nani ameitangaza kwa uelewa wangu Amiri jeshi mkuu ndio anauwezo wa kutangaza vita sisi kiongozi mwingine yeyote.
 
We shabiki wa siasa usie na madhara,hakuna unacho kijua hata unacho kihitaji hukijui,wewe endelea kua bendera tu.waache wanao ijua kazi wafanye kazi na subiri joyce amshawishi slaa muandamane barabarani
 
Acha ushamba wewe maslahi gani unayo taka wewe ktk vita, vita ni vita hakuna vita yenye maslahi na isiyo na maslahi. kinacho takiwa hapo ni serikari ijipange kikamilifu na ipeleke nguvu ya kutosha ktk eneo husika, pia tuache siasa ktk hilo kwa maana hili swala nila kitaifa nasi lawatu wa ziwanyasa pekeyake lahhasha... tuache ukilitimba.
 
Ukosawa endelea kuwapasha hao mashabiki wa siasa wanashabikia tu navitu wasivyo vijua
 
ww dogo una akili sana,ukikua zaidi itabidi ukasomee B.A.in Political Science kama bado hujaanza. Kwenye red hapo dogo yaelekea historia ya nchi hii haijakukaa vizuri! unaweza baadaye ukawa kama akina lusinde, mwigulu nchemba kwani Malawi chini ya mzee kamuzu banda miaka ya 1970 alishaleta chokochoko tena na hii ni baada ya mbunge mmoja wa kusini kudai mjengoni eti Tanzania haina haja ya kuwa na JESHI kwani hatuna maadui(siasa zetu hazifungamani na upande wowote) si majirani uchwara wakaanza kutuchokoza wakianzia na akina Kenyata -kutaka sehemu ya mlima kilimanjaro, Amini kutaka Kagera na Kamuzu kulitaka ziwa Nyasa. Baada ya kutoa DISPLINE kumshikisha adabu Generali Amini wengine wote wakanywea sasa wameanza tena! Sijui umeshajiandikisha? mie mwenzako tayari Tanzania ni zaidi ya chochote.Kiumri nakupita japo siyo sana.

ha ha ha ha kwa hiyo ile advertisement kwa Amin a.k.a Nduli Dada ikawatosha kujua Tz halisi katika maswala ya Nakoz
 
Back
Top Bottom