Kauli mbiu ya siku ya wafanyakazi, mei mosii kwa mwaka huu

measkron

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
3,782
2,406
Kauli mbiu ya siku ya wafanyakazi yaani Mei Mosi kwa mwaka huu ni.. Serikali isipojali maslahi ya wafanyakazi tunakuwa kama watumwa ndani ya nchi yetu.... Nadhani Mkewe na Serikali yake ujumbe huu utamfikia....Tafakari na chukua hatua
 
kauli mbiu ya siku ya wafanyakazi yaani mei mosi kwa mwaka huu ni.. serikali isipojali maslahi ya wafanyakazi tunakuwa kama watumwa ndani ya nchi yetu.... Nadhani mkewe na serikali yake ujumbe huu utamfikia....tafakari na chukua hatua

mkuu hapo penye red, au ******?
 
Kama ni mimi siendi kuwa Mgeni rasmi na kauli mbiu kali na ya kiutu uzimia namna hio!! Hapo ata wasiposoma risala, huo ujumbe ni risala tosha! au uongo wakuu??
 
Back
Top Bottom