Katuni inayomsumbua zuma

Chuma

JF-Expert Member
Dec 25, 2006
1,324
43
Wadau kuna huyu "Kipanya" wa South Africa....Zapiro...
mnaweza angalia katun zake...very funny...
Zapiro's Official Website

Katuni imepelekea Zuma amfungulie mashtaka Bwa. Zapiro...angalia na katuni zingine uvunjike mbavu...
 
Jamaa Cartoon zake ziko bomba sana nadhani angekuwa bongo angekumbana na mafisadi sijui angefunguliwa kesi ngapi maana kila mmoja angedai kadhalilishwa.....But still we have our Kipanya, Nathan Mpangala etc they are good too and that's how they can express their feelings!!!!
 
Zuma anaweza kumfunga huyu jamaa. Katika fasihi andishi huwezi kuweka vitu open namna hiyo. Yaani inaonesha ni nani unayemzungumzia. Kwa kutumia picha pekee ambayo kila mtu anaijua angeweza kufikisha ujumbe wake vizuri na bila kumpa Zuma ushahidi wa kumfikishia kwa Pilato kuwa anayezungumziwa ni Zuma.

Asinge andika majina halisi au angetumia fictitious names kama "Suma akimaanisha Zuma". Ila sijui Huko Bondeni utamaduni wao upo vipi ila Ingekuwa Bongo jamaa angetiwa hatiani kwani kila kitu kipo open
 
True Mkuu Hofstede,the toons are too vivid and direct.While ujumbe umefika vizuri there is little room for abstract imagination. There is a very fine line between an insult and a fine cartoon
 
Back
Top Bottom