Katibu wa Mufti Zanzibar (Sheikh Soraga) amwagiwa tindikali

UAMSHO tusipoibana mapema hawna tofauti na ALQAEDA, BOKOHARAM NA ALSHABAB

mkuu nadhani hilo neno la mwisho ndo lilimponza msaidizi Mufti nakumbuka pale msikitini baada ya eid alitowa mbovu sana mpaka akawita uamsho ni wahuni na alshabab kwa mawazo yangu sasa wanatiana vita yeye na Alshabab,

Haya mambo mkuu ni hatari sana kwa kweli nadhani kwa mawazo yangu serikali inafaa kukaa kitako na hawa watu wakamalizana kiungwana vyenginevyo vita yake itakuwa nouma.
 
UAMSHO na TAASISI ya jumuiya za kiislamu= waislamu wenye misimamo mikali (boko haram, al qaeda, al shabab na taleban)
serikali isipowangalia kwa makini nchi yetu inaenda kupotea
 
Kweli Biblia kitabu cha ajabu sana; Kuna Mstari unasema hivi...Bwana atawapigania nanyi mtanyamaza kimya... haya tumechomewa makanisa, tumesemwa weee, tumejikalia kimya tu. Pole sana Shehe, MUNGU atakuponya
 
mkuu nadhani hilo neno la mwisho ndo lilimponza msaidizi Mufti nakumbuka pale msikitini baada ya eid alitowa mbovu sana mpaka akawita uamsho ni wahuni na alshabab kwa mawazo yangu sasa wanatiana vita yeye na Alshabab,

Haya mambo mkuu ni hatari sana kwa kweli nadhani kwa mawazo yangu serikali inafaa kukaa kitako na hawa watu wakamalizana kiungwana vyenginevyo vita yake itakuwa nouma.

hakuna kukaa na kufanya mjadala wowote na magaidi wa uamsho ni kuwaangamiza kwa namna yoyote ile najua hawawezi kushndana na mkono wa serikali...
 
mkuu nadhani hilo neno la mwisho ndo lilimponza msaidizi Mufti nakumbuka pale msikitini baada ya eid alitowa mbovu sana mpaka akawita uamsho ni wahuni na alshabab kwa mawazo yangu sasa wanatiana vita yeye na Alshabab,

Haya mambo mkuu ni hatari sana kwa kweli nadhani kwa mawazo yangu serikali inafaa kukaa kitako na hawa watu wakamalizana kiungwana vyenginevyo vita yake itakuwa nouma.
never negotiate with terrorists..they should be hunted down like dogs
 
Laana ya kuchoma makanisa inaanza kumtafuna taratibu.

Wakorintho 11, Paulo Ananena kwa kanisa, Katika mstari wa 17b “Mnapokusanyika si kwa faida bali kwa hasara.”
Mstari wa 18: “Kwa maana kwanza mkutanikapo kama
kanisa nasikia kuwa kuna faraka kati yenu.”
 
Jamani hebu tuache kuwabeza hata wanao taka amani , shekhe yuko against hao uamsho na ndio maana amekuwa attacked . Mungu amlinde na amjalie afya njema apone upesi.

Kulingana na mambo yanayotokea hukumtaani baina ya muslimu na Chrisitian niomana unaona watu wanaunganisha japo wengine siyo uamusho.mimi nasema Mungu awasamehe wote wanaoleta vurugu nasi tujitahidi kutafuta amani kwa bidi na siyo kulipiza visasi.
 
Hakikisheni faridi ndevu hafugi tena! pia muongezeeni kesi ya she kumwagiwa acid!
 
mkuu nadhani hilo neno la mwisho ndo lilimponza msaidizi Mufti nakumbuka pale msikitini baada ya eid alitowa mbovu sana mpaka akawita uamsho ni wahuni na alshabab kwa mawazo yangu sasa wanatiana vita yeye na Alshabab,

Haya mambo mkuu ni hatari sana kwa kweli nadhani kwa mawazo yangu serikali inafaa kukaa kitako na hawa watu wakamalizana kiungwana vyenginevyo vita yake itakuwa nouma.

Huwezi kumalizana kiungwana na vichaa. We tangu lini mtu akapinga muungano kwa kuchoma kanisa au akalaani kiongozi wake kutoonekana hadharani kwa kwa kuua Polisi?
 
Baba wa taifa aliwahi kusema kuwa ukianza kula nyama mtu(binadamu) hutacha.Ndio wanavyofanya hawa ndugu zetu.Roho ya mauwaji inawaandama wamekosa wa kipigana nao wanarudiana wenyewe so sad.
 
Msaidizi zanzibar amwagiwa tindi kali (acid ) na watu wasiojulikana . Msaidizi huyu tayari amesafirishwa Dar es salaam kwa matibabu zaidi. mufti inasemekana alikua akijifanyia mazoezi alfajiri katika viwanja vya mwana kwerekwe karibu na nyumbani kwake. habari kamili zitafuata mida mida.

attachment.php

Mungu akuponye Sheikh. Unyama ulioje. Hakika utauona mkono wa Bwana.
 
never negotiate with terrorists..they should be hunted down like dogs

Hii kitu nikweli lakini sio kule znz mwisho wake utakua mbaya na siku moja utavuka bahari kuja Main land usiombe tuwe makini na haya mambo.

Anyway mkuu kuna kituko chengine juu yake wanasema na yeye atakuwa amejimwagia mwenyewe tindi kali lol.

sorafa2.jpg
 
Katibu wa muft wa UAMSHO SHEKH FADHIL SORAGA AMEMWAGIWA TINDIKAL NA WATU WASIOJULIKANA ASBUH HII HUKO ZANZBAR NA HALI YAKE NI MBAYA AMESAFIRISHWA KUPELEKWA MUHIMBILI MUDA HUU SOURC FB WALL YA UAMSHO

Mkuu hii habari yako mbona tofauti na huu uzi.
 
chezea maombi ya kufunga siku 21 weye?????????????? Mungu ataweka wazi kila kitu.
Pole shekhe - njoo huku kwa YESU - upate uponyaji, amani na faraja.
 
Back
Top Bottom