Katibu wa Mufti Zanzibar (Sheikh Soraga) amwagiwa tindikali

Nyakati zinasaidia katika kujua maana ya tukio. wakati ccm na cuf zina ugomvi na mapigano zanzibar. Alipouliwa askari pemba mwaka 2007 lawama zilienda kwa CUF kua ni wauwaji wakubwa. Sasa nyakati hizi ni ugomvi baina ya UWAMSHO na serekali je mauaji ya kiungo chochote kinacholipwa na serekali yatakua ni ya nani? kwanini hakumwagiwa tindi kali wakati wa malumbano ya vyama? kwanini amemwagiwa tindi kali baada ya kuwaambia waislam wasijishughulishe na vurugu za uamsho? na kuwaambia kua haki zao zitakuja kwa amani na sio kwa malumbano na uporaji wa mali??????
Lifkirieni na hilo pia. NYAKATI IS MATTER

Katika nyakati zako hujawahi kusikia kuna vikundi vya kihuni zanzibar vinaitwa UBAYA UBAYA, MBWA MWITU, SURA MBAYA, SIMBA DUME? Hujawahi kusikia katika nyakati zako? Km bado ebu ulizia kisha utajua kama zenjy ugomvi si uamsho na serikali tu, bali hadi vikundi nlivokutajia.

Btw, NOTICE: ILE PAGE YA UAMSHO YA FB HAIENDESHWI NA JUMUIYA YENYEWE BALI NI MTU WA KAWAIDA TU, SO SIO KILA KITAKACHOANSIKWA KATIKA PAGE ILE NI FROM OFFICIALS
 
Ni ujinga ulioje kwa mtu kushabikia masaibu ya mwenzake na hii inaonmesha chuki9 aliyonayo mweanadamu kwa mwanadamu mwenziwe. taarifa zilizoko ni kwamba, amemwagiwa Tindi kali na watu wasiojulikana sasa anapotokea mtu na kudai" Laana za ubaguzi zawarudia waislamu wenyewe kwa wenyewe" malengo ya mtu kama huyu huwa yako wazi.
Kulingana na vurugu la kidini lililoko Zanzibar na matukio yasio ya kawaida unafkiri nani atahesabiwa kua amefanya tukio hili? sheikh amekua akifanya mazoezi asubuh kila mara na hakuwahi kumwagiwa tindi kali. ila maekuja kumwagiwa jana baada ya wiki iliopita kuwaambia waislam wasishiriki fujo za uamsho?? inawezekana wakawa wahini but wahuni hao wapo katika kivuli cha nani? laiti angalikua ameporwa kwake kisha katiwa tindi kali tungesema ni wezi. but wamemsubiri njiani na hawajachukua hata shilingi yake.
 
Katika nyakati zako hujawahi kusikia kuna vikundi vya kihuni zanzibar vinaitwa UBAYA UBAYA, MBWA MWITU, SURA MBAYA, SIMBA DUME? Hujawahi kusikia katika nyakati zako? Km bado ebu ulizia kisha utajua kama zenjy ugomvi si uamsho na serikali tu, bali hadi vikundi nlivokutajia.

Btw, NOTICE: ILE PAGE YA UAMSHO YA FB HAIENDESHWI NA JUMUIYA YENYEWE BALI NI MTU WA KAWAIDA TU, SO SIO KILA KITAKACHOANSIKWA KATIKA PAGE ILE NI FROM OFFICIALS
Sitaki kukataa hayo usemayo na najua hivyo vikundi vyote vipo. lakini kwanini haviingii barabarani mpaka UAMSHO wanapotoa tamko kua leo tunataka kuandamana kudai haki zetu?? kwanioni hawaingii na kuvunja mpaka wanapoona harakati za uamsho ziko bara barani? maana yake uamsho either wana ubia nao au wanawakaribisha. hivi kama mtu anatumia jina lako vibaya utashindwa kumkemea??? kama uamsho hawahusiki mbona hawatoe maneno ya kukemea na kutamka kua vikundi vya ubaya ubaya na wengine wasitumie movement zao kuvunja maduka?? mbona hawatoi tamko lolote la kuwakataa au kuwakana?? hatima yake wanawakumbatia.
 
Back
Top Bottom