Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Morogoro Aachia Ngazi and Soon to Defect to ....

Good that he has decided to jump before getting pushed; ni mchumia tumbo huyo hatufai kwenye vuguvugu la mabadiliko, mwache aende huko kwa mafisadi.
 
Kajiuzulu baada ya kutakiwa awanunulie pombe Mbowe na msafara wake hoteli ya nashera jamaa hana kazi halipwi mshahara akagoma mbowe alikasirika sana eti amemkosea adabu ndo jamaa kaamua kuachia ngazi

Haahahahaha we jamaa unachekesha kweli... Yani hukuona hata AIBU kidogo wakati unaandika??
 
Ina maana huyu jamaa hana kesi ya kutafuna fedha za ruzuku, mbona kaficha data katibu mzima hajui kutunza mafaili???

Kama hoja ya data mngeanza na makao makuu kutoa taarifa za matumizi ya ruzuku; cha zaidi ajabu ipo wapi? Kama alikuwa na uhuru wa kujiunga na Chadema basi hata uhuru wa kujitoa alikuwa nao; ni watu wenye akili finyu tu ndio watakaobeza uamuzi wake.

Chama
Puerto Vallarta enroute to Gongo la mboto
 
Huyo jamaa ameona hana sababu ya kuendelea kuidhurumu nafsi yake kwa kuwa ktk chama chakizushi kinachoeneza uchochezi kila kukicha kulaghai wananchi kila siku,hakika huyo ni mzarendo wa kweri anayeipenda nchi tz
 

Sasa Mkuu ungetuambia basi chama unachoona wewe kinaweza kuongoza nchi. Yani mbadala wa CDM! Siyo unapiga tu domo hadi udenda unandoka!

TUMBIRI (PhD - In Progress at HULL, CPA(T), MBA(UDSM), Bcom(UDSM), PCM(Mzumbe High School - 2[SUP]nd[/SUP] Overall Best Student in Form six National Exams).
tumbiri@jamiiforums.com
Bora wewe umeamua kujikubali mwenyewe, inaonekana darasani uko vizuri sana, tunakusubiri uje kutumia elimu yako kuwatumia watanzania katika fani yako na sio kukimbilia kwenye siasa.
 
daaa jamanii hiyo nnn kinatoke kwa cdm tena au ndio nape na mwigulu wamefanikiwa lengo lao la kubomoa ngome ya chadema

Ngome ya CCM si viongozi mamluki bali ni wananchi weyewe. As for Nepi na Mwigulu hawawezi kuwa issue niambie wapi wamefanikwa? Huyo kafanya uamuzi hakungea kufanyiwa maamuzi kwani anaujua undani.
 
Kama hoja ya data mngeanza na makao makuu kutoa taarifa za matumizi ya ruzuku; cha zaidi ajabu ipo wapi? Kama alikuwa na uhuru wa kujiunga na Chadema basi hata uhuru wa kujitoa alikuwa nao; ni watu wenye akili finyu tu ndio watakaobeza uamuzi wake.

Chama
Puerto Vallarta enroute to Gongo la mboto

Mbona taarifa tunazo? Au ulitaka wapeleke Lumumba kwa Nepi?
 
huo ni ukweli usiopingika chadumu ni cha wachaga na wakatoliki

Vipi mtahesabiwa sensa? Tumeshatoa msamaha kwa wafungwa wengi sana ili tuwatie adabu nyie mnaojifanya alshababy. Mkitoka huko lazima muombe tuwahesabie hata walofariki.
 
Bora wewe umeamua kujikubali mwenyewe, inaonekana darasani uko vizuri sana, tunakusubiri uje kutumia elimu yako kuwatumia watanzania katika fani yako na sio kukimbilia kwenye siasa.

Mkuu wangu Concrete,
Ukiwa na elimu siyo kwamba unazuiwa kuingia kwenye siasa. Siasa ni ya watu wote kuanzia Wafanyabiashara, Wakulima, Wafanyakazi, Wafugaji, Wasomi nk. Tatizo linakuja pale baadhi ya wanasiasa wasomi wanashindwa kutumia vizuri elimu yao kulitumikia taifa. Na kibaya zaidi kuna baadhi wanatumia elimu zao kuhujumu Taifa kwa maslahi yao binafsi. Nadhani hapo ndipo ugomvi wako ulipo kwa wanasiasa wasomi!

TUMBIRI (PhD - In Progress at HULL, CPA(T), MBA(UDSM), Bcom(UDSM), PCM(Mzumbe High School - 2[SUP]nd[/SUP] Overall Best Student inForm six National Exams).
tumbiri@jamiiforums.com
 
Back
Top Bottom