Vyombo vya habari vinapotosha umma wa Watanzania kwa malengo wanayoyajua wao
-Muhimbili leo Madaktari waligoma na hao waliosema shuhgli zinaendelea, ni wanafunzi waliokuwa wakionekana(kwa mwananchi wa kawaida yoyote aliyevaa koti hospitalini ni Dr0
-MOI leo ilifungwa kabisa, hakuna mgonjwa aliyeonwa (huyu Bonge wa clouds aliona wanafunzi wa IMTU wakielekea huko)
-Ocean Road ndio kama mlivyosikia TBC1-specialist wachache ndo walibaki kuona wagonjwa wa ndani
-Bugando wameanza vikao endelevu leo na shughuli zilisuasua leo, kuanzia kesho-HAKUNA KAZI
-Mbeya REFFERALwameanza vikao leo-KUANZIA KESHO, TOOLS DOWN (Yule aliyehojiwa Mbeya ni mganga mkuu wa hospitali ya Mkoa-SIO RUFAA ambayo ni ndogo sana na inaona wagonjwa wengi wa nje tu
-DODOMA regional Hospital, wamekaa vikao leo, TOOLS DOWN KESHO
Enyi waandishi wa habari hizi si ndio habari za uchunguzi mnazotakiwa mzifuatilie na kuhoji wahusika (madaktari katika sehemu husika) ili mziandike?? MNAENDEKEZA NJAA TATIZO LENU NA HAMKO PROFFESSIONAL!!
Nendeni kwenye hizi sehemu kesho muone!