Ileje
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 8,784
- 12,226
Mbona nasikia mkuu kaenda majuu? Aenda onana na nani?
Tena ziara hii itatumia zaidi ya Shs. 300,000,000/= (Soma Tanzania Daima)
Mbona nasikia mkuu kaenda majuu? Aenda onana na nani?
Vyanzo vyangu vyote vinadokeza kuwa kabla ya mwisho wa wiki mgomo utakuwa kwenye full throlle!
Sasa unataka atumie sh elfu 20 kwani yeye katibu kata?Tena ziara hii itatumia zaidi ya Shs. 300,000,000/= (Soma Tanzania Daima)
Keyboard yako inateleza, nadhani ulimaanisha Throttle.Vyanzo vyangu vyote vinadokeza kuwa kabla ya mwisho wa wiki mgomo utakuwa kwenye full throlle!
Komaeni tu vijana Sekta ya afya inadharauriwa sana, nakumbuka miaka ya 1992, Ulianzishwa mugomo na wauuguzi baada ya mkutano mrefu pale Mwembeni mbele ya jengo Kibasila, vitisho vikaanza wauguzi wakakomaa, Ma-intern wakaunga mkono, Ma-resident na Ma-specialist wakafuatia, Maprofesa, (Wakabaki wakuu wa Idara wauguzi na Madaktari) Uliendelea kwa wiki nzima hali ikawa mbaya sana sana wagonjwa wakanyenyuka na urinals, ma pop, wheel chair wakaandamana kwenda Ikulu kumuomba Raisi Mwinyi awape hao wafanyakazi wa Afya wanachotaka ndio vitu kama sabuticle leave zikaanza, mikopo ya magari, fungu likaongezwa kwenye vifaa vya kutendea kazi, mortuary ikaboreshwa kwani ilikuwa inatoka funza,walimu vyuo vyote pale Muhimbili wakaboreshewa maeneo ya utendaji.
La muhimu muwe pamoja na muwe na lengo moja
Kama ni kweli kaitwa basi wanamuonea. Tatizo ni joka la ikulu !
Kweli ngoma inogile huyo kaenda ikulu mwenzake naibu waziri Bi Lucy ye mpaka mida ya jioni alikuwa anazuru muhimbili yote mpaka moi, wanazunguka mbuyu tu waache wataicheza ngoma.Ngoma inogile!
Ona kwenye RED hapo wewe kweli ni mtanzania ? matatizo ya watanzania tuachie watanzania wenyewe. Wewe waonyesha ni mrundi hata kiswahili hujui
Hao vilaza hawawezikuona uchungu kwa sababu wao wanatibiwa nje tu wao na familia zao yetu wakina sie ndiyo maana kwao hili jambo halisumbui hata kidogo