Katibu Mkuu ashinda kwenye banda la Tanzania akiuza utalii London

tatizo waendesha nchi hawajui job description zao, kufanya kazi kwa uwoga na kufanya kazi kwa kutaka sifa...mtendaji mkuu wa wizara anaishiaje kwenye banda la utalii kama siyo uchizi tu
 
Koba ni sawa na kumkuta CEO wa VODACOM AU CELTEL ameamua afanye kazi ya kuuza VOCHA peke yake. As simple as that! Kituko cha mwaka.[U[/U]

...mama lao believe me,kuna siku nilikuwa nasafiri na Sun Country from Minneapolis and guess what ...aliyekuwa anakaribisha kwenye ndege akijaribu kuchat na kila mtu alikuwa CEO wao,yapo kila sehemu as long as is for the betterment of the company or whatever they,ll do it
 
Nilidhani,"naively", kuwa nikirudia kwenye suala la msingi la mazingira wenzangu wataona hilo. Kama kawaida yetu tunashinda kujadili mambo mbadala badala ya hoja ya msingi. Kuwepo kwa KM katika banda nionavyo mimi si tatizo. Tatizo ni yeye kunadi sera ambazo zitaangamiza mazingira ya mbuga hizo akiwa ndiye mtendaji mkuu wa wizara inayopaswa kuyalinda kwa faida ya vizazi vijao! Wenzangu hamlioni hilo!!!
 
...mkuu nimeliona hilo sana ila issue niliyokuwa nataka kujibu kwanza kitu anachofanya huyo mama kwenye hilo banda sio irresponsible ya kazi yake,mazingira nayaheshimu sana siku zote na ni kitu ambacho kama tungejua tungekitilia mkazo mkubwa sana maana ndio future,weka topic tujadili kwa urefu
 
Asante Mkuu. Angalia posting zangu za awali, kuna links zinalozungumzia suala hili kwa undani. Au pengine unashauri nifungulie thread ambayo haitaunganishwa na masuala ya KM?
 
...mkuu nimeliona hilo sana ila issue niliyokuwa nataka kujibu kwanza kitu anachofanya huyo mama kwenye hilo banda sio irresponsible ya kazi yake,mazingira nayaheshimu sana siku zote na ni kitu ambacho kama tungejua tungekitilia mkazo mkubwa sana maana ndio future,weka topic tujadili kwa urefu

Samahani, ndiyo mgeni humu. Nilisahau kuweka jibu lako! Ndiyo najifunza.
 
Mea culpa! Huyu KM hasimamii mazingira. Hilo ni eneo la Profesa Mwandosya. Nilitakiwa kuwa makini zaidi ingawa hoja ya msingi iko pale pale. Tunahatarisha urithi wetu kwa vizazi vijayo.
 
JK pledges action against logging
MASEMBE TAMBWE in Lindi
Daily News; Monday,November 19, 2007 @00:05
PRESIDENT Jakaya Kikwete has promised to shake up the Ministry of Tourism and Natural Resources to make it more efficient in curbing the illegal trade in logs.
Mr Kikwete made the comments when winding up his tour of Lindi Region here yesterday. He did not say exactly when he would do it but observed action was urgently needed because of some dishonest officials who engaged in illegal harvesting of logs.
"I have information that there are a few officials in the ministry who are involved in the trade and we will take action against them soon", he said.
He said that the few dishonest officials demoralised the diligent ones because there was no action taken against them despite their known involvement in the illegal trade.
Mr Kikwete further noted that Kilwa and Rufiji districts were worst hit by illegal harvesting of logs.
"The situation is so bad that even trees that are still blooming and have not yet matured are being felled", he said.
The president also advised Lindi Regional authorities to come up with a strategy of having a furniture factory instead of exporting wood to the Far East.

...Hizi ndizo baadhi kazi za KM-kusimamia haya mambo ziyo kwenda trade fair...hizo awaachie kina Richa ,Nancy etc..
 
Back
Top Bottom