TUKUTUKU
JF-Expert Member
- Sep 14, 2010
- 11,765
- 4,033
Tuajdili kipi kati ya viwili ulivyoviweka hapo? Kuvunja Muungano au Shirikisho?
jadili chochote kati ya hivyo viwili au vyote viwili,tatizo lipo wapi?
Tuajdili kipi kati ya viwili ulivyoviweka hapo? Kuvunja Muungano au Shirikisho?
katu Zanzibar haiwezi kuwa equal partner. Nguvu za California katika United States hazilingani na Rhode Island.
mkuu,
kwa hiyo dhana ya usawa kwako haiko?
kama nchi moja ni kubwa na nyengine ni ndogo katu hakuna usawa?
jee kwenye EAC Rwanda ni mshirika sawa na TZ au??
katu Zanzibar haiwezi kuwa equal partner. Nguvu za California katika United States hazilingani na Rhode Island.
Nitakuelewa usemacho endapo utafanikisha kutuwekea copy ya hiyo rasimu hapa.Katika ibara ya kwanza ya katiba sifuri ya CUF inasema itavunja Muungano wa Tanzania unaoundwa kati ya Tanganyika na Zanzibar na kuunda Serikali ya Shirikisho litakalokuwa chini ya rais mmoja.
Ibara ya 100 inahusu uwapo wa Serikali ya Tanganyika na ya Zanzibar ambazo zitakuwa na mamlaka juu ya mambo yote yasiyo ya Shirikisho ambapo kwa mujibu wa rasimu hiyo, Kiongozi Mkuu wa Serikali ya Tanganyika na pia Kiongozi Mkuu wa Serikali ya Zanzibar, ataitwa Gavana.
Pia Ibara ya 101 katika rasimu hiyo iliyotolewa na CUF, inasema kuwa magavana wa
Tanganyika na Zanzibar watachaguliwa kwa mujibu wa Katiba ya Tanganyika na Katiba ya Zanzibar.
Tujadili.
Nafikiri huko sahihi wacha mawazo mgando. ZANZIBAR NI NCHI SIO KAMA UKEREWE. Mkuu wenyewe tupo macho na ni makini. Upo!ukiondoa hiyo bold zilizobaki ni pumba ambazo zitaongeza gharama na migongano isiyo na msingi!
Vunja zanzibar ibaki mkoa, kisha tunabaki na serikali moja!
Zanzibar iliungana na nchi gani vile? Iko wapi siku hizi?Nafikiri huko sahihi wacha mawazo mgando. ZANZIBAR NI NCHI SIO KAMA UKEREWE. Mkuu wenyewe tupo macho na ni makini. Upo!
Rwanda na Burundi hawajaomba kuungana. Wao wanataka kushirikiana katika shirikisho la Afrika mashariki. Tanganyika na Zanzibar ziliungana, lakini tulipokosea ni kutozungumzia mizani ya equality. Haiwezekani nchi yenye watu 2.5 millioni ikawa na mizani sawa na watu 41 millioni. Niliwahi kusema kwingineko kuwa California na Rhode Island hawana nguvu sawa katika mwungano wa United States of America. Ni hilo tu. Zanzibar inaweza kuwa na sovereignty yake lakini isilingane na ya Tanganyika.Mkuu,
Kwa umri wako unakumbuka vyema kuwa Tanganyika ilikuwa ni sovereign state na Zanzibar ilikuwa ni sovereign state, ama nakosea hapa?
Sasa kuna nchi inayoungana na nyegine na kukubali kuwa mkoa?
Au haya ni maajabu ya Tanzania tu?
au wewe unamaana gani kuwa katu Zanzibar hawezi kuwa equal partner na Tanaganyika katika muungano wa Tanganyika na Zanzibar?
kwa mantiki hii pia ni kuwa katu Rwanda na Burundi haziwezi kuwa equal partner na Tanzania katika EAC?
Hakuna Tanganyika! That is the puzzle of this Muungano!Rwanda na Burundi hawajaomba kuungana. Wao wanataka kushirikiana katika shirikisho la Afrika mashariki. Tanganyika na Zanzibar ziliungana, lakini tulipokosea ni kutozungumzia mizani ya equality. Haiwezekani nchi yenye watu 2.5 millioni ikawa na mizani sawa na watu 41 millioni. Niliwahi kusema kwingineko kuwa California na Rhode Island hawana nguvu sawa katika mwungano wa United States of America. Ni hilo tu. Zanzibar inaweza kuwa na sovereignty yake lakini isilingane na ya Tanganyika.
muungano wa USA ukoje,naomba u2fahamisheMimi nawapongeza sana CUF kwa mapendekezo yao,kwani muungano wetu utakuwa kama ule wa USA!safi sana!!
Tanganyika ipo. Ipo ndani ya Tanzania. Ukikata mbuga kutoka Songea kuelekea Mwanza unakata mbuga ndani ya Tanganyiko iliyoko ndani ya Tanzania. Ni kama vile baada ya ubatizo unajiongezea jina lingine. That is what happened to Tanganyika.Hakuna Tanganyika! That is the puzzle of this Muungano!
California kutokana na ukubwa wake inao maseneta wawili katika baraza la senate.Acheni kufikiria Zanzibar kama Butiama ama Bunda. Nguvu gani hizo mnazozungumza? Kwani California ina senators wangapi kwenye baraza la senate?
Sema Mzee...California kutokana na ukubwa wake inao maseneta wawili katika baraza la senate.
Good to see you man. Umepotea sana. Hata vijana wapya watashangaa huyu Sam ni nani.Sema Mzee...
Rhode Island nayo ina maseneta (US Senators) wawili na udogo wake... kwa kiasi kikubwa nakubaliana na CUF ila kuhusu muungano nadhani Zanzibar ingekuwa territory kama ilivyo puerto rico. Bado sijaona sababu za kuifanya Zanzibar kuwa state.
Nitapinga kila kitu kinachohusisha dini kwenye katiba hii ni pamoja na wazo la CUF eti viongozi wa dini kubwa waingie kwenye mkutano wa katiba... for what?
Sasa tunasubiri ya kwenu nyie CHADEMA ili tuangalia pumba na mchele. Mnyika mwanzo... by the way, hongera, your votes was counted.
ukiondoa hiyo bold zilizobaki ni pumba ambazo zitaongeza gharama na migongano isiyo na msingi!
Vunja zanzibar ibaki mkoa, kisha tunabaki na serikali moja!
That is excellent question in pluralistic nation as ours. Watajadili nini na maslahi ya imani zao yanagongana? That will be the beginning of Chaoseti viongozi wa dini kubwa waingie kwenye mkutano wa katiba... for what?
Kwa hiyo kufa kwa Tanganyika sio dhuluma, ila kufa kwa Zenj ni dhuluma? Na kuvunja Zenj nina maana mikoa mitano ya Zenj iwe assimilated kwenye Serikali moja. Kama utaita majimbo au miko kwangu mi naona ni semantics, sio muhimu!@ YeshuaHaMelechaYeshuaHaMelechnzibar ifanywe mkoa wakati wana kila kitu chao, kama unaona ni kijisehemu kidogo tu mbona kuna nchi nyingi tu ni sehemu ndogo zaidi ya Zanzibar lkn ni nchi asizulumiwe mtu kama hatuwezi muungano turudi kule kule kwa zamani Zanzibar na Tanganyika kwasababu ukiangalia kuudeep neno Tanzania ni muungano tu wa zanzibar na Tanganyika hakuna kitu Tanzania before
Ni rahisi sana kuivunja Tanganyika kwa maana hai exist na sio Zanzibar. Mie naona umetoka kuamka kijana.