Luteni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 2,274
- 302
Katika ibara ya kwanza ya katiba sifuri ya CUF inasema itavunja Muungano wa Tanzania unaoundwa kati ya Tanganyika na Zanzibar na kuunda Serikali ya Shirikisho litakalokuwa chini ya rais mmoja.
Ibara ya 100 inahusu uwapo wa Serikali ya Tanganyika na ya Zanzibar ambazo zitakuwa na mamlaka juu ya mambo yote yasiyo ya Shirikisho ambapo kwa mujibu wa rasimu hiyo, Kiongozi Mkuu wa Serikali ya Tanganyika na pia Kiongozi Mkuu wa Serikali ya Zanzibar, ataitwa Gavana.
Pia Ibara ya 101 katika rasimu hiyo iliyotolewa na CUF, inasema kuwa magavana wa
Tanganyika na Zanzibar watachaguliwa kwa mujibu wa Katiba ya Tanganyika na Katiba ya Zanzibar.
Tujadili.