Katiba mpya itaruhusu wanawake kutongoza wanaume na kuwaoa!.

Mdau Makini

Member
Sep 18, 2012
70
10
Wanawake watakuwa na haki ya kuwatongoza wanaume,kulipa mahali na hatimaye kuwaoa kama wanaume walivyokuwa wanafanya hapo Kabla.Haya ni maoni ya watu wengi wa Mkoa wa Ruvuma kuhusu katiba Mpya,kwahiyo wanaume mtapumzika kulipa Mahali na hatimaye mtaolewa.Hii imelalia katika logic ya haki sawa kwa wote(male & female)!.Nyi mnaonaje wakuu, imekaa poa eeeee??
 
Sawa,

Tufanye ndio mmekubaliwa, kwakua hamkua mkifanya hivi so no kitu kipya kwenu, mko tayari?? Mtaweza??

Embu nipige saundi mimi hadi niingie kingi nione kama mmejiandaa!!
 
Kwa tusiozoea tutaenda kuoa Rwanda, Burundi, Kenya Uganda na majirani waliotuzunguka..................!
Sasa sijui mtamtongoza nani.......!
 
Tutawezaaaaaaa

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
Kwa tusiozoea tutaenda kuoa Rwanda, Burundi, Kenya Uganda na majirani waliotuzunguka..................!
Sasa sijui mtamtongoza nani.......!

Plz beib Kimbweka i needyu nilikuwa nasubiri kwa hamu katiba iruhusu.Unajua watakuwa wametusaidia sana hawa tulio nao sasa tulilazimika tu kama huyu wng nilimuonea huruma ndo nikamkubalia ila kulikuwa na kaka niliyevuti nae Kimbweka ila nilishindwa kumtongoza nikabaki najisogeza karibu yake ila wapi.MSITUONE TU NA WAME ZETU WENGINE HATUKUTAKA KUWA NAO.
 
Last edited by a moderator:

JIBU: Shindwa na ulegezwe kote kote.:lol::lol::lol::lol:
KITENDO: Nachapa mwendo kwa kasi ya ajabu kumuwahi mnyarwanda niliyemtongoza.........!!
 
Kibweka pliz understand me mi ataka wewe uwe wangu wa maisha nataka nikubadili usiwe unaenda kule kwenye jukwa la ..................................OTEA tehe tehe utafikli walikutengenezea wewe khaaaaaaaaaaaaaa we mwnaume
 
Plz beib Kimbweka i needyu nilikuwa nasubiri kwa hamu katiba iruhusu.Unajua watakuwa wametusaidia sana hawa tulio nao sasa tulilazimika tu kama huyu wng nilimuonea huruma ndo nikamkubalia ila kulikuwa na kaka niliyevuti nae Kimbweka ila nilishindwa kumtongoza nikabaki najisogeza karibu yake ila wapi.MSITUONE TU NA WAME ZETU WENGINE HATUKUTAKA KUWA NAO.

Mh! hii yako mbona inaogopesha hivyoo!
 
Kibweka pliz understand me mi ataka wewe uwe wangu wa maisha nataka nikubadili usiwe unaenda kule kwenye jukwa la ..................................OTEA tehe tehe utafikli walikutengenezea wewe khaaaaaaaaaaaaaa we mwnaume
Achana na huyo mzee wa hit (eat) and run, Buguruni yote kawamaliza.

Embu nitongoze mimi uone!!
 
Wanawake watakuwa na haki ya kuwatongoza wanaume,kulipa mahali na hatimaye kuwaoa kama wanaume walivyokuwa wanafanya hapo Kabla.Haya ni maoni ya watu wengi wa Mkoa wa Ruvuma kuhusu katiba Mpya,kwahiyo wanaume mtapumzika kulipa Mahali na hatimaye mtaolewa.Hii imelalia katika logic ya haki sawa kwa wote(male & female)!.Nyi mnaonaje wakuu, imekaa poa eeeee??
Kweli mambo mengine yanachekesha..Kwani mpka sasa katiba inakataza wanawake kutongoza au kulipa mahali? Mbona wanafanya hayo mambo sana tu tena bila ya kificho siku hizi
 
hii itakuwa poa maana nao ni binadamu na kwa kuwa wanataka haki kwa wote, basi hapo ndo haki itakapoanzia watusimamishe barabarani na kuanza kutubembeleza kama tufanyavyo sisi, hiyo imekaa mwake
 
Kibweka pliz understand me mi ataka wewe uwe wangu wa maisha nataka nikubadili usiwe unaenda kule kwenye jukwa la ..................................OTEA tehe tehe utafikli walikutengenezea wewe khaaaaaaaaaaaaaa we mwnaume

Wale wa kule hawakunitongoza bhana mie ndo nnliwatongoza.......!
Halafu unashangaa nini hapo wakati wantongoza mwenyewe.............!!
Kuna mmalawi nlimtongoza kankubali ngoja nimfuate ili tujenge mahusiano mema na tugawane mipaka kihalali katikati ya zawa ati......................!
 
Achana na huyo mzee wa hit (eat) and run, Buguruni yote kawamaliza.

Embu nitongoze mimi uone!!

Kumbe nkitongozwa na demu una-mind hahahahahahaa..................!
Hajakupenda bhana acha miwivu sema kama unataka pande tu............................!
 
Ndo maana wangoniwanataniwa....hela watafikisha bila matatizo ila ile habari nyingine watch out...haaahaaa!
 
Kibweka pliz understand me mi ataka wewe uwe wangu wa maisha nataka nikubadili usiwe unaenda kule kwenye jukwa la ..................................OTEA tehe tehe utafikli walikutengenezea wewe khaaaaaaaaaaaaaa we mwnaume

Haaaahaaaa! Bora tumegundua sifa na vipaji vya watu,lol!
 
hao wanaume ni mabogazz hawajui kuwa mwanamke kaumbwa ili awe kama alivyo .. Hata siku moja mwanaume usitafute usawa na mwanamke utakuwa unamuonea.
 
Kazi itakuwepo hapo.!

Sidhani kama watakuwa na uwezo wa kuhimili stress za kupigwa vibuti,na vibuti vya wanaume vinakuwa very straight. Hii itaongeza rate ya wadada kujinyonga wallah tena!
 
Back
Top Bottom