Mdau Makini
Member
- Sep 18, 2012
- 70
- 10
Wanawake watakuwa na haki ya kuwatongoza wanaume,kulipa mahali na hatimaye kuwaoa kama wanaume walivyokuwa wanafanya hapo Kabla.Haya ni maoni ya watu wengi wa Mkoa wa Ruvuma kuhusu katiba Mpya,kwahiyo wanaume mtapumzika kulipa Mahali na hatimaye mtaolewa.Hii imelalia katika logic ya haki sawa kwa wote(male & female)!.Nyi mnaonaje wakuu, imekaa poa eeeee??