charityboy
Senior Member
- Nov 11, 2010
- 138
- 4
Kwa kuwa KATIBA mpya si ILANI ya CCM, namsihi mhe. KIKWETE asipoteze muda, atekeleze ahadi zake. Wanaodai katiba mpya wasubiri 2015 kwenye ilani mpya.
haipo kwenye ilani so what? Hv nyie mnafikiri katiba ni ya ccm? Kama unabisha subiri uone.Kwa kuwa KATIBA mpya si ILANI ya CCM, namsihi mhe. KIKWETE asipoteze muda, atekeleze ahadi zake. Wanaodai katiba mpya wasubiri 2015 kwenye ilani mpya.
Kwa kuwa KATIBA mpya si ILANI ya CCM, namsihi mhe. KIKWETE asipoteze muda, atekeleze ahadi zake. Wanaodai katiba mpya wasubiri 2015 kwenye ilani mpya.
kikwete ana kazi nyingi ndani ya ilani yake ya CCM. Tusimuongezee kazi ya kuunda katiba.
Hakika kuna watu na VIATU, huyu naye ni kiatu. Sina Zaidi.kikwete ana kazi nyingi ndani ya ilani yake ya CCM. Tusimuongezee kazi ya kuunda katiba.