Katiba mpya haimo kwenye ilani ya ccm

charityboy

Senior Member
Nov 11, 2010
138
4
Kwa kuwa KATIBA mpya si ILANI ya CCM, namsihi mhe. KIKWETE asipoteze muda, atekeleze ahadi zake. Wanaodai katiba mpya wasubiri 2015 kwenye ilani mpya.
 
Kwa kuwa KATIBA mpya si ILANI ya CCM, namsihi mhe. KIKWETE asipoteze muda, atekeleze ahadi zake. Wanaodai katiba mpya wasubiri 2015 kwenye ilani mpya.
haipo kwenye ilani so what? Hv nyie mnafikiri katiba ni ya ccm? Kama unabisha subiri uone.
 
:whoo::whoo::whoo:Hatuwezi kuendelea kwa mtindo huu wa watu kutoa pumba kama vile punguani wa akili,kwani hii katiba mpya tunayo idai sisi watanzania wenye akili timamu ni ya ccm au ni wananchi wote?tuache kuongea ujinga,great thinker awezi kutoa uwozo kama huo.lakini tutafika tu :whoo::whoo:
 
Hao madogo sijui wanaibukiaga wapi. Hivi nchi yaweza kuendelea na wapupu kama hawa?
 
Kwa kuwa KATIBA mpya si ILANI ya CCM, namsihi mhe. KIKWETE asipoteze muda, atekeleze ahadi zake. Wanaodai katiba mpya wasubiri 2015 kwenye ilani mpya.


Mbona UDOM haikuwa kwenye ilani ya CCM 2005 - 2010 lakini imejengwa?
 
He kwani ilani ni nini hasa?................mbona 2000 ccm waliweka mahakam y kadhi (wakimaanisha wao ni chama cha kiislamu)kwenye ilani yao lakini kikwete baadaye akasema hakujua wakti liinadi ilani ile?......mbona kikwete mekuw akimwaga miahdi ya uongo mingi tu tena mingine ya kuleta vivuko mbako hakuna mto wal ziwa wala bahari............kwani ktib ni y ccm au ya watz........inawezekana waliochagua ccm (km kweli walichagua) basi sio raia kwni hata waangalizi walishangaa km kweli ccm inahinda kihalali walipoangalia hali za wantz ukilinganisha na raslimali zao
 
huyu nae nahic pombe alzokunywa kwny mkesha wa x mas bdo hazjamtoka kchwan! Hv hujisikii vbaya kuandka upuuz km huu? Shame on you!
 
kama kuna vitu vilikuwapo kwenye ilani ya ccm iliyopita na havikutekelezwa basi si vibaya kutekeleza hili la katiba japo halikuwepo. HATA HIVYO SUALA LA KATIBA SI LA CCM BALI NI LA TAIFA ZIMA BILA KUJALI ITIKADI YOYOTE HIVYO BASI UTEKELEZAJI WAKE HAUEPUKIKI. Tofauti na hapo wananchi wataiadhibu vibaya ccm kwenye masanduku ya kupigia kura mwaka 2015.
 
kikwete ana kazi nyingi ndani ya ilani yake ya CCM. Tusimuongezee kazi ya kuunda katiba.
 
Agenda hii ilianzishwa na CUF. Mbona mnaidandia? mnataka sifa? Kikwete hana muda huo. Mhe KIKWETE tuletee maendeleo. chonga sana barabara utawaziba midomo na jazba zao. Nchi haijengwi kwa jazba.
 
Katiba mpya haitakuja kuwa ndani ya ilani ya ccm. Nani alikwambia waweke hoja ya katiba ndani ya ilani yao-wenyewe pamoja na chariltyboy wanataka hii katiba kandamizi iendelee kuwepo. Anayesema jk ana mambo mengi ya kushugulikia anawatukana watanzania -jk yupo busy na usanii tuu ameshindwa mambo mengi ya msingi kwa kuwa nadhani unga robo. Ameshindwa kushugulikia ufisadi ambao aliutaja mwaka 2005, ameshindwa kutatua kero za foleni, kero za makazi duni watanaznia 80% wanaishi kwenye tembe na mbavu za mbwa, watoto wanakufa vifo vya hovyohovyo, dar hakuna maji je tabora? Wazungu wanapora madini anaangalia -jamani ifike sehemu tukubali tupo tuuuuu kwa neema ya mungu -ila kwa hili la katiba sio hoja ya kikwete wala haijawahi na haitawahi kuwa hoja yake atalazimishwa na umma uliompa slaa ushindi wa 64% wakachakachua.
 
kikwete ana kazi nyingi ndani ya ilani yake ya CCM. Tusimuongezee kazi ya kuunda katiba.

Ni kweli hana uwezo wa kufikiria katiba ya wananchi. Kwa sasa anafikiria uchakachuaji na adhari za katiba mpya itakayobana wabakaji wa chaguzi.
 
Back
Top Bottom