KATIBA: CCT yawasha moto

Hivi mifumo yote mibovu ya ccm imeanzishwa na Kikwete ?
Ni kwa nini watu wanapokosoa mifumo hiyo wanaonekana wanamkosoa Kikwete.

Binafsi nashindwa kuhusianisha uongozi wa Kikwete na dini yake.Ni vipi kila anayemkosoa anaonekana mdini ?

Malaria sugu nahisi unatumiwa au umetumwa.
Nani aliyeweka udini kwenye ilani na kuunadi? kwa mara ya kwanza ni kikwete!
 
Nani alilipa ruhusu kuusemea uma wa Tanzania?

Katiba hudaiwa bungeni na kufata misingi ya kudai katiba. Kazi ya kanisa si kudai katiba, kazi ya kanisa ni kuchunga kondoo wake waliopotea.

Sitetei CCM wala Tanu hapa, nasema kanisa libaki kanisa na CCM, Chadema, CUF, NCCR na wengineo wabaki vyama vya kisiasa.

Jee, na misikiti ikianza kuwa na muono tofauti kuhusu katiba mtasema ni wadini?
Utawala wa nchi si sawa na uendeshaji misikiti kaka. Funguka mawazo na akili yako!
 
Nani alilipa ruhusu kuusemea uma wa Tanzania?

Katiba hudaiwa bungeni na kufata misingi ya kudai katiba. Kazi ya kanisa si kudai katiba, kazi ya kanisa ni kuchunga kondoo wake waliopotea.

Sitetei CCM wala Tanu hapa, nasema kanisa libaki kanisa na CCM, Chadema, CUF, NCCR na wengineo wabaki vyama vya kisiasa.

Jee, na misikiti ikianza kuwa na muono tofauti kuhusu katiba mtasema ni wadini?
Madrasa al sul al jihad! Tekibir
 
Na lile kanisa la Rawakatale nalo limo kwenye umoja huo wa CCT?

Hapana kanisa la Rwakatare halipo kwenye CCT.
Makanisa yanayounda CCT ni

. Evangelical Lutheran Church in Tanzania (ELCT)
2. Anglican Church Tanzania (ACT)
3. Moravian Church in Tanzania (MCT)
4. Africa Inland Church Tanzania (AICT)
5. Mennonite Church in Tanzania (MCT)
6. Baptist Conventional Church in Tanzania
7. Salvation Army
8. Church of God
9. Presbyterian Church of East Africa
10. Kanisa la Biblia
11. Mbalizi Evangelistic Church
12. Methodist Church
13. Christian Brethren Assembly
14. African Brotherhood Church
15. Tanzania Yearly Meeting
 
Kanisa la getrude rwakatare halipo cct wala pct wala tag. Yeye yupo peke yake . Mwaka 2007 alipo pata ubunge alitaka kumukabidhi askofu rainwell mwenisongole lakini akapwea masharti kuwa aachie utawala wote uwe chini ya tag . Yeye akataka kumwacha mch katembo ambaye angemdai sadaka kwa urahisi lakini tag wakagoma.
Rwakatare alipo ona sadaka zinakwenda tag akakataa mpango huo mpaka leo
 
Umoja wa makanisa ya kikristo imetoa tathimini ya uchaguzi mkuu na kusema kuwa lazima katiba iandikwe upya.huu ni mwendelezo wa moto unaowaka chini kwa chini wa kudai katiba mpya,hongera sana cct sasa twasubiri bakwata nao watoe tamko

Viongozi wa Bakwata wanaweza kuitiwa mpunga pale Ikulu na kisha kupewa vijisenti na kuambiwa watoe tamko kwamba Waislamu hawaoni umuhimu wa katiba mpya kwa kuwa hii iliyopo haina matatizo yoyote na wakafanya hivyo bila matatizo yoyote.

 

Wewe kijana mbona mtata sana, kwa nini unaruka maswali yangu unadandia hoja za watu? haya ngoja niyapunguze maswali, wakati kanisa linasema Kikwete ni chaguo la mungu mlikuwa wapi wanafki wakubwa kama wewe?
Kwa kukupa elimu kidogo lazima uelewe maana ya admistration limetokea wapi; Roma ndio ilikuwa dola yenye nguvu lakini wakashindwa kubuni admistration nzuri, ilibidi wamfuate Pope wa wakati huo ili watumie admistration ya JESUS ambayo ndio ilikuwa inatumiwa na Vatican, kwa Roma ndio ilikuwa dola kuu kipindi hicho, basi mfumo ule ukakubaliwa nchi nyingi na ndio umeenea leo dunia nzima, sasa kama kuna mtu tu kwa "kuvuta bangi zake wakati wa juwa kali" akaparamia hoja kuhusu kanisa katoliki anajisumbuwa, swala la msingi jiulize kwani madhehebu yako mengi lakini kiongozi mkuu wa wakatoliki tu ndiye anayejulikana na si mwingine ni Pope na kwa sababu pope wa wakati huo ndio aliadopt systeam ya admistration basi hapo unakuta pope licha tu ya kuwa ni kiongozi mkuu wa wakatoliki lakini ni Rais wa nchi ya Vatican, kina cardinary pengo ndio raia wa Vatican automatically.
kwahiyo nashauri don't jump to something without know how, na hii ndio maana kiongozi yeyote kuanzia ngazi ya upadre lazima awe na degree, na ukiwatafuta ma PHD holder upande wa maaskofu ni wakumwaga, kwa hiyo ndio maana baraza la maaskofu linapoketi yaani ni sawa na kikao cha jopo la maprofesa pale chuo kikuu, hakuna mtu anaepewa upadre wala uaskofu wa kanisa katoliki kwa umahili wa kusoma biblia, hapana, sifa ya kwanza lazima uwe na elimu isiotia shaka.
Kwa kumalizia ningeomba unijurishe mufti mkuu wa dunia nzima wa waislamu anaitwa nani? maana nimeona unapenda kujuwa kuhusu kanisa basi si vibaya na mimi nikijuwa kuhusu uongozi wa misikitini unapatikana kwa vigenzo gani? kukariri yale maandishi au lah!
Karibu ndugu uwanja wako huo.

Matola UNATISHA KAMA NJAA . . .
 
Back
Top Bottom