Kwahiyo hao wananchi wa TEC hawana haki kwasababu tu wao ni TEC?Soma vizuri utanielewa
Kama angekuwa na moyo angeita kongamano na kuwambia watu alkini sio kupitia TEC, Je hapa hakuna UDINI?
Soma vizuri utanielewa
Kama angekuwa na moyo angeita kongamano na kuwambia watu alkini sio kupitia TEC, Je hapa hakuna UDINI?
Mzee tatizo ni letter head? Tungejadili content ingependeza zaidi. Unabadili maana nzima ya hoja ukianza masuala ya udini, ni mtizamo wangu tuJe TEC ina watu gani? HISTORIA YAKE IKOJE? NANI WALIKUWEPO mwanzani na sasa wako wapi?
Kama ni wananchi wanaoishi kwa kufuata sheria za nchi unataka kujua historia ili iweje?Kwani wao wanagombea uongozi ama?Tunazungumzia mass of people who demands true change siyo watu wachache kama unavyoonyesha kuelewa.Kumbe ukibanwa huna hoja,teh teh teh..Je TEC ina watu gani? HISTORIA YAKE IKOJE? NANI WALIKUWEPO mwanzani na sasa wako wapi?
Tamko bila kujali limetoka dini gani litabezwa endapo litakosa 'substance' lakini sitaki kuamini kuwa kila tamko la waislam linakosa substance, sidhani pia kuwa wote wanaokosoa matamko ya waislam ni wakristo pekee au wanaokosoa ya wakristo ni waislam pekee.Kwanini upande wa pili ukitoa tamko mnalibeza?
Haya Mkuu twende kwenye HOja
Muswada uliopelekwa bungeni una matatizo gani?
Mimi mbona nahona huko sawa?
Max,watu waambiwe ukweli tu,kwani hao wakristo siyo wananchi?Na kama ni wananchi,then kinachofuatia ni kuangalia hoja yao kama ina elements zenye religion prejudice,mada iliyoko mbele yetu ni ya kitaifa,ndiyo maana wengi wetu tunashiriki tofauti na nyingine wanazotundika humu zenye elements hizo za udini.Tamko bila kujali limetoka dini gani litabezwa endapo litakosa 'substance' lakini sitaki kuamini kuwa kila tamko la waislam linakosa substance, sidhani pia kuwa wote wanaokosoa matamko ya waislam ni wakristo pekee au wanaokosoa ya wakristo ni waislam pekee.
BTW, hakuna cha maana umeona kwenye barua hii?
Kwanini hajaandika barua yeye kama yeye? na kaamua kupitia TEC
Mkuu Waberoya, uki-ignore unakosea; hawa wapo, wanahitaji kuelimishwa. A nice approach can help, you need to be patient usije ukabamiza pc yako kwa hasira.Guys I wish wote mngekuwa kama mimi, Ignore kupeng'e!! kwa nini mnamjibu??? thread tamu imeishaharibika!
ASKOFU big up ubarikiwe!
Na ndiyo maana kila anayeona kasoro akaionyesha huitwa CHADEMA. Mnawapa CHADEMA credits ambazo wakti mwingine hawakustahili, jadili hoja mkuu, tusiende huko mnakotulazimisha kwendaHivi TEC ni kamati ya uongozi ya CHADEMA? Mbona mawazo yao yanafanana na ya yule Padre kiongozi wa CHADEMA?
Ni vigumu sana kutofautisha Chadema na hawa!
Hivi huyu kafanya utafiti? Slaa upo? Kwanini hasemi "hasira za wakatoliki" anaowawakilisha anajifanya hasira za Watanzania wote?
Mkapa alileta "WHITE PAPER" iliyokuwa utumbo mtupu, mbona barua hizi hatukuzisikia? Au wanapata sasa akili?
TANZANIA HAMNA UDINI !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
we mwaache aendelee kuendekeza ufinyu wake wa mawazo .intellectual mind inabidi tuachane nae kabisa maana tutaonekana wajinga kabisa thread nyingi zenye ujumbe huyu jamaa huwa anazidivergeguys i wish wote mngekuwa kama mimi, ignore kupeng'e!! Kwa nini mnamjibu??? Thread tamu imeishaharibika!
Askofu big up ubarikiwe!
Mbona mawazo yako yanafanana na watu walioko Mirembe lakini bado unavumiliwa humu?Ndo freedom of speech hiyo,haya ni mawazo ya wananchi yasiyo na chembe ya udini,ukifikiri kwa kupitia makamasi badala ya ubongo, matokeo yake ndo haya.Hivi TEC ni kamati ya uongozi ya CHADEMA? Mbona mawazo yao yanafanana na ya yule Padre kiongozi wa CHADEMA?
Ni vigumu sana kutofautisha Chadema na hawa!
Hivi huyu kafanya utafiti? Slaa upo? Kwanini hasemi "hasira za wakatoliki" anaowawakilisha anajifanya hasira za Watanzania wote?
Mkapa alileta "WHITE PAPER" iliyokuwa utumbo mtupu, mbona barua hizi hatukuzisikia? Au wanapata sasa akili?
TANZANIA HAMNA UDINI !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
mkuu melo kwa kweli hawa jamaa wanahitaji darasa sana wako hapa kwa ajili ya divergences tu.ila mapambano yaliyo anza yamefika mstari wa mbele hakuna propaganda tena.na ndiyo maana kila anayeona kasoro akaionyesha huitwa chadema. Mnawapa chadema credits ambazo wakti mwingine hawakustahili, jadili hoja mkuu, tusiende huko mnakotulazimisha kwenda