Mkuu nadhani watu wa Kibaigwa wanaweza kutueleza zaidi kumhusu. Kiufupi mpaka watueleze waliifanyia nini Tanzania na wametengeneza ajira ngapi. Na walibinafsisha mashirika mangapi bila kusahau mikataba ya wawekezaji katika utumishi wao. Ndipo nitajaribu kuwaelewaWandugu, SUMAYE yuko vizuri,, si fisadi, alikuwa PM miaka 10, akakaa nje ya serikali (mtaani) kwa miaka 10, hivyo anajua challenges za uongozi pamoja na challenges na matatizo ya wananchi...this is a very rare and good mix.. anajua kujieleza rationally...kwa kweli huyu atatuvusha
Ndugu wengi wameelewa 100% nilichomanisha kwamaana iyo kwenye kichwa chako kuna uji amna ubongo pole sana !!!urais ni zaidi ya hizo safari acha wehu
Makongoro na Mwandosya; mmoja wao akisimamishwa na CCM basi 2015 utakuwa mwaka wa kukumbukuwa sana katika historia ya siasa za uchaguzi Tanzania. UKAWA ni coalition yenye nguvu sana Tanzania sasa hivi kwa hiyo inabidi CCM ije na mgombea ambaye hawezi kutupiwa madongo kirahisi na UKAWA: ni hao wawili tu waliopo ndani ya CCM ninaowaona kwa sasa hivi.
Wakuu naomba kujua endapo taarifa hii ni ya kweli....msinitukane lakini na mimi nimetumiwa tu...sijui ndo ile sheria mpya itanikaba koo??
* LOWASSA HAKAMATIKI
Ikiwa mchakato wa kuchukua fomu unaedelea, ebu tutumie dakika chache kutafakari nguvu ya kila mgombea... Nguvu ya mgombea au mgombea mtarajiwa tunaweza kuijua kutokana na jinsi anavyoungwa mkono na wananchi, wanachama, wajumbe wa vikao mbalimbali, na viongozi kwa ujumla wao...
Mpaka sasa ni takriban wagombea 9 washatangaza nia, ebu sasa tuangalie idadi ya viongozi/wajumbe waliowasindikiza siku wanatangaza nia (Hasa Wenyeviti wa CCM Mikoa, WaNec, wabunge na wajumbe wa mkutano mkuu)....
1. Edward Lowassa.. Waliohudhuria
. Wenyeviti wa Mikoa~23 kati ya Mikoa 30
. Wajumbe wa Halmashauri Kuu (NEC)~286 kati ya 378
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Taifa~1967/2600's..
. Wabunge wa JMT~168/357
2. Fredrick Sumaye.. Waliohudhuria
. Wenyeviti wa Mikoa~0
. Wajumbe wa Halmashauri kuu (NEC)~0
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Taifa~2
. Wabunge~0
3. Prof. Mack Mwandosya.. Waliohudhuria
. Wenyeviti wa Mikoa~0
. Wajumbe wa NEC~2
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu~4
. Wabunge~2
4. Mwigullu Nchemba.. Waliohudhuria
. Wenyeviti wa Mikoa~0
. Wajumbe wa NEC~3
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu~7
. Wabunge~4
5. Stephene Wassira.. Waliohudhuria
. Wenyeviti wa Mikoa~0
. Wajumbe wa NEC~3
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu~7
. Wabunge~3
6. Dr. Titus Kamani.. Waliohudhuria..
. Wenyeviti wa Mikoa~1
. Wajumbe wa NEC~2
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu~3
. Wabunge~1
7. Prof. Muhongo... Waliohudhuria
. Wenyeviti wa Mikoa~0
. Wajumbe wa NEC~0
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu~2
. Wabunge~1
8. Makongoro Nyerere.. Waliohudhuria..
. Wenyeviti wa Mikoa~0
. Wajumbe wa NEC~1
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu~3
. Wabunge~2
9. Balozi Karume.. Waliohudhuria
. Wenyeviti wa Mikoa~0
. Wajumbe wa NEC~0
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu~2
. Wabunge~0
Mytake:... Sauti ya watu ni sauti ya Mungu.... Hii ndiyo safari ya Matumaini.........
muhongo anafaa sana
Vibaka hao wamepora nchi yetu ya wakulima na wafanyakazi. Waturudishie nchi yetu. - Makongoro Nyerere