Kati ya watangaza nia wote, yupi umeona anafaa?

Huwezi kuacha kumtaja Prof. Mark Mwandosya Kama kweli tunahitaji Kiongozi bora, hata watangaza nia wote ukiwauliza ni mtangaza nia yupi anaemwogopa, atakuambia ni Mwandosya, hana papala na anafanya mambo kwa maslahi ya taifa! Tusubiri tuone! Failure to that, bye bye ccm!
 
Ccm haina mpango wa kunusuru maisha ya watz isipokuwa propaganda na kuwahadaaa wananchi km albo Fanya kingunge pale Arusha, tuwapen ukawa watukombleee nchi yetu na sio hawa wezi.
 
Muongo amesema ulaya ni nyumbani na africa ina nchi 54 amesha kwenda nchi 52 amebakiza 2 tu kwaiyo hatasafiri sana amesha maliza zote ulaya africa kabakisha 2 tu kusoma ndio hivyo tena hana chakusoma vitabu vyote amesha maliza !!! Hawezi kupatiwa tena u professor wala hawezi safiri tena kama huyu anayetaka amwachie kijiti!!!:)
Tumfikirie au????

Aende zake huko, kwenye nchi 2alizobakiza asilete uswhili hapa Tz.
 
Prof Mhongo ndy anafaa kuwa rais anaweza kutuvusha wa tanzania kwa kutumia rasilimali zetu gesi na madini. Pia ana strategic planning ambazo zinatekelezeka. Prof ndy chaguo tukichanganya tu gesi itaibiwa yote.
 
Muhongo anafaa kuongoza nchi yetu Tz. Ana uzoefu mkubwa wa kuongoza ukizingatia amekuwa kiongozi mkuu ktk mashirika makubwa ya kimataifa kwa miaka mingi tena kwenye nchi za ulimwengu wa kwanza. Hivyo aliyojifunza huko kwa wenzetu walioendelea anaweza kutusaidia na sisi kutoka hapa tulipo kwenda kwenye maendeleo kama wenzetu. Tuache siasa za kuchafuana ili tujikwamue kiuchumi.
 
Kwa sasa Makongoro au Mwandosya. Wakimalizika wote naweza kuwa na mawazo tofauti
 
Wazungu wanasema 'Get out of the box'. Ni ajabu baada ya zaidi ya nusu karne ya kujitawala bado watu akili yao imeganda kwenye system ile ile ya TANU/CCM
 
UKAWA waache ubinafsi na wachague tu candidate anayefaa ili ashinde kirahisi.

Watia nia wooote wa CCM wamekivua nguo chama chao kwa kuongea yale yale ambayo wapinzani wamekuwa wakiyasema kwa muda sasa.
 
Back
Top Bottom