Kati ya Vyama vya Upinzani na Shujaa Magufuli nani alipigania Mabadiliko ya kweli dhidi ya CCM?

Umeandika kikejeri sana, Acheni demokrasia na chaguzi za uhuru na haki vishike hatamu ndo tuje tujadili huu upupu wako
 
Ikumbukwe Kuwa Shujaa Magufuli alipoingia madarakani na kukabidhiwa Uenyekiti wa CCM alijitahidi kuleta Maendeleo Makubwa Nje ya mfumo rasmi wa CCM

Ndio sababu iliitwa CCM ya Magufuli

Wahafidhina wa CCM walimuona JPM kama mpinzani wa ndani ya Chama

Na kwa miaka 30 sasa vyama vya Upinzani vimekuwa vikipambana na CCM lakini cha.ajabu idadi ya Wabunge wa kuchaguliwa vyama vya Upinzani 2020 ni ndogo sana ukilinganisha na ile ya Kwenye Uchaguzi wa kwanza wa Vyama Vingi 1995

Ndio kusema Upinzani huu wa Watoa Taarifa umeishindwa kabisa CCM?

Jumaa Mubarak 😄
Kazi kweli kweli ! Ngoja tuone !!
 
Hakuna ndio maana CCM imebaki kuwa ile ile ndani ya dakika 0 kila kitu kimerudi kama kilivyokuwa hapo awali kwa sababu alikuwa amezungukwa na machawa ambao ni wanafiki wanasifia kila ambaye wanaona kwa muda huo anawafaa.
Ndio wale wale walimsifia Jk, wakati Jpm wakamkandia, sasa wanamsifia aliyepo wanamkandia jpm na itaendelea kwa ajaye.
 
Ikumbukwe Kuwa Shujaa Magufuli alipoingia madarakani na kukabidhiwa Uenyekiti wa CCM alijitahidi kuleta Maendeleo Makubwa Nje ya mfumo rasmi wa CCM

Ndio sababu iliitwa CCM ya Magufuli

Wahafidhina wa CCM walimuona JPM kama mpinzani wa ndani ya Chama

Na kwa miaka 30 sasa vyama vya Upinzani vimekuwa vikipambana na CCM lakini cha.ajabu idadi ya Wabunge wa kuchaguliwa vyama vya Upinzani 2020 ni ndogo sana ukilinganisha na ile ya Kwenye Uchaguzi wa kwanza wa Vyama Vingi 1995

Ndio kusema Upinzani huu wa Watoa Taarifa umeishindwa kabisa CCM?

Jumaa Mubarak 😄

Shida wengi hawajakujua wewe ni Mnafiki. Kwa hivyo kwa akili zako ndogo unadhani uchaguzi wa 2020 uliendeshwa sawa na uchaguzi wa 1995?. Tangu lini ukazima Internet kwa wiki mbili?.
 
Unajizima data tu na kutafuta kejeli. Magufuli alitawala nchi kidikteta sawa na akina Kagame na Museveni.

Tofauti yake na hao wenzie ni kwamba akina Kagame na Museveni walitumia bunduki kuingia madarakani wakati Magufuli aliingia kwa sanduku la kura.

Na ndiyo maana akafa mapema akiwa madarakani. Ubabe wa kijinga, ushamba wa madaraka na kujifanya much know.

Tupo tunadunda, yeye anaendelea kuoza Chato

Umeongea ukweli kabisa.
 
Your argument is ad hominem. Calling the late President J.P.M "great sadistic coward" is not relevant. As a matter of fact, you do not have evidence and reasons to support your claim!

Hayat Rais hakuwahi kuwa mwoga wa kitu chochote au mtu wowote yule. He was assertive, he was the face of the Nation if not the face of whole of Africa.

He showed resilience and tenacity in all three Governments-Mkapa's, Kikwete's and his own that led Tanzania in becoming the fastest growing economy in our times despite the global economic slowdown due to the pandemic and so forth.

He was a succesful and effective leader who helped the country prosper and grow.He faced many challenges and threats both foreign and domestic, and he dealt with them with courage.

He inspired and motivated his people to work....clearly his slogans said it all "Hapa kazi tu" itoshe alikuwa kila kukicha anahimiza watu wafanye kazi kwa Bidii....mifano ni mingi sana. He was a charismatic and visionary leader, who had a clear and compelling vision for the country. He was always ready to help and serve. He was ready to die for his country!

Wewe upo tayari?
How can you say he was a great sadistic coward?.

J.Pombe Rest in Power my Brother.

Jiwe was a great and admirable leader and there should be more leaders like him in the future.

Aluta Continua.

Naomba niseme ukweli. Kwangu Mimi Magufuli alikuwa the worst president kuliko wote, Kanda amzidi huyu mama wa Sasa. Kiongozi akishajiona yeye ndio kila kitu mwisho wake mbaya. Ndio maana alikufa kifo Cha utata huko gizani.
 
Wacha uongo. Mapovu yanawatoka sasa watu wanafanya hija kule Chato

Hamia ulipotoka

Hoja wanafanya kwa maalim seif mpaka watu wameanza kuiba mchanga. Serikali imeweka zuio kwa watu kwenda. Sio kwa makatili wanao Nuka damu za watu.
 
John the Baptist ni Mnafiki hii Dunia hakuna. Kaandika kukejeri Magufuli kwa kuingiza hoja ya uchaguzi wa 2020
 
Ikumbukwe Kuwa Shujaa Magufuli alipoingia madarakani na kukabidhiwa Uenyekiti wa CCM alijitahidi kuleta Maendeleo Makubwa Nje ya mfumo rasmi wa CCM

Ndio sababu iliitwa CCM ya Magufuli

Wahafidhina wa CCM walimuona JPM kama mpinzani wa ndani ya Chama

Na kwa miaka 30 sasa vyama vya Upinzani vimekuwa vikipambana na CCM lakini cha.ajabu idadi ya Wabunge wa kuchaguliwa vyama vya Upinzani 2020 ni ndogo sana ukilinganisha na ile ya Kwenye Uchaguzi wa kwanza wa Vyama Vingi 1995

Ndio kusema Upinzani huu wa Watoa Taarifa umeishindwa kabisa CCM?

Jumaa Mubarak
Kifo cha magufuli was the biggest loss ever happened in africa, nitaomboleza kifo chake kila siku kwa maisha yangu yote
 
Ikumbukwe Kuwa Shujaa Magufuli alipoingia madarakani na kukabidhiwa Uenyekiti wa CCM alijitahidi kuleta Maendeleo Makubwa Nje ya mfumo rasmi wa CCM

Ndio sababu iliitwa CCM ya Magufuli

Wahafidhina wa CCM walimuona JPM kama mpinzani wa ndani ya Chama

Na kwa miaka 30 sasa vyama vya Upinzani vimekuwa vikipambana na CCM lakini cha.ajabu idadi ya Wabunge wa kuchaguliwa vyama vya Upinzani 2020 ni ndogo sana ukilinganisha na ile ya Kwenye Uchaguzi wa kwanza wa Vyama Vingi 1995

Ndio kusema Upinzani huu wa Watoa Taarifa umeishindwa kabisa CCM?

Jumaa Mubarak
Hakuna cha shujaa
 
Your argument is ad hominem. Calling the late President J.P.M "great sadistic coward" is not relevant. As a matter of fact, you do not have evidence and reasons to support your claim!

Hayat Rais hakuwahi kuwa mwoga wa kitu chochote au mtu wowote yule. He was assertive, he was the face of the Nation if not the face of whole of Africa.

He showed resilience and tenacity in all three Governments-Mkapa's, Kikwete's and his own that led Tanzania in becoming the fastest growing economy in our times despite the global economic slowdown due to the pandemic and so forth.

He was a succesful and effective leader who helped the country prosper and grow.He faced many challenges and threats both foreign and domestic, and he dealt with them with courage.

He inspired and motivated his people to work....clearly his slogans said it all "Hapa kazi tu" itoshe alikuwa kila kukicha anahimiza watu wafanye kazi kwa Bidii....mifano ni mingi sana. He was a charismatic and visionary leader, who had a clear and compelling vision for the country. He was always ready to help and serve. He was ready to die for his country!

Wewe upo tayari?
How can you say he was a great sadistic coward?.

J.Pombe Rest in Power my Brother.

Jiwe was a great and admirable leader and there should be more leaders like him in the future.

Aluta Continua.
Magufuli was a ruthless despot who silenced freedom of expression, remotely controlled the Parliament, and threatened the judiciary. Little is known of how Magufuli was evil by people outside Tanzania. He was a murderer, pathological liar, and mysonigist

Only illiterates like you will applaud this murderer!! I don't blame you majority of Tanzanians it's because of your ignorance and lack of initiatives to seek information. You were trapped in his 5 years false propaganda
 
👌👍👏🙏💐🎁🎖️🏆
 
Back
Top Bottom