Kati ya operating sysyem na compiler. Kipi cha kwanza?

Firefox

Senior Member
May 10, 2011
127
71
Wakuu tunajua huwezi tengeneza computer program au software bila kuwa na tool ya kuweza kuconvert source codes kwenda objects. Sasa hizi modern O.S zinatengenezwa kwa compiler ya language flan say C. But compiler yenyewe ili iu work ni lazma uiweke kwenye O.S. yaan operating system inatengenezwa na compiler. but compiler yenyewe inakuwa installed kwenye operating system. so nani katangulia?
 
images
 
OS ndo zilianza. kumbuka zamani programing ilikuwa ikifanyika kwa kutumia low level languages na device nyingi hazikua multi purposes kama siku hizi. OS zilianza baada ya kugundua programable chips ambazo zilikuwa na functions or instructions ambazo ziko hard coded kwenye chip. Tuliofanya assembly language tunajua
 
kwa maelezo yako os ndo imeanza kwa hiyo asembly language ndio inafundisha hizo mambo naje hiyo kozi ntaipata wapi labda hiyo language assembly...
 
Wakuu tunajua huwezi tengeneza computer program au software bila kuwa na tool ya kuweza kuconvert source codes kwenda objects. Sasa hizi modern O.S zinatengenezwa kwa compiler ya language flan say C. But compiler yenyewe ili iu work ni lazma uiweke kwenye O.S. yaan operating system inatengenezwa na compiler. but compiler yenyewe inakuwa installed kwenye operating system. so nani katangulia?

Mkuu naona unachanganya kidogo. Unaposema unlivyoandiak hapo nilipoweka nyekundu unakosea. Kumbuka OS imetengenezwa kurahisisha management ya resources, kuwezesha computer kutumika more generally. Ndo zinaitwa general purpose computer.

Computer si lazima iwe na OS ili kufanya kazi (angalia special purpose comps). Halafu inakubidi utofautishane kati ya OS na Kernel (ambayo ndiyo ina jukumu la kumanage resoures). Kwani ukiwa na kernal unaweza tengeneza computer yako ya kucompile peke yake. Kisha hata bila kernel unaweza kutengeneza kompyuta yako ya kucompile ijapokuwa itakuwa ngumu kidogo kwani itakulazimu uandike application moja ambayo inafanya kila kitu, kumanage an kucompile.

Lingine pia ni kutofautisha, kuwa watu wanapo sema compiler mara nyingi wana maanisha preprocessor, compiler, assembler na linker.

Angalia hapa kwa maelezo zaidi.
 
kwa maelezo yako os ndo imeanza kwa hiyo asembly language ndio inafundisha hizo mambo naje hiyo kozi ntaipata wapi labda hiyo language assembly...
Assembly languages hutumiwa na Electronics Engineers na wanao soma course za electronics, telecom na sometimes electrical engineering hufundishwa vyuoni. Pia hakuna assembly language moja, ila zina vary kutegemeana na chip au microprosesor. Kwa sasa matumizi yake yako kwenye viwanda vinavyotengeneza chips kama intel.
Ukizungumzia OS usiangalie tu hizi windows and the like, lakini ijue appliences kama radio, microwave, fridges, tv etc nazo zina os ambayo hukuwezesha kubadili statiom, temperature etc.
 
jamani os ilianza kabla ya compiler kwani compiler ni kwaajili ya kutafsiri lugha fulani ya kikomputa iweze kuendana na ile ya assembly language. kwahiyo mtu akitumia assembly language tu halazimiki kuwa na compiler
 
Wakuu tunajua huwezi tengeneza computer program au software bila kuwa na tool ya kuweza kuconvert source codes kwenda objects. Sasa hizi modern O.S zinatengenezwa kwa compiler ya language flan say C. But compiler yenyewe ili iu work ni lazma uiweke kwenye O.S. yaan operating system inatengenezwa na compiler. but compiler yenyewe inakuwa installed kwenye operating system. so nani katangulia?

probably operating system ndio ilitangulia cuz without an operating huwezi kutengeneza program. compiler is just a translator ambayo ina translator ambayo inatransalate higher level language to machine language. Kumbuka kuwa translators zipo za aina nyingi. Pia compiler haiwezi kuwa ya kwanza kwa sababu compiler ilikuwa introduced baada ya higher lever language kuwa introduced kwa hiyo hayo hao programmers baada ya kuintorduce higher level language ndipo wakaintroduced compiler ili iweze kufanya translation kutoka higher lever language to machine language. machine language was the first programming language
 
Back
Top Bottom