Kiboko Yenu
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 311
- 65
picha zimepigwa muda tofauti na angle tofauti inaonekana chama kujaza watu kimewauma sana
Mkuu Kasheshe kuna thread inasema Michuzi kachakachua hizo picha.Wakati mwingine CDM hamuamini kwa kusema uongo... picha za matukio ya CCM hizi hapa... angalia jaji mwenyewe.
hata walipokuja Arumeru walikejeli vijana; eti hawapigi kura, lakini waliisoma namba. mi nakuambia wabaki na wazee wao mabalozi tu but ikulu tunaikodolea macho. MIKUTANO YA CCM= NA VIKAO ; UKILINGANISHA NA MIKUTANO YA CHADEMA.Uzalendo sio kutembea kwa miguu kuelekea kwenye mkutano. Hata hivyo CCM wameonyesha uzalendo kwa kuwaleta mashabiki wake wengi wakiwa Wazee. Vijana wengi waTZ wamebaki kuwa washabiki wa mitandao na kupiga kelele ovyo njia na kwenye mikutano wakati wapiga kura ni wazee.
Mkuu Kasheshe kuna thread inasema Michuzi kachakachua hizo picha.
Inawezekana CDM walikuwa wengi manake siku hiyo Kimara yote haikuwa na watu wote waliishia Jangwani. Baa nyingi na sehemu za kupata kiti... zilikuwa zimefungwa. Ndugu zetu walifunga na maduka wakajitosa jangwani.
Uzalendo sio kutembea kwa miguu kuelekea kwenye mkutano.
Hata hivyo CCM wameonyesha uzalendo kwa kuwaleta mashabiki wake wengi wakiwa Wazee.
Vijana wengi waTZ wamebaki kuwa washabiki wa mitandao na kupiga kelele ovyo njia na kwenye mikutano wakati wapiga kura ni wazee.
My take:
Hawa wa Chadema walikuja kwa MIGUU, uku wa CCM wakiletwa na MALORI, MAFUSO NA MABASI, Je NI KINA NANI WALIOUVAA UZALENDO?
hapa vipi
upo dunia gani wewe?? rejea uchaguzi mdogo Arumeru vijana walionyesha hamasa ya ajabu kupiga kura! saa kumi za usiku kuamkia siku ya uchaguzi vijana walikuwa nje ya vituo wakisubiri vifunguliwe! M4C infanya kazi nzuri!!Uzalendo sio kutembea kwa miguu kuelekea kwenye mkutano.
Hata hivyo CCM wameonyesha uzalendo kwa kuwaleta mashabiki wake wengi wakiwa Wazee.
Vijana wengi waTZ wamebaki kuwa washabiki wa mitandao na kupiga kelele ovyo njia na kwenye mikutano wakati wapiga kura ni wazee.
Wakati mwingine CDM hamuamini kwa kusema uongo... picha za matukio ya CCM hizi hapa... angalia jaji mwenyewe.
Huyu mzee Wasira ni mwizi mkubwa ambaye tabia yake ya wizi imeteketeza sekta kubwa ya pamba kwa ajili ya makampuni yake ambayo yameharibu bei ya pamba na kuendelea kuwapa umaskini wananchi wanaotegemea zao hilo! waulize wapiga kura wake wanajua na ndiyo maana juzu juzi walimzomea kwenye mkutano wake! Hafai kabisa huyu babu na CCM wanamtumia kwa vile anajua unazi!!!!hapa vipi
nyara ya taifa.