Kati ya Magamba na M4C nani zaidi Jangwani

Nilishuhudia gari lililobeba mashabiki wa CCM likizomewa vibaya na wananchi pale lilipopita msimbazi street karibu na Big bon. Wananchi hawakuwa wamejiandaa wala kuandaliwa kuzomea lakini kile kitendo cha ile coaster kupita kiliibua hisia zao dhidi ya CCM na kuanza kuzomea kwa pamoja.

Natamani hamasa hii waliyonayo wananchi sasa iendelee hivi mpaka 2015, kisha itafsiriwe katika kura
 
jibu linaoneka wazi wala usihangaike kutumia kikokotozi....... PEOPLEEEEEEEEEEEEEZ POWEEEEEEEEER!
 
Uzalendo sio kutembea kwa miguu kuelekea kwenye mkutano.
Hata hivyo CCM wameonyesha uzalendo kwa kuwaleta mashabiki wake wengi wakiwa Wazee.
Vijana wengi waTZ wamebaki kuwa washabiki wa mitandao na kupiga kelele ovyo njia na kwenye mikutano wakati wapiga kura ni wazee.

Mkuu, ni kwa utafiti upi huo unaosema wapigakura ni wazee?
 
Mkuu umesahau futa na huo muda kwenye picha ya CCM maana saa 7 ni mapema sana. edit weka saa 11.30 jioni. Tumia photoshop au paint.

Ni kweli kabisa ulilosema mkuu kuhusu kufuta muda.
Na huo mkutano wa chadema muda kaufuta? Tuoneshe alama ya kufuta.
 
hapa vipi

251965_430302963657789_973699059_n.jpg

Wewe hapa sio janwani coz jangwani jana tulikaa kwenye viti na hapa hii picha wamekaa chini.:madgrin:
 
uwe unaweka vitu updated, picha ya 2010 unatuletea leo???
na bado mliwavisha nguo zenu za mazishi???????
shame on you

endeleeni kujipa moyo!!! hehehehehe! mara hamuoni magorofa.. mara hakuna siti.. mara ya 2010 ... hahahaha
 
Mkuu Kasheshe kuna thread inasema Michuzi kachakachua hizo picha.
Inawezekana CDM walikuwa wengi manake siku hiyo Kimara yote haikuwa na watu wote waliishia Jangwani. Baa nyingi na sehemu za kupata kiti... zilikuwa zimefungwa. Ndugu zetu walifunga na maduka wakajitosa jangwani.
Ok... tuendelee kuota tu,
 
CCM HAWAACHI KUOTA MCHANA KWEUPE,KATIKA KAMPENI ZAO ZA KUWAPUUZA WATANZANIA WAMEANDAA ULAGHAI MWINGINE ILI WAPATE KURA ZA WAPUMBAVU.
1.KUANZISHWA BENKI YA WAKULIMA
2.KUANZISHA BENKI YA VIJANA
KATIKA UANZISHWAJI BENKI HIZO SERIKALI INA MPANGO WA KUWAHADAA WATZ KWA KUWAAMBIA WATAWAKOPESHA MIKOPO YENYE RIBA NAFUU,KUANZIA MILLION 1MPAKA 15.LAKINI KATIKA UOMBAJI HUO UNAHUSISHA WAJUMBE WA NYUMBA KUMI KAMA MAWAKALA WAO ILI UPATE MKOPO,CHA KUCHEKESHA ZAIDI INAAMINIKA CCM IMEJIPANGA KUTUMIA KITAMBULISHO CHA URAIA NA HASA CHA KUPIGIA KURA KAMA MTAJI WA KUWAPATA HAO WALENGWA.NA KUHAKIKISHA WANAOCHUKUA MIKOPO WOTE WATAIPIGIA CCM UCHAGUZI KUANZIA UDIWANI WA 2014 NA UCHAGUZI MKUU 2015.LAKINI WAJUMBE WENGI WANA WASIWASI KUWA VIJANA WALIO WENGI WAMEELEVUKA SANA NA WATAKULA PESA ZAO NA KUWAPIGIA WAPINZANI.CCM ILITUMIA MKUTANO WA JANGWANI KAMA KIPIMA JOTO SASA WAMEANZA KUINGIWA NA WASIWASI MAANA MKUSANYIKO ULE HAUKUKAMILIKA BILA YA PESA SASA WANAJIULIZA BILA VIKINDI VYA SANAA KWELI WATAKUBALIKA,MJUMBE ALIYE KARIBU NA NAPE KASEMA CHADEMA INAWANYIMA USINGIZI KULIKO HATA MAGONJWA YA WAZAZI WAO AU WANANDOA WAO.
BINTI MREMBO LUMUMBA CCM
:confused2:
 
Huyu mzee Wasira ni mwizi mkubwa ambaye tabia yake ya wizi imeteketeza sekta kubwa ya pamba kwa ajili ya makampuni yake ambayo yameharibu bei ya pamba na kuendelea kuwapa umaskini wananchi wanaotegemea zao hilo! waulize wapiga kura wake wanajua na ndiyo maana juzu juzi walimzomea kwenye mkutano wake! Hafai kabisa huyu babu na CCM wanamtumia kwa vile anajua unazi!!!!

Jamaa ana sura ya muuza mkaa.
 
endeleeni kujipa moyo!!! hehehehehe! mara hamuoni magorofa.. mara hakuna siti.. mara ya 2010 ... hahahaha

mtoto mzuri kama wewe unaishabikia ccmagamba?????
anyway, i don't blame you, kuna benefits unapata manake bado mjomba wako yupo kwenye system
 
jamani moto huu uendelee hadi 2015. Kila mtanzania mzalendo tafadhali sana anza kuandaa ndugu zako wa karibu, marafiki wote kuwa 2015 ni mwaka wa ukombozi. Kampeni zianze sasa nyumba kwa nyumba (majirani), ndugu, watoto, kitanda kwa kitanda (wewe na mpenzi au spouse wako). Usichoke. Ninaumia uchumi uko mikononi mwa wachache ambao ni wa maswali ya wazi but hakuna hatua!!! Long live m4c. I once loved and cherished you, the gamba but .......
mimi nakfa na huyu wassira. Hivi jamani bado ana ubavu wa ahadi alizotoa. Mzee acha propaganda hapo jangwani kwakweli nafikiri muanze kujirekebisha kauli. Ahadi 50 years ago. Bado mnaendelea na ahadi the next 50 year. This will be 100years of development disengement upon the people of this land. Hiv unazungumzia kulima 100,000 ha kilombero ambako hata miundo mbinu bado haijajengwa. Kwanza mtuambie mlishindwaje kilimo kupitia nafco miaka 50 ya uhuru. Niambie mashamba mliyowakodishia manyarubanja huko mbarali mbona huyazungumzii . Leo watz ni watumwa wa mamluki wa serkali ya ccm ndani ya bonde la usangu. Wakulima wanananyaswa bila huruma kule kapunga, mbarali rice farm basuto farm huko manyara. Sasa mtaanzaje mjieleze kwanza mueleweke sera zenu haziwezi tena kuendesha nchi. Sera na utendaji wenu ni mbingu na nchi kama ili kaskazini na kusini. Mzee omba radhi watz kwa kuwafanya mbumbu hata unaahidi kulima hekta 100000 kupunguza nakisi ya akiba ya chakula inayoambatana na bei zinazojiongeza kila kukicha hali ninyi wenzetu mnakula kuku kwa uma. At least you had remain silent waacheni cdm wawaamshe wananchi walikolalia wanaumiza uti wa mgongo. Cdm iwainue wapate maisha bora mliyoshindwa vibaya sana kuwaletea badala yake mnawaibia kwa kasi zaidi, nguvu zaidi na ari zaidi
 
Mzee wasira acha uongo hivi unaahidi kulima hekta 100000 huko kilombero huoni unadanganya watu. Mbona mashamba yenu kule basuto farm, nafco mbarali na kapunga mmewaachia manyarubanja wanaoendeleza ubaya kwa majirani zao na kuwakandamiza . Infact hawalimi bali wanachota hela tu za wananchi hivi tulihitaji wawekezaji kusimamia mashamba sisi hatuwezi. Acha ndoto za kununua ndege kwa kuanza na kufuga kuku mmoja mzee . Miaka 50 mmewadanganya watz sasa bora mkae kimya. Hamna jipya
 
Uzalendo sio kutembea kwa miguu kuelekea kwenye mkutano.
Hata hivyo CCM wameonyesha uzalendo kwa kuwaleta mashabiki wake wengi wakiwa Wazee.
Vijana wengi waTZ wamebaki kuwa washabiki wa mitandao na kupiga kelele ovyo njia na kwenye mikutano wakati wapiga kura ni wazee.

Mawazo ya kimakalio kalio
 
mimi nakfa na huyu wassira. Hivi jamani bado ana ubavu wa ahadi alizotoa. Mzee acha propaganda hapo jangwani kwakweli nafikiri muanze kujirekebisha kauli. Ahadi 50 years ago. Bado mnaendelea na ahadi the next 50 year. This will be 100years of development disengement upon the people of this land. Hiv unazungumzia kulima 100,000 ha kilombero ambako hata miundo mbinu bado haijajengwa. Kwanza mtuambie mlishindwaje kilimo kupitia nafco miaka 50 ya uhuru. Niambie mashamba mliyowakodishia manyarubanja huko mbarali mbona huyazungumzii . Leo watz ni watumwa wa mamluki wa serkali ya ccm ndani ya bonde la usangu. Wakulima wanananyaswa bila huruma kule kapunga, mbarali rice farm basuto farm huko manyara. Sasa mtaanzaje mjieleze kwanza mueleweke sera zenu haziwezi tena kuendesha nchi. Sera na utendaji wenu ni mbingu na nchi kama ili kaskazini na kusini. Mzee omba radhi watz kwa kuwafanya mbumbu hata unaahidi kulima hekta 100000 kupunguza nakisi ya akiba ya chakula inayoambatana na bei zinazojiongeza kila kukicha hali ninyi wenzetu mnakula kuku kwa uma. At least you had remain silent waacheni cdm wawaamshe wananchi walikolalia wanaumiza uti wa mgongo. Cdm iwainue wapate maisha bora mliyoshindwa vibaya sana kuwaletea badala yake mnawaibia kwa kasi zaidi, nguvu zaidi na ari zaidi
i

Mkuu asante sana kwa kuwa kionambali. Huko kwenye mashamba na vitega uchumi vingine hawasemi maana CCM ina share huko!!!!! Kama ilivyokuwa kwa TRL!!!!! But kila kitu kinakufa tu!!! Ni wakati umefika waamue kupumika taratibu, tena kabisa wajitoe katika uchanguzi maana nina hakika 2015 wataaibika sana. Ninachozidi kusisitiza ni kwa CDM kuendelea na M4C na katika hilo ni lazima wawasihi watanzania wote ambao hawana kadi za mpiga kura wapata mara moja muda wa kujiandikisha tena utakapofika? Tena wawaeleze kabisa kuwa kwa kuwa CCM inanuka rushwa, vijana wao wapokee dala but kura kwa CDM. Kila mwananchi ana haki ya kufahamu kuwa chumba cha kura ni siri yako, unaweza hata usimchague baba wala mama yako na asifahamu. Long Live!
 
Mkuu Kimbunga, nadhani umesahau tu inabidi tukukumbushe, nafikili inbidi ujiulize wengi wa wenye maduka(wafanyabiashara), baa na washona viatu ni watu wa sehemu gani ya tanzania. Ukishapata jibu jiulize wengi wao ni mashabiki wa chamagani? baada ya hapo uangalie kama ni sahihi kwa watu hawa kugeneralize kuwa CDM ilikuwa na watu wengi kuliko CCM

Wakati unawaza hivyo, jiulize kwa nini CDM ina wafuasi wengi kutoka mikoa ya Mara, Mwanza, Shinyanga, Mbeya, Kagera na Kigoma kuliko hata hiyo mikoa unayotaka kuaminisha watu kuwa ni ya cdm zaid. Then jiulize Tabora ilikuwaje! Alafu utafiti watu wa hiyo mikoa pamoja na hiyo ya kaskazini unayoshupalia Elimu yao ipoje? Misimamo yao ipoje? Vip kimaendeleo wapoje? Je waliowahi kupata nafasi za uongozi japo za kawaida kutoka mikoa hiyo kama kina Sokoine, Mrema, Nyerere, Lugakingira, Waitara, Marando na wengineo walikuwaje? Je bila ya hao wenye maduka unaosema serikali itapata wapi kodi yake? Hebu elimika na ondokana na fikra mgando ambazo hazitokaa zikusaidie popote duniani!
 
Back
Top Bottom