Sizinga na wanaJF wengine mliopo Mtwara mgeni nimeingia ndani ya mji wenu kimyakimya jana asubuhi. Nyakati za jioni jana nilipata wasaa wa kujichanganya na wenyeji lakini nilichoshuhudia ni kuwa Mtwara ya sasa si ile niliyoiacha mara ya mwisho nilipokuja kutembea huku miaka miwili iliyopita.
Wenyeji nielekezeni maeneo ya kujirusha ili leo jioni nikatembelee huko hata nitakaporudi kwetu Kawajense Mpanda nipate cha kusimulia, jana nilikuwa maeneo ya Mangowela Inn.
Kweli Mtwara Raha....
Kwani vipi Mtoboasiri?Katavi ndani ya Mtwara??!! Kweli???!!!
Hakukuwa na live band, bahati mbaya narudi zangu leo kwetu. Nadhani ningekuwepo hadi weekend ningeinjoi sana.
Yani kile ki mwalimu nilikuwa sikapendi,uso kama ngedere mtoto.
Kuna siku nilimsuta mpaka alikoma.
Chezeya Madame B,
Afu nasikia Alikuwa ameathirika,hv ni kweli.
Shoga tutasutwa.
hata me nilickia ila ukweli anaujua mwenyewe! kusutwa suna ati!
Nyie naona mna hamu sana ya kusutwa...........laiti mwenyewe angekuwa anasoma hapa, pangechimbika.
Anasoma shost!!
Hebu pata picha,katufundisha Form One na nilivyokutana nae ile juzi yupo vilevile hajazeeka wala nini.
Basi nilivyomuona nikajibaraguza kumsalimia.
Afu c unajua me na yeye tulikuwa na bifu tangu nasoma!
Basi nikamsalimie afu me Nshaaa..!!!
Akabaki katoa macho kama anatunga uzi gizani.
waalimu na manesi huwa hawazeeki,
sijui wanakula nini.
Mtwara raha, lazima nirudi tena next months............!!
Hv Kingunge hakuwa Mwalimu?
Unajua manesi na waalimu ni walezi wazuri kwa wao na jamii yao.
Hata kama alikuwa mwalimu sikatai,
ona ule umri lakini bado yuko ngangari kivile.
Nakubaliana na wewe kuwa manesi na waalimu ni walezi wazuri.
Nipo makonde beach nimetulia napata kiupepo cha bahari kabla ya kwenda kulala.
Mtwara raha, lazima nirudi tena next months............!!