Katavi ndani ya Mtwara....!!

Katavi

Platinum Member
Aug 31, 2009
41,983
12,702
Sizinga na wanaJF wengine mliopo Mtwara mgeni nimeingia ndani ya mji wenu kimyakimya jana asubuhi. Nyakati za jioni jana nilipata wasaa wa kujichanganya na wenyeji lakini nilichoshuhudia ni kuwa Mtwara ya sasa si ile niliyoiacha mara ya mwisho nilipokuja kutembea huku miaka miwili iliyopita.
Wenyeji nielekezeni maeneo ya kujirusha ili leo jioni nikatembelee huko hata nitakaporudi kwetu Kawajense Mpanda nipate cha kusimulia, jana nilikuwa maeneo ya Mangowela Inn.
Kweli Mtwara Raha....
 
Last edited by a moderator:

Nakumbuka 1998 enzi hzo Mtwara.
Nashangaa nilienda tena 2008 nikakuta Ligula,Shangani,Chikongola,Mangoela,Likonde,Chuno,Sabasaba,Railway kote wameweka lami na Daladala juu.
Nenda pale Mtwara TTC Kuna Bar imefunguliwa karibu na Indian Quater's,wakati enzi hzo ni Pori Mpaka unatokea MonteSori kule Baharini.
Ila jamani Mtwara Raha.
Hv pale Keep-Left ile njia ya kwenda Sekondari Mtwara Girl's to Naliendele hadi Mikindani ile Bar bado ipo?
 
Last edited by a moderator:
amejipanga vizuri sana,
kabeba na tumizizi twa kuwapumbazeni
ili akifumaniwa ageuke mdudu atambae mbele,si unajua alikotokea.

Tena namwomba mtaa wa Sinani asikanyage kabisa....nimeweka kambi pale ooooh
ntankata nkia wa mbele akaseme kwa nkuu wa nkoa na nkewe bhaaaaaaa bhana weweeeeee kunooooooona
 
amejipanga vizuri sana,
kabeba na tumizizi twa kuwapumbazeni
ili akifumaniwa ageuke mdudu atambae mbele,si unajua alikotokea.
Hahahaaah!! Nimejiandaa haswa maana niliambiwa mtu akija huku anasahau kwao, sasa mimi nipo fiti nimekamilika.......HASHIKWI NTU HAPA.
 
Ndio ni Blantyre dah!
Enzi hizo tumecheza sana disko na uniform zetu za Sekondari pale.
Ebwana ee!!
Nimekumbuka mbali sana tena sana.
Ndo nafika mwaka 2008 nakuta wamejenga sheli kwa nje,nilishangaaje???
Hivi sasa ukija ndio utashangaa sana maana hivi sasa hapo blantyre ni kama pamechoka hapafanyi kazi. Nasikia kuna Makonde, na Maisha club ndio zinakimbiza sana kwa sasa.
 
Back
Top Bottom