Kasulambai ASHINDA KESI IGUNGA

Si bora usingepost kama ndio hivi..unataujazia server zetu bure..
 
Kuna post ingine nimeiona inasomeka hivi-Kasulumbai ahukumiwa miezi 7 jela!!nimejaribu kuitafuta tena sasa hivi siioni nahisi kizunguzungu bado sijajua ukweli ni upi, huyu naye kaja na kichwa cha habari tu.
 
Join Date : 17th July 2012
Posts : 41
Rep Power : 309
Likes Received 5
Likes Given 19
KARIBU JAMVINI MKUU, ANYWAY HONGERA CHADEMA
 
Kuna uzi mwingine unasema Kaulumbai ahukumiwa miezi saba au kulipa fine uzi huu unasema kasulimbai kashinda kesi which is which?Mods mpo tu mnaangalia mkanganyiko huu nilidhani mngeingilia kati na kuzifuta thread zote mbili hadi uhakika upatikane!
 
Back
Top Bottom