Kasuku kamuumbua mtu.

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,026
Mama mmoja kaenda sokoni kununua kasuku.Aliwakuta kasuku watatu,wa kwanza anauzwa $170,wa pili $100 na wa tatu $10. Akahoji;'kwanini huyu kasuku wa tatu anauzwa bei rahisi,akajibiwa,'ndio,anauzwa bei rahisi kwasababu ana maneno machafu aliyofunzwa na mmiliki wake wa zamani ambaye ni changudoa.Yule mama akamnunua yule kasuku na kwenda nae nyumbani kwake.Mara mume wa yule mama akaingia na kukutana uso kwa uso na yule kasuku.Kasuku akaropoka,'aanh! ni muda mrefu tangu tuonane,kumbe unaishi hapa?!
 
Back
Top Bottom