Kashfa ya Uzinzi: Lissu amsafisha Mbowe

Status
Not open for further replies.
Naam, kwamba mambo yahusuyo ndoa ya watu wawili yakiwemo mizozo na uzinifu ni mambo private yanaowahusu wahusika tu.
Ukicheat unaweza kupelekwa mahakamani na mkeo?

Kama ni private kwanini apewe uwezo wa kukupeleka mahakamani na kudai support baada ya divorce?

Kwanini aliyeoa kodi yake ya mapato ni ndogo?

Unaweza kumuoa shoga? ... au incest? Why is marriage regulated?
 
Ukicheat unaweza kupelekwa mahkamni na mkeo?
Ndiyo, mke wangu anaweza kunipeleka mahakamani lakini si member yeyote yule wa public. Wewe huwezi kunipeleka mahakamani kisa tu nimemi-cheat mke wangu. Au unaweza? If you can, go for it.
Kama ni private kwanini apewe uwezo wa kukupeleka mahakamani na kudai support baada ya divorce?
Kwa sababu ndoa ni yetu sisi wawili. Wewe na babu yako hamuwezi kunipeleka mimi mahakamani na kudai alimony. Narudia tena, wewe na babu yako hamuwezi. Hata Mangi muuza duka hawezi. Hata shangazi yangu hawezi. Anayeweza ni mke wangu tu.
Kwanini aliyeoa kodi yake ya mapato ni ndogo?
Sijui. Labda waulize waliotunga hiyo tax code.
Unaweza kumuoa shoga?
Mimi siwezi kwa sababu siyo shoga. Lakini wewe kama ni shoga na upo sehemu ambayo wanaruhusu ndoa za namna hiyo unaweza kabisa.
... au incest?
Hii mbona ni rahisi....kwa haraka haraka tu ninaweza kukutajia sababu mbili, nazo ni chances za genetic disorders na birth defects ni kubwa sana ikiwa kuna incest, na mbili, kulinda minors.
why is marriage regulated?
Even personal conduct is regulated. So what's your point?
 
Ndiyo, mke wangu anaweza kunipeleka mahakamani lakini si member yeyote yule wa public. Wewe huwezi kunipeleka mahakamani kisa tu nimemi-cheat mke wangu. Au unaweza? If you can, go for it.

Kwa sababu ndoa ni yetu sisi wawili. Wewe na babu yako hamuwezi kunipeleka mimi mahakamani na kudai alimony. Narudia tena, wewe na babu yako hamuwezi. Hata Mangi muuza duka hawezi. Hata shangazi yangu hawezi. Anayeweza ni mke wangu tu.

Sijui. Labda waulize waliotunga hiyo tax code.

Mimi siwezi kwa sababu siyo shoga. Lakini wewe kama ni shoga na upo sehemu ambayo wanaruhusu ndoa za namna hiyo unaweza kabisa.

Hii mbona ni rahisi....kwa haraka haraka tu ninaweza kukutajia sababu mbili, nazo ni chances za genetic disorders na birth defects ni kubwa sana ikiwa kuna incest, na mbili, kulinda minors.

Even personal conduct is regulated. So what's your point?

1.Suala hapo ni involvement ya mahakama. Huwezi kushitakiwa kwa sababu unkula huku mdomo uko wazi, ingawa hiyo inaweza kumuudhi mkeo au mumeo.Na ninaweza kukupeleka mahakamani kama nikikutape unamla tigo mkeo na ukafungwa kwa ajili ya sodomy.

2. Najua hujui kwanini tax code ilitungwa hivyo.

3.Not all personal conducts are regulated, only those that have public interest in'em. kwa mfano, suicide is illegal even if it's your life. The point is, marriage is public and there's always public interest in every marriage. THATS JUST A FACT NO MATTER WHAT YOU SAY.
 
Kama ni suala la uzinzi na ngono hapa bongo viongozi wanaopona katika hili ni wachache sana, toka ikulu mpaka mitaani! Huo ndo ukweli..
 
1.Suala hapo ni involvement ya mahakama.
Kwa hiyo?
Huwezi kushitakiwa kwa sababu unkula huku mdomo uko wazi, ingawa hiyo inaweza kumuudhi mkeo au mumeo.Na ninaweza kukupeleka mahakamani kama nikikutape unamla tigo mkeo na ukafungwa kwa ajili ya sodomy.
Kwani tunazungumzia mambo ya kula tigo au tunazungumzia mambo ya ukosefu wa uaminifu kwenye ndoa?
Najua hujui kwanini tax code ilitungwa hivyo.
Wewe unajua?
3.Not all personal conducts are regulated,
And not all marital affairs are public affairs!
only those that have public interest in'em.
Ahaa, so there is a line drawn somewhere, right? So goes for marriage. It's in the public's interest to know who's married to whom but private marital affairs like infidelity are not public matters.
kwa mfano, suicide is illegal even if it's your life. The point is, marriage is public and there's always public interest in every marriage.
What flies above your head is the fact that that public interest is not unfettered.

You can't go to court seeking a dissolution of your neighbor's marriage just because he or she is cheating on his wife or her husband. Can you?
THATS JUST A FACT NO MATTER WHAT YOU SAY
It's only that if you have convinced yourself that it is.
 
Pale mwanzo alipokuwa dj ilikuwa haina shida, but now lazima tumfuatilie kama kiongozi wa umma, hela tunayompa atakuja kutunyang'anyia wake zetu one day.
Sio lazima wote tumfuatilie. Wewe kama unataka mfuatilie.

Binafsi sitaki kumfuatilia kuhusu analala na nani. Sina muda huo na sina raghba hata chembe ya kufuatilia mambo kama hayo. Hayanihusu.
 
Viongozi wa CHADEMA ni majanga tupu.

Kwa hiyo kumbe Mh. Mbowe ni mzinzi kwa maana nyingine, tuhuma hizi ni za kweli.

Sasa kama maswala ya Uzinzi ni private affairs. Vipi hili swala la kupewa millions pesa za Tanzania na wale wale kila mara alikuwa akipanda kwenye majukwaa alikuwa anawaita mafisadi.

Pesa za huyu kada wa CCM alizochukua nazo ni private affairs

View attachment 132573

Tunaomba tufahamu mipaka ya private affairs nchini

Kama ameweza kuijibu hoja ya uzinzi, kwa nini hakutaka kuijibu hoja ya "double agent" kwa maana kuwa, mchana ni mpiga vita mafisadi na usiku ni mpokea pesa za mafisadi

Kumbe unajua Rosti tamu ni fisadi. Huyuhuyu kada maarufu na mfadhili wa chama chenu.

Kweli ukiwa kibuyu huwezi kumwambia mwenye maziwa kuwa maziwa yanachacha na ayanywe sasa.
 
Kumekuwa na hulka ya kimjadala ikiwa imesheheni hoja za fulani mzinzi na fulani ni mzee wa vimada jambo ambalo limepelekea mimi binafsi kujiuuliza hivi ni wanasiasa kutoka upande upi kati ya wale na CCM na CDM ndio wazinzi zaid.??... Tafakarii hii inaongozwa na ule msemo "usitoe kibanzi ktk jicho la mwenzako angali una boriti jichoni mwako".
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom