Glue
Senior Member
- Jan 14, 2011
- 156
- 49
wanaudhi sana mtu mzima kuwa kibaraka mpaka lini?kisa una kamrija kako ka ufisadi badala ya kuangalia manufaa ya wananchi wote kwa jumla!tungeletewa mbegu ya vitunguu saumu vyeupe vikubwa ili wakulima wapande wapate mazao hayo zaidi hapo ningeelewa
Mkuu nimeskia vile vitunguu saum vyeupe vikubwa havilimwi kikawaida. Vinazalishwa kiwandani kama yale makuku ya kisasa. Kama si magonjwa kutuletea wenzao nini sasa? Wanaotetea upupu huu sidhani kama vichwa vyao vi salama.