Kashfa ya Kontena la Vitunguu Saumu kutoka China: Badala ya kuchomwa vinarudishwa upya!

wanaudhi sana mtu mzima kuwa kibaraka mpaka lini?kisa una kamrija kako ka ufisadi badala ya kuangalia manufaa ya wananchi wote kwa jumla!tungeletewa mbegu ya vitunguu saumu vyeupe vikubwa ili wakulima wapande wapate mazao hayo zaidi hapo ningeelewa

Mkuu nimeskia vile vitunguu saum vyeupe vikubwa havilimwi kikawaida. Vinazalishwa kiwandani kama yale makuku ya kisasa. Kama si magonjwa kutuletea wenzao nini sasa? Wanaotetea upupu huu sidhani kama vichwa vyao vi salama.
 
Soma vizuri post. Asiyejuwa maana haambiwi maana, msitake kutubabaisha kwa maneno. Hata Usalama wa Taifa ni UWT na huko pia kuna wanawake. Igunga UWT wamekwenda au umesahau mlivyomvua hijab mwana mama wa UWT?

Busara hainunuliwi dukani mama. Hebu jaribu kuwa nayo angalau kidago tu uone matokeo yake! Alafu nshawah kusikia msemo usemao... Binadamu nayekosa punje ya aibu..... Kiakili na kisaikolojia pia si mzima!
 
Nna uhakika hujawahi kufanya biashara wala huielewi biashara, kuagiza biashara za nje hakuuwi biashara ya ndani bali kunasaidia kuikuza. Amma kwa kuweza kuonesha ubora wa bidhaa zetu amma udhaifu wa bidhaa zetu na kuchukua njia mbadala wa amma kuboresha bidhaa zetu amma kuziuza kwa ubora wake unaostahiki, mashindano ya kibiashara ndio njia pekee ya kukuza biashara, uelewa, elimu, viwango na hata "presentation" ya bidhaa. Na ikiwa tutaendelea kuogopa kuleta bidhaa za nje basi tukubali na matokeo ya kuzifunga fikra zetu na ziendelee kuwa pevu kama tunavyofikiri. Au tukubali kuwa na fikra changa zenye uwezo wa kufikiri mapya kwa kujifunza mapya mengi kutoka kwa wenzetu waliokubali kuwa hakuna fikra pevu utakayoifundisha ikaelewa (try to teach an old dog new tricks). Kuwa na fikra pevu ni ufinyu wa kufikiri.

Leo kweli mtu haswa mwenye fikra za kimaendeleo anakwambia usiagize bidhaa za nje kwani zinauwa biashara yetu ya ndani? Inashangaza sana.

Halafu uhusishe mambo kibao na uagizaji wa vitunguu?

Hivi huwa unatafuta njia za kupakaza kila unapoweza au ndio upevu wa fikra zako umefikia ukomo wa kufikiri?

tatizo si kuagiza vitunguu kutoka China.
Kwanini watuletee vitunguu vibovu???
 
tatizo si kuagiza kutoka china.
Tatizo ni ubora wake!
 
tatizo si kuagiza kutoka china.
Tatizo ni ubora wake!

Hakuna tatizo hapo, ziwe na ubora au zisiwe na ubora, hizo ni "opportunities" ambazo kila mfanya biashara wa vitunguu anatakiwa awekeze, mfanya biashara mahiri na makini huwekeza kwenye upenyo wa kuweza kumshinda mwenzake na akawa kidedea. Jee, Watanzania wangapi watatumia hiyo fursa? Nna kuhakikishia ni wachache sana, sababu ni kukosa elimu.
 
mama faiza inabidi uache kutumia masaburi kwenye mambo ya maana km haya
by the way maziwa yale yaliishia wp
samaki pia wenye mionzi ya sumu iliishaje?
Sasa ni vitunguu utasikia kesho vishauzwa na kuishia
hiyo ndo bongo ya ******,na mchina kashagundua udhaifu wetu basi tutalishwa mpaka mavi.
Pole yenu mnaonunua vitu supermakee
 
Mie nadhani wako ndio uliolala, Igunga kuna limwa nini inahusiana nini na vitunguu vya bandarini? halafu kuna kosa lipi kuagiza vitunguu saumu kutoka nje? mradi vitengo vya afya viruhusu, sioni uhusiano wa biashara na Igunga na Bandarini. Nadhani mpaka sasa utajuwa ni ubongo wa nani uliokufa. Nakupa pole sana.
...Haishangazi kuwa unashabikia Magamba. Aina yako ya fikra inareflect fikra ndani ya hicho chama, na haitushangazi kuwa tumeendelea kuwa masikini kiasi hiki.
 
Hakuna tatizo hapo, ziwe na ubora au zisiwe na ubora, hizo ni "opportunities" ambazo kila mfanya biashara wa vitunguu anatakiwa awekeze, mfanya biashara mahiri na makini huwekeza kwenye upenyo wa kuweza kumshinda mwenzake na akawa kidedea. Jee, Watanzania wangapi watatumia hiyo fursa? Nna kuhakikishia ni wachache sana, sababu ni kukosa elimu.

Lets talk basics here...., unategemea mkulima wa kawaida ambae hata hana powertiller na pia hana elimu kama ulivyosema atapambana vipi na bidhaa ambazo zinakuwa mass produced kwa kutumia kilimo cha kisasa tena ni za bei rahisi sababu zimeoza kwahiyo hazifai kuliwa na binadamu yoyote....

Na ni nani mwenye kazi ya kuwapa elimu hawa wakulima ?
Ni nani mwenye kazi ya kuweka miundo mbinu bora kuhakikisha bidhaa ya huyu mkulima inafika sokoni kwa urahisi ?
Ni nani mwenye kazi ya kuangalia kwamba bidhaa zinazoingia nchini zinakizi mahitaji ?
Na hivi ni kilimo kwanza au biashara kwanza.., ? na kuwaachia wafanyabiashara upenyo wa kuleta mazao mabovu nchini ambayo yanashindana na mazao ya mkulima (wakati tungeweza kutengeneza miundombinu mizuri ya kuleta hayo mazao sokoni...) tunamsaidiaje mkulima ?

In short kabla haujafungulia milango na kusema ushindani lazima uone kwamba unaweza kushindana; kama sisi wenyewe hatutumii bidhaa zetu unadhani nani atazitumia..... (wakuu tujaribu kuwa wazalendo...!!!)
 
Mkuu nimeskia vile vitunguu saum vyeupe vikubwa havilimwi kikawaida. Vinazalishwa kiwandani kama yale makuku ya kisasa. Kama si magonjwa kutuletea wenzao nini sasa? Wanaotetea upupu huu sidhani kama vichwa vyao vi salama.

Nadhani hapa kidogo kuna taarifa ambayo siyo sahihi. Mazao mengi yanayozalishwa kwenye nchi kama za Asia ni matokeo ya mbegu (seeds) ambazo ziko improved through breeding (samahani sijui tafsiri kwa kiswahili), tissue culture na mbinu nyengine nyingi za kisasa kwenye kilimo (siyo genetically modified). Na kwa asilimia kubwa ladha ya asili huwa inapotea.

Hizi za kwetu bado ni zile zile za asili hazijaboreshwa ndiyo maana unaona mazao kama vitunguu saumu ni vidogo kwa size na ladha yake ni tafauti.
 
Hivi kwanini Marekani taifa kubwa la kibepari linaweka quota kwenye vyuma vinavyoingizwa toka China au Mbao kutoka Canada?
 
FaizaFoxy nenda kapimwe mirembe ndugu yangu, nna uhakika kuna kitu si sawa sawa kichwani mwako ndugu.
 
Mimi si mtaalamu wa kilimo lakini ninavyoelewa ni kuwa vitunguu saumu havina mbegu (seeds). vinatolewa vipande vyake na kupandikizwa.
Kwahiyo kuagiza vingi kutoka nje, mbegu yetu baadae ita phase out.
 
Nna uhakika hujawahi kufanya biashara wala huielewi biashara, kuagiza biashara za nje hakuuwi biashara ya ndani bali kunasaidia kuikuza. Amma kwa kuweza kuonesha ubora wa bidhaa zetu amma udhaifu wa bidhaa zetu na kuchukua njia mbadala wa amma kuboresha bidhaa zetu amma kuziuza kwa ubora wake unaostahiki, mashindano ya kibiashara ndio njia pekee ya kukuza biashara, uelewa, elimu, viwango na hata "presentation" ya bidhaa. Na ikiwa tutaendelea kuogopa kuleta bidhaa za nje basi tukubali na matokeo ya kuzifunga fikra zetu na ziendelee kuwa pevu kama tunavyofikiri. Au tukubali kuwa na fikra changa zenye uwezo wa kufikiri mapya kwa kujifunza mapya mengi kutoka kwa wenzetu waliokubali kuwa hakuna fikra pevu utakayoifundisha ikaelewa (try to teach an old dog new tricks). Kuwa na fikra pevu ni ufinyu wa kufikiri.

Leo kweli mtu haswa mwenye fikra za kimaendeleo anakwambia usiagize bidhaa za nje kwani zinauwa biashara yetu ya ndani? Inashangaza sana.

Halafu uhusishe mambo kibao na uagizaji wa vitunguu?

Hivi huwa unatafuta njia za kupakaza kila unapoweza au ndio upevu wa fikra zako umefikia ukomo wa kufikiri?

duh! ivi purpose ya GATT na WTO ni nini tena?
 
By PIUS RUGONZIBWA, 8th November 2011 Daily News
THE Tanzania Food and Drugs Authority (TFDA) has seized and ordered for immediate deportation of 29 tonnes of garlic imported from China feared to be unfit for human consumption.

TFDA Public Relations Officer, Mrs Gaudensia Simwanza, told reporters in Dar es Salaam on Tuesday that the consignment, property of city-based Bravo Electric and Trading Company, arrived at the Dar es Salaam Port in September this year, before the Authority's inspectors suspected it.

The consignment, estimated at the value of about 2000 US Dollars (about 4.5m/-), had no required labels indicating validity and expiry dates as well as packaging agent who processed it, according to international procedures.
"We discovered, upon inspection of the consignment, that necessary information that must accompany it were not provided as per legal requirements governing labelling of products as released in 2006," she said.

Due to the shortcomings, she said TDFA immediately contacted the consignee who admitted and promised to return the products to China at his own expense.
Samples of the boxes packed with hundreds of garlic pieces could be seen labelled 'Fresh garlic' on one side and 'Normal white garlic' and 'Best produce of China' on the other side of the boxes.

Speaking at the Dar es Salaam Port on Tuesday, the agent who cleared the consignment representing his firm, Ms Platnum Trading Co., said, on condition of anonymity, that it was the first time for Bravo Electric and Trading Company to import the garlic which, according to research, sells like hot cakes in the local market.
Imported garlic, according to him, is now sold at 7,000/- per kilogram which is equivalent to 7m/- per tonne.
TFDA officials and Tanzania Revenue Authority were also seen busy at the Dar es Salaam Port yesterday making physical verifications of the container ready for the deportation exercise.

According to Mrs Simwanza, of late there have emerged some Tanzanian traders who arrange business trips to China and other Asian countries and import food products without complying with import regulations as required by the law of the land.
"We urge food importers to comply with import regulations and TFDA procedures, failure of which we will seize their imports and destroy or deport them to their countries of origin," she insisted.
 
Yaelekea Membe anawanyima usingizi kupita kiasi maana kila kitu Membe Membe.....br careful here,, unaweza ukanuwia kumfedhehesha mtu,lakini ikawa kinyume chake.....unamjengea heshima. Ni mtazamo tu
 
huyo mwenye hivyo vitunguuu swaumu inaonekana hajatoa rushwa.au ukute kuna mgongano wa kimasilahi na viongozi wa ccm.aongee nao vizuri na akitoa rushwa watamuruhusu auze mzigo tu.mia
 
huyo mwenye hivyo vitunguuu swaumu inaonekana hajatoa rushwa.au ukute kuna mgongano wa kimasilahi na viongozi wa ccm.aongee nao vizuri na akitoa rushwa watamuruhusu auze mzigo tu.mia

Oops umesema neno umenipa mawazo sana .Kumbe maslahi mbele na si afya za Watanzania kwanza ?
 
Back
Top Bottom