Keren_Happuch
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 1,874
- 935
Ndugu yangu, siku hizi hakuna Authority. Bunge halina nguvu, watu wanapiga kelele pale , lakini inakuwa kama kelele za kijiweni ambazo hazina impact. Usishangae masaa 24 yakiisha, jamaa hawajauza mafuta na wasichukuliwe hatua yoyote, sanasana wataanza kuwabembeleza kwa kuwaita wajadiliane mezani.Miaka 4 iliyobaki ni kama miaka 100
Hapo pekundu,...umenena mkuu! mbona hii miaka 4 iliyobaki watanzania tutalia vilio vyote...