Karibu Pearl tuakusubiri Sussy

afrodenzi

Platinum Member
Nov 1, 2010
18,145
9,215
Wapendwa wangu wa MMU
weekend hiyo inachungulia chungulia

Kabla sijaendelea nimemomwama
mpenzi wetu PEARL amerudi karibu sana
mpendwa tumefurahi kukuona tena
pole kwa yote hopeful sala zetu zilikufikia..

Tuzidi kumwombea dada Sussy ili
Naye arejee kundini..

Mimi na rafiki yangu mmoja hapa JF
Tumempoteza rafiki
Wetu wa karibu sana siku tisa leo tangu atuage..

Bwana Ametoa Bwana Ametwaa Jina Lake Libarikiwe..

Nway wana JF nawatakia weekend njema
Upendo kitu cha muhimu na cha bure
kweli hatujui siku walaa saa ..
nawatakia upendo,amani na baraka zote weekend hii.
Amen
 
Pearl my sweet stomach, pole na yote. Karibu JF tuendeleze songombingo kama kawa
 
Hahahahahahahah lol
kweli we unasoma unachoandika
kweli.. unaelewa kwamba we unagombana na keyboard
mi nakulazimisha vipi unijibu asee watu wengine bwana
Kweli ur right TF na Nazjaz saizi yangu..
Na we under 18 unafanya nini hapa..
Ingekuwa mtu mzima kam a unavyodai ungeni PM
labda ningekusikiliza .. sasa chora chini usivunje keyboard lakini.
have a wonderful day mmmhh

yah, hapo nilipoweka bold, pazuri. tanks a lot. na wewe pia an even more wonderful day!

lakini punguzeni hii maneno rafiki. kila siku watu wanalalamika kuwa kuna thread sio muhimu kuwekwa hiku, lakini inaonekana baadhi ya watu wakiweka, inakuwa poa tu, wengine wanaambiwa waa-PM, sasa double standard za nini JF, sasa washauri wenzio, bana & dont mind any way, enjoy your day

nimekupend gafla kwa busara na utulivu wako, yaani hadi umeniepusha na ban! keep it up
 
Acheni bwana Afrodenzi wewe tulia usimjibu kitu pia mtu mmoja sio fresh kuanza kukanda thread ya mwenzako kwa kauli za dharau wana jf kwanini tugombane jamani!mie nadhani mtu ukiona thread haikufai haina haja ya kutukana achana nayo tu usimponde muweka thread sababu kibaya kwako kizuri kwa mwenzio mbona the finest kaielewa vizuri tu
Thread imetulia lakini nashindwa kuelewa kwa nini imeanza kwa watu kupigana mikwara..
 
yah, hapo nilipoweka bold, pazuri. tanks a lot. na wewe pia an even more wonderful day!

lakini punguzeni hii maneno rafiki. kila siku watu wanalalamika kuwa kuna thread sio muhimu kuwekwa hiku, lakini inaonekana baadhi ya watu wakiweka, inakuwa poa tu, wengine wanaambiwa waa-PM, sasa double standard za nini JF, sasa washauri wenzio, bana & dont mind any way, enjoy your day

nimekupend gafla kwa busara na utulivu wako, yaani hadi umeniepusha na ban! keep it up

Tehe tehe tehe tehe eeeh!!! Kumbe ulikuwa unatafuta BAN
 
Mtu kupewa pole kwa matatizo sio sawa na kuambiana wanazimiana!Ungekua mjanja kama unavyotaka kuonekana ungegundua hilo!

Pole na karibu Pearl!

Muonee huruma tu
Mwache aende zake..
sitaki kengele zaidi...
 
Mtu kupewa pole kwa matatizo sio sawa na kuambiana wanazimiana!Ungekua mjanja kama unavyotaka kuonekana ungegundua hilo!

Pole na karibu Pearl!

hayo matatizo si kuna thread inayojitegemea? kama vipi iunganishwe kule, tumia brain kufikiri please
 
nyie ndo wa kuonewa huruma, msioona haya kuchafua hali ya hewa kwa kuanzisha mathread kama mnashindana, na kama wangekuwa wanatoa zawadi sijui ingekuwaje. huu nao ni ufisadi wa threads!

Kwani si uachane na thread usiyoipenda mpendwa katika bwana.........................yanini malumbano??????????
 
Kwani si uachane na thread usiyoipenda mpendwa katika bwana.........................yanini malumbano??????????

unasikia mpendwa, wengine wakianzisha thread za watu binafsi wanaambiwa wawaPm, hawaohao wanaotaka wengine wawapm ndio wanaoongoza kuanzisha mathread binafsi! tumechoka na unafiki, nao lazima wavue magamba sasa!
 
kwa jinsi nilivyoelewa naona kama hawa jamaa ugomvi huu sio wa leo ni wa zamani sana kutokana na kujumuishwa kwa thread za nyuma wana bifu ya muda mrefu! any way tuwaachie wenyewe ingawa haifurahishi kuona wana jf wakirumbana kwa lugha kali kihivyo!mie nadhani tungepingana kwa hoja za msingi!ambazo zitatusaidia mbele!
Thread imetulia lakini nashindwa kuelewa kwa nini imeanza kwa watu kupigana mikwara..
 
unasikia mpendwa, wengine wakianzisha thread za watu binafsi wanaambiwa wawaPm, hawaohao wanaotaka wengine wawapm ndio wanaoongoza kuanzisha mathread binafsi! tumechoka na unafiki, nao lazima wavue magamba sasa!

Yaani leo sio wewe nayemfahamu kwani umekuwaje dear??? Acha hasira basi bana.........................
 
Yaani leo sio wewe nayemfahamu kwani umekuwaje dear??? Acha hasira basi bana.........................

Sredi kama hii ya karibu Pearl unaizungumziaje mama ushauri?
Au kwa vile aliye rusha ni swaiba wako unafumba macho au sio mama ushauri.
Mi nauliza tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom